LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mkuu hapa Hawa watu hawawezi kukuelewa
Wenzio wanafikiri hizi ni story!
Ss subiri waone
Naangalia hapa ,hamas wanasema Israel isipositisha vita eti wataanza kuwaua mateka🤣
Na Netanyau anewajibu, wawaue waone Hali itakua mbaya zaidi ya ilivyo Sasa na kwamba hatasitisha vita sbb alichokozwa!🇮🇱

Acha tuone mwisho wake
 
[emoji1193][emoji3538][emoji1134] BREAKING! Al-Qassam Brigades Spokesman Abu Obaida:

[emoji187] "Any targeting of our people in their homes will be met with deep regret, and we will respond with the execution of a hostage, broadcasting it in both audio and visuals."

[emoji837] @DDGeopolitics
 
Kwahiyo huoni tofauti? Kulikuwa na ulazima gani kwenda kufanya shambulio, wakati kumbe ubavu hawana? Ona sasa watoto na wake zao wanavyokufa kwa ujinga tu wa hao wanaume wa hamas? Wawalinde sasa, si ni wao ndio wamelianzisha.
 

View: https://x.com/MrSinha_/status/1711722734504550827?s=20
 
🇱🇧🇮🇱Hezbollah began mobilizing thousands of fighters on the [Israel]border - Channel 13

🔴@DDgeopolitics
 
🇮🇷🇺🇸🇮🇱🇵🇸Iran's goal is to draw the United States into a broader conflict - Fox News intelligence sources

🔴@DDgeopolitics
 
Mkuu hio video ni ya mda na hao ni watoto wa kipalestina
Leta uthibitisho, ni lini tena kulikuwa na uvamizi kama huu na watoto wakatekwa kiasi hichi!!
Kazi yenu nyinyi SUNNI ni kukana na kuongopa kwa kiwango Cha Shetani
Kila janga mnaloleta lazima lihusiane na yule Shetani mkubwa
Allahuakibaru
 
Israeli iache kushambuli makazi ya raia hovyo hovyo ,waingie under ground wawafuate hamas walipo tuone umwamba wake na sio kurusha mabomu tu na kuharibu majumba kama vichaa alafu unajiita eti una jeshi bora.
Mimi mwenyewe nashangaa hapa sasa na hamas wanaanza kurusha rocket bila mpangiria na kuua raia na kuteka Watoto kubaka wanawake na kuuwa raia ilitakiwa waingia ground kutafuta askari wa Israel
 

Urusi ndie kawatumia hamas kuipiga Israel ili aweze kuitandika vizuri Ukraine kwa maana nguvu zote zinaelekezwa Israel kulko Ukraine
Akili nyng sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…