Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
Mkuu waarabu wawe makini isije ikatokea vita vikubwa ule ukanda wa arabs.hehehe mlivyo kichekesho sasa hapo matamko ya Mchina au Mrusi ndio yanawafariji ilhali Israel wanaendelea kutembeza kichapo, mpaka sasa mizoga ya HAMAS imefika 1,500
Washakufa 1.5k mpaka sasa bossYes silaha zako ziko kwenye underground si wanajeshi.
Wanajeshi wa Hamasi mbona wako vitani kama kawaida nilicho sema ni vigumu kuzipiga. Silaha zao haziko kwenye majumba kupiga majumba wanajua wazi silaha hazipo pale, ni dalili wazi wameishiwa Israel na US .
UD na Israel wanataka tu kuonyesha ubabe wao kwa kuwauwa wanawake na watoto
Silaha za Hamasi hawezi kuzipiga hata wapige maboom miaka 😂
Wa Israel na Wamarekani wameona kuingia ground war watacharazwa na Hamasi
Wanapeleka hasira zao kuvunja majumba na kawauwa wanawake, watoto na wazee wasi na hatia et Super power vipi Super power anaogopa kuingia gaza 😂 ataishia vunja majumba tu na Hamasi atarusha missiles kama kawaida.
Mkuu hyo ndio show kubwa Yani hapo anatekenywa MTU alafu anachekaa na hajui aliyemtekenya anabaki kuhisi Tu lzma kieleweke.
AaaaaaaImam of Peace says;
"For those who support Hamas terrorists, be careful they can kill you too"🤣
View: https://twitter.com/Imamofpeace/status/1711395723168657548?t=c-68qn_YsfXTBjkj9uMhdA&s=19
Wameongelea wanajeshi wao wngp wamekufa au propaganda watakwambia Mia je ni kweli tulia tuone mwisho hii show nauwakika utacha bado ya Motohehehe mlivyo kichekesho sasa hapo matamko ya Mchina au Mrusi ndio yanawafariji ilhali Israel wanaendelea kutembeza kichapo, mpaka sasa mizoga ya HAMAS imefika 1,500
Wameongelea wanajeshi wao wngp wamekufa au propaganda watakwambia Mia je ni kweli tulia tuone mwisho hii show nauwakika utacha bado ya Moto
Ndio sasa atakubalije jambo ambalo ajafanya isho ni hamas umeona wakikataa matukio wanayo Fanya Yani hii show ni ya hamas tulia lzma uelewe
Unafikiri hawapendi kuishi eeeeeh maisha matamu bwana Hamas yanawatoka makamasi huko
Mkuu wanakwepa ,Ndio sasa atakubalije jambo ambalo ajafanya isho ni hamas umeona wakikataa matukio wanayo Fanya Yani hii show ni ya hamas tulia lzma uelewe
Ibrahim hawez kuwa muisrael kwamaana israel ilikuja baada ya isaka..
Au tuseme Uchepukaji kwa Baba Ibrahim ndio umeleta haya? Though Bible inasema Mkewe Halali Sarah ndie aliyemruhusu amwingilie kijakazi wake wa kiarabu.Ishmael hakuwa mtoto wa agano la Mungu kwa Ibrahimu kwa hiyo akawa lango la kupitisha vitu vingi sana ikiwemo dini, miungu, tabia na mengine mengi ndiyo maana waarabu wengi wapo hivyo walivyo na hayo mambo yao meusi.