Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
Mkuu wapalestina wamekufa wengi sana ila wao hawasemi idadi.Update ya Aljazeera ya saa kumi na mbili asubuhi,Israel 1,200 na Palestina 900 na wanaonya hao ni wale waliotambulika,wapo wengi sana wamefukiwa chini ya vifusi,au na Aljazeera ni waongo?
Israel wao wanasema idadi bila uwoga hata hivyo wamesema tuu inaweza ongezeka. Na wengi waliuwawa j mosi na j pili walipo vamia kwa kushitukiza.