LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Update ya Aljazeera ya saa kumi na mbili asubuhi,Israel 1,200 na Palestina 900 na wanaonya hao ni wale waliotambulika,wapo wengi sana wamefukiwa chini ya vifusi,au na Aljazeera ni waongo?
Mkuu wapalestina wamekufa wengi sana ila wao hawasemi idadi.
Israel wao wanasema idadi bila uwoga hata hivyo wamesema tuu inaweza ongezeka. Na wengi waliuwawa j mosi na j pili walipo vamia kwa kushitukiza.
 
Hio 1500 wamesema wayahudi wenyewe ha ha ha ha ha Sasa hio kesho usishangae wayahudi wakafika 2000 hii vita Israeli imeshindwa tu na wanaogopa kufanya ground attack kwasababu ya kuchinjwa kama kuku
Wapalestina wa buza bhana.

Mkuu wamepigwa hao.
Hata mpaka sasa hamas wenyewe wamesema kuna top commanda wao kauwawa na Israel
 
Wapalestina wa buza bhana.

Mkuu wamepigwa hao.
Hata mpaka sasa hamas wenyewe wamesema kuna top commanda wao kauwawa na Israel
Kwenye huu mgogoro Israeli inaongiza Kwa ku uawa Kwa makamanda wake
1696907460051.jpg
1696711443607.jpg
1696700976613.jpg
 
kwa hyo hamas kuwachinja waisrael ndo suluhisho? na kwa nn huwalaumu hamas kwa unyama wao unaishia tu kusema mwendelezo wa mzozo, hilo taifa huru anayetakiwa kuliunda ni nani? wapalestina wanatakiwa waondoke hapo sio kwao.
Wapalestina hapo ni kwao, Israel ndio sio kwao walienda hapo mwaka 1947
 
Update ya Aljazeera ya saa kumi na mbili asubuhi,Israel 1,200 na Palestina 900 na wanaonya hao ni wale waliotambulika,wapo wengi sana wamefukiwa chini ya vifusi,au na Aljazeera ni waongo?
Hawa danganyi kumbuka hiyo ni vita hivyo takwimu huwa zina badilika kila wakati kutokana na vita inavyo endelea.
Kiufupi pande zote zinaumia maana vita sio lele mama kama wengi wanavyo fikiri kwakweli isitishwe tu.
 
Imagine umetekwa na unapewa HIYO taarifa kwamba kila shambulio litamaanisha kuchinjwa kwa kukatwa shingo na kisu na ndio mwisho wa wewe kuwa hai hapa duniani unaondoka duniani kwa maumivu makali sana hata kale ka imani ka kubadilishana wafungwa hakapo tena POW SWAP DEAL hivyo kufa wewe ni 100% kinyama na kikatili kisu kinapenya shingo na macho kuanza kuona giza na hatimaye unaanza kujisaidia na kukojoa kwa maumivu makali ya kisu kukata mifupa duuuuuuuh.
Mkuu
Tunza afya yako ya akili.

Kuwaza vitu kama hivi ni kukupelekea kutaka kujaribu na hatimaye kujiingiza humo.

Hao wanaochinja wana akili tofauti na wanadamu wa kawaida
 
Mkuu hakuna aliyebisha na hata hizo information Israel wao wenyewe ndo wanatoa. Na sio hamas.
Wapalestina wamekufa wengi sana tena sana. Kumbuka lile eneo la wapalestina wanakaa watu 2 million afu ni eneo la km 25 kwa km 7 mraba kama sijakosea. Sio kubwa.
Wengine 100 wameshagundulika HUKO muda huu
 
Uhuni wa Hamas haukubaliki, wanawatumia waparestina kama war shelter, wanapiga then wanakimbilia mahospital, mashuleni na kwenye makazi ya watu.

Ku-deal na hawa watu bila roho ngumu huwezi - kichapo cha mbwa koko kiendelee Gaza. Kosa kubwa la waparestina ni kuwakaribisha na kuwapa hifadhi na utawala hawa wahuni, wacha waumie pamoja hakuna namna.

Hio 1500 wamesema wayahudi wenyewe ha ha ha ha ha Sasa hio kesho usishangae wayahudi wakafika 2000 hii vita Israeli imeshindwa tu na wanaogopa kufanya ground attack kwasababu ya kuchinjwa kama kuku
Huwa unaelezea kile kilichopo kwa akili yako unataka kiwe ndiyo uhalisia 😀
 
Uhuni wa Hamas haukubaliki, wanawatumia waparestina kama war shelter, wanapiga then wanakimbilia mahospital, mashuleni na kwenye makazi ya watu.

Ku-deal na hawa watu bila roho ngumu huwezi - kichapo cha mbwa koko kiendelee Gaza. Kosa kubwa la waparestina ni kuwakaribisha na kuwapa hifadhi na utawala hawa wahuni, wacha waumie pamoja hakuna namna.
Naunga mkono,kama kina Mama wataendelea kuwaficha HAMAS huku wakiwatanguliza watoto wao mbele maana yake wako tayari watoto wafe ili HAMAS wapone.Kichapo na kiendelee,akili zikiwakaa sawa wataacha huu ujinga wa kuwaficha
 
Mkuu wapalestina wamekufa wengi sana ila wao hawasemi idadi.
Israel wao wanasema idadi bila uwoga hata hivyo wamesema tuu inaweza ongezeka. Na wengi waliuwawa j mosi na j pili walipo vamia kwa kushitukiza.
Haaaaa acha kujifariji vita siku zote huwa inaleta madhara pande zote hivyo sio jambo la ajabu kwa Israel kupata hayo madhara.
Jana tu watu 20 na wameuwa na wengi wamejeruhiwa kwenye mji mmoja kusini mwa Israel baada ya shambulizi la maroketi la hamas.

Tatizo nyinyi mna chukulia vita kama kitu rahisi sana,vita sio lele mama na ndio maana mpaka sasa Israel inaogopa kuingia gaza inarusha mabomu kutoka mbali.
 
Uhuni wa Hamas haukubaliki, wanawatumia waparestina kama war shelter, wanapiga then wanakimbilia mahospital, mashuleni na kwenye makazi ya watu.

Ku-deal na hawa watu bila roho ngumu huwezi - kichapo cha mbwa koko kiendelee Gaza. Kosa kubwa la waparestina ni kuwakaribisha na kuwapa hifadhi na utawala hawa wahuni, wacha waumie pamoja hakuna namna.

Mbona hukuya sema haya kipindi Ukraine inawatumia raia kama ngao?
 
Back
Top Bottom