Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
Mkuu wapalestina wamekufa wengi sana ila wao hawasemi idadi.Update ya Aljazeera ya saa kumi na mbili asubuhi,Israel 1,200 na Palestina 900 na wanaonya hao ni wale waliotambulika,wapo wengi sana wamefukiwa chini ya vifusi,au na Aljazeera ni waongo?
Hio 1500 wamesema wayahudi wenyewe ha ha ha ha ha Sasa hio kesho usishangae wayahudi wakafika 2000 hii vita Israeli imeshindwa tu na wanaogopa kufanya ground attack kwasababu ya kuchinjwa kama kuku
View: https://youtu.be/kwcue71_6qM?si=aDWx3hXKuXd8B-n-
17 hours ago nafikili mpaka kesho wanaweza fika zaidi ya 2k
Wapalestina wa buza bhana.Hio 1500 wamesema wayahudi wenyewe ha ha ha ha ha Sasa hio kesho usishangae wayahudi wakafika 2000 hii vita Israeli imeshindwa tu na wanaogopa kufanya ground attack kwasababu ya kuchinjwa kama kuku
Kwenye huu mgogoro Israeli inaongiza Kwa ku uawa Kwa makamanda wakeWapalestina wa buza bhana.
Mkuu wamepigwa hao.
Hata mpaka sasa hamas wenyewe wamesema kuna top commanda wao kauwawa na Israel
Wapalestina hapo ni kwao, Israel ndio sio kwao walienda hapo mwaka 1947kwa hyo hamas kuwachinja waisrael ndo suluhisho? na kwa nn huwalaumu hamas kwa unyama wao unaishia tu kusema mwendelezo wa mzozo, hilo taifa huru anayetakiwa kuliunda ni nani? wapalestina wanatakiwa waondoke hapo sio kwao.
Hawa danganyi kumbuka hiyo ni vita hivyo takwimu huwa zina badilika kila wakati kutokana na vita inavyo endelea.Update ya Aljazeera ya saa kumi na mbili asubuhi,Israel 1,200 na Palestina 900 na wanaonya hao ni wale waliotambulika,wapo wengi sana wamefukiwa chini ya vifusi,au na Aljazeera ni waongo?
MkuuImagine umetekwa na unapewa HIYO taarifa kwamba kila shambulio litamaanisha kuchinjwa kwa kukatwa shingo na kisu na ndio mwisho wa wewe kuwa hai hapa duniani unaondoka duniani kwa maumivu makali sana hata kale ka imani ka kubadilishana wafungwa hakapo tena POW SWAP DEAL hivyo kufa wewe ni 100% kinyama na kikatili kisu kinapenya shingo na macho kuanza kuona giza na hatimaye unaanza kujisaidia na kukojoa kwa maumivu makali ya kisu kukata mifupa duuuuuuuh.
Mkuu hakuna aliyebisha na hata hizo information Israel wao wenyewe ndo wanatoa. Na sio hamas.Kwenye huu mgogoro Israeli inaongiza Kwa ku uawa Kwa makamanda wake View attachment 2778363View attachment 2778364View attachment 2778365
Kwahyo waisrael kwao niwapWapalestina hapo ni kwao, Israel ndio sio kwao walienda hapo mwaka 1947
Wengine 100 wameshagundulika HUKO muda huuMkuu hakuna aliyebisha na hata hizo information Israel wao wenyewe ndo wanatoa. Na sio hamas.
Wapalestina wamekufa wengi sana tena sana. Kumbuka lile eneo la wapalestina wanakaa watu 2 million afu ni eneo la km 25 kwa km 7 mraba kama sijakosea. Sio kubwa.
Huwa unaelezea kile kilichopo kwa akili yako unataka kiwe ndiyo uhalisia 😀Hio 1500 wamesema wayahudi wenyewe ha ha ha ha ha Sasa hio kesho usishangae wayahudi wakafika 2000 hii vita Israeli imeshindwa tu na wanaogopa kufanya ground attack kwasababu ya kuchinjwa kama kuku
Kwaiyo Mkuu siyo vizur kuwaza vitu kama hivi ni hatari Kwa Afya ya akili siyo? Ufafanuzi kidogoMkuu
Tunza afya yako ya akili.
Kuwaza vitu kama hivi ni kukupelekea kutaka kujaribu na hatimaye kujiingiza humo.
Hao wanaochinja wana akili tofauti na wanadamu wa kawaida
Exactly 💯 warabu ndo wasisi wa haya yote wapumbavu hao.Waasisi wa choko choko wanafahamika..
View attachment 2778361
Naunga mkono,kama kina Mama wataendelea kuwaficha HAMAS huku wakiwatanguliza watoto wao mbele maana yake wako tayari watoto wafe ili HAMAS wapone.Kichapo na kiendelee,akili zikiwakaa sawa wataacha huu ujinga wa kuwafichaUhuni wa Hamas haukubaliki, wanawatumia waparestina kama war shelter, wanapiga then wanakimbilia mahospital, mashuleni na kwenye makazi ya watu.
Ku-deal na hawa watu bila roho ngumu huwezi - kichapo cha mbwa koko kiendelee Gaza. Kosa kubwa la waparestina ni kuwakaribisha na kuwapa hifadhi na utawala hawa wahuni, wacha waumie pamoja hakuna namna.
Kwenye huu mgogoro Israeli inaongiza Kwa ku uawa Kwa makamanda wake View attachment 2778363View attachment 2778364baView attachment 2778365
Yale yale ya picha za kule kwa mada ya vita ya Russia na Ukraine.Ukija kuletewa habari tofauti na hii unapiga kimya kama haupoKwenye huu mgogoro Israeli inaongiza Kwa ku uawa Kwa makamanda wake View attachment 2778363View attachment 2778364View attachment 2778365
Maneno matupu hayo,mimi naongelea kile kimereportiwa na Aljazeera.Wewe hayo ya kutupwa porini umeyajulia wapi hebu tupe source yako pia.Hata wayahudi walio kufa ni wale walio tambulika Kuna wengini wametupwa maporini alafu kuna mateka bado mwaka Israeli KAZI anayo
Haaaaa acha kujifariji vita siku zote huwa inaleta madhara pande zote hivyo sio jambo la ajabu kwa Israel kupata hayo madhara.Mkuu wapalestina wamekufa wengi sana ila wao hawasemi idadi.
Israel wao wanasema idadi bila uwoga hata hivyo wamesema tuu inaweza ongezeka. Na wengi waliuwawa j mosi na j pili walipo vamia kwa kushitukiza.
Hata baadhi ya makamanda wa Israel wameuawa na wengine kutekwa.Wapalestina wa buza bhana.
Mkuu wamepigwa hao.
Hata mpaka sasa hamas wenyewe wamesema kuna top commanda wao kauwawa na Israel
Mbona hukuya sema haya kipindi Ukraine inawatumia raia kama ngao?Uhuni wa Hamas haukubaliki, wanawatumia waparestina kama war shelter, wanapiga then wanakimbilia mahospital, mashuleni na kwenye makazi ya watu.
Ku-deal na hawa watu bila roho ngumu huwezi - kichapo cha mbwa koko kiendelee Gaza. Kosa kubwa la waparestina ni kuwakaribisha na kuwapa hifadhi na utawala hawa wahuni, wacha waumie pamoja hakuna namna.