LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
kwa hyo hamas kuwachinja waisrael ndo suluhisho? na kwa nn huwalaumu hamas kwa unyama wao unaishia tu kusema mwendelezo wa mzozo, hilo taifa huru anayetakiwa kuliunda ni nani? wapalestina wanatakiwa waondoke hapo sio kwao.
Huo mzozo umeanza hata kabla ya Hamas kuanzishwa, kilichotokea ni mwendelezo tuu wa huu mzozo.

Waondoke waende wapi?....

Suluhisho la kudumu ni kuundwa kwa taifa huru la Wapalestina lenye mipaka yake halali
 
Kwa approach waliyotumia HAMAS kuwashambulia raia wasio na hatia wa Israel ni ngumu sana kwa Wapalestina kupata mataifa ya kuwaunga mkono
Wanaounga mkono ni mataifa ya kiislam tuu na pamoja na wale wa kufuata mkumbo (pro russian).
Kama china, Venezuela na North Korea. 🤣🤣🤣🤣 wapo upande wa palestina kisa Russia anasupport Palestina.

MK254
T14 Armata

Bila kusahau wapalestina wa buza.
 
Tena wanaanza kuwauwa adharani.
Tactic waliyoitumia msimu huu sio mzuri sina uhakika kama watasupportiwa maana wanaanza kuwaita magaidi.
Wamefanya kosa kubwa sana kifupi wamefeli. Kwa mauaji yale kuitwa magaidi ni sawa kabisa.

Hakuna taifa lingekubali kuona raia wake wanavamiwa na kuuwa kikatili vile likae kimya bila kulipiza...ndicho anachofanya Israel

Siungi mkono vita kwa sababu vita haijawahi kumaliza vita
 
US inaendelea kutoa msaada kwa upande mmoja tu, alafu eti hujitanganza kila mara kama wapatanishi.

Wanafiki na wazandiki hawa mabeberu, Wapalestina wametoswa na ndugu zao waarabu waliogeuka vibaraka na makuwadi wa magharibi

Huo mzozo umeanza hata kabla ya Hamas kuanzishwa, kilichotokea ni mwendelezo tuu wa huu mzozo.

Waondoke waende wapi?....

Suluhisho la kudumu ni kuundwa kwa taifa huru la Wapalestina lenye mipaka yake halali
Waondoke waende kwao pale sio kwao, sasa kama ni kwao wanasubiri nn kuunda hilo taifa lao lenye mipaka halali kama unavosema, wanamsubiri nani awaundie hilo taifa lao? hv mtu anataka chumbani kwako ndo kuwe chumbani kwake utakubaliana na hilo kweli?
 
Hata maifa ya kiislamu yamekaa kimya. Saudi Arabia imetaka ufanyike haraka mkutano wa jumuiya ya Kiislamu, Organisation of Islamic Cooperation (OIC)

China imetaka pande zote mbili ku-cease fire wakae mezani

Urusi iko neutral mpaka sasa inataka pande zote mbili zifanye mazungumzo
 
Waondoke waende kwao pale sio kwao, sasa kama ni kwao wanasubiri nn kuunda hilo taifa lao lenye mipaka halali kama unavosema, wanamsubiri nani awaundie hilo taifa lao? hv mtu anataka chumbani kwako ndo kuwe chumbani kwake utakubaliana na hilo kweli?
Tuambie Sasa kwao ni wapi ili waende huko?...

.taifa lao linatakiwa liundwe kwa Israel kurudi kwenye mipaka yake halali kabla ya Vita ya 1967.
 
Hata maifa ya kiislamu yamekaa kimya

China imetaka pande zote mbili ku-cease fire wakae mezani

Urusi iko neutral mpaka sasa inataka pande zote mbili zifanye mazungumzo
Mkuu ile j mosi wakati mashambulizi yanaanza wote hao walikuwa wanalalamika uhuru wa palestina wamekuja kugeuka baada ya wapalestina kuanza kusema kutawachinja mateka.
Na video kuanza kuvuja wakifanya ubakaji na kuuwa watoto.

Hapo ndo mataifa mengi wakageuka.
Kabaki Iran tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…