GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Mwasisi wake ni nani?Mbaya zaidi dunia nzima inaaminishwa Hamas is a terrorist organisation huku ukweli ukifichwa kwa nguvu zote kuhusu waasisi wake.
[emoji23][emoji23] si mnasemaga wamarekan wote mashoga hamuwezi yasikiliza , imekuwaje tena bwana shehe ? nyiny watu hampendi kusikia habari mbaya kwenu , majuz nlikuona humu unashangilia upumbav wa Hamas na tuliwaambia hapa , kwahyo ww unaona sw Hamas kuua watu wasio na hati wa kiisrael ila sio sw Israel kujibu mapigo ? Ukiwa muumin wa dini yenu basi inabid akili uitoe kbs maana .....Mwanasiasa mkongwe na aliyekuwa mjumbe wa baraza la wawakilishi nchini Marekani Ronald Ernest Paul kutoka jimbo la Texas na ambaye kwa sasa ni mstaafu miaka ya nyuma aliwahi kusema maneno haya (Tizama video clip niliyoiambatanisha hapa) wakati akichangia hoja ya hali ya amani katika nchi za Mashariki ya Kati, haswahaswa baina ya Israeli na Palestina.
Ifuatayo ni summary ya aliyasema katika video hiyo.
#) Marekani inahusika moja kwa moja na haiwezi kujitenga na mgogoro baina ya Israeli na Palestina kwakuwa imekuwa ikiipa Israeli misaada ya kifedha na silaha kwa miaka mingi- fedha na silaha ambazo ndizo hutumika kuwaua Wapalestina.
#) Vile vile ukiangalia historia, taifa la Israel ndio muasisi wa kikundi cha Hamas. Kikundi hichi kilianzishwa na Israeli kwa lengo la kumdhoofisha Yasser Arafat,(aliyekuwa mwanaharakati na mpigania raisi wa Palestina) ambaye alikuwa ni m/kiti wa chama cha PLO.
#) Ni Marekani hiyo hiyo iliyoamua kusimika utawala wa kidemokrasia Mashariki ya Kati, ambapo wapalestina kwa kutumia demokrasia hiyo hiyo wakuchagua Hamas ambayo ilikuwa maarufu kipindi hicho iwaongoze.
#). Na mengine mengi utayasiki katika video hii.
View attachment 2778027
Wanakaa vikao sasa hiviSi ndugu zao wa kiarabu wapo wawasaidie, maana mchuma janga hula na nduguze
Mkuu ebu achana na huyu mpumbavu unapoteza muda wako.Hujui usemalo sababu halijakukuta....
soma sana kwa bidii ukikua utayafahamu maisha vizuri.
mkuu ukishindwa kuishi na majirani kistaarabu huna haja ya kuonewa huruma, huwezi kuwa kikwazo kwa majirani kila siku halafu waendelee kukuchekea tu, hata ukipigwa kiberiti sawa tu, ufe uache watu wanaotaka kuishi kwa amani waishi kwa amani.Hujui usemalo sababu halijakukuta....
soma sana kwa bidii ukikua utayafahamu maisha vizuri.
Utaongea yote ila wavaa kobasi wote ni wajinga na wapumbavu, hamjawai kuwa wastaarabu na hamtakaa muwe, mtu unajivika mabomu kwenda kujilipua kuuwa watu eti ukitegemea uendako utakabidhiwa sijui mabikra wangapi sijui. halafu unakuja hapa na ngonjera za akili sijui nn, tunaenda kuichakaza palestina, kwanza hamna taifa la palestina, tunaenda safisha takataka.
Unaona sasa shida yenu, umenitupia maneno ya kashfa yasiyotamkika, ukafika mpaka hatua ya kuniambia mimba yangu ilitungwa kwenye madanguro, kweli mkuu unadiriki kunitamkia maneno kama hayo. Mm nimekuchokoza kidogo tu umeanza kulialia, na siku zote ndo mlivo hvo, wajuvi sana wa kuanza jambo, mkirudishiwa tu mnaanza kulialia na kutafuta hurumaNdio maana nimekuita mpumbavu ww hapo ulipo kuna muislam alisha wahi kukufuta nyumbani kwako na mabomu akajilipua au unapo ishi hakuna waisilam?
Unaona sasa shida yenu, umenitupia maneno ya kashfa yasiyotamkika, ukafika mpaka hatua ya kuniambia mimba yangu ilitungwa kwenye madanguro, kweli mkuu unadiriki kunitamkia maneno kama hayo. Mm nimekuchokoza kidogo tu umeanza kulialia, na siku zote ndo mlivo hvo, wajuvi sana wa kuanza jambo, mkirudishiwa tu mnaanza kulialia na kutafuta
Kama huna kifua cha kuvumilia kejeli kwa nn ww uwakejeli wenzio?Unaona sasa shida yenu, umenitupia maneno ya kashfa yasiyotamkika, ukafika mpaka hatua ya kuniambia mimba yangu ilitungwa kwenye madanguro, kweli mkuu unadiriki kunitamkia maneno kama hayo. Mm nimekuchokoza kidogo tu umeanza kulialia, na siku zote ndo mlivo hvo, wajuvi sana wa kuanza jambo, mkirudishiwa tu mnaanza kulialia na kutafuta huruma
Hii inayoanza kusema na wapalestina kuwa Israel inafanya mauaji ya haraiki nayo inaitwaje?Mkuu mauaji la Kimbali inaamana nyingi kuna wengine wanasema kuwa.
1.Ni mauaji ya watu wengi kwa muda mfupi.
2. Wengine wanasema ni mauaji ambayo jamii moja inauwa watu wa jamii nyingine au watu wa taifa hili wanauwa watu wa taifa nyingine.
3. Na wengine wanasema kuuwawa kwa kundi flani au jamii flani ya watu kwa sababu wao ni akinani mfano; Hutu and tutsi( rwanda na burundi).
Au central africa ( wakristo na waislam).
hata kama ni kejeli ndo ufike hatua ya kuniambia mimba yangu ilitungwa kwenye madanguro kwel, ina maana mama yangu alikuwa sex worker kwenye madanguro siyo, kejeli nyingine siyo kabisa mkuu, nimeumia sana ila nimemwachia Mungu, ndo maana wala sijakukashfia uzao wako, naandika huku machozi yananitoka, nimeumia sana mkuu wangu, asante.Kama huna kifua cha kuvumilia kejeli kwa nn ww uwakejeli wenzio?
Kwahiyo ww kejeli unazo fanya humu dhidi ya waisilam unaziona ni sawa?
Jifunze kuheshimu kila mtu maana hujui ni kesho yako hivyo hujui nu nani atakuwa msaada kwako pale kesho ya itakapo kuwa mbaya.
Namfuatilia kwa karibu sana PM Netanyau, nadhani baada ya huyu Israel haitakuja kumpata jemedari mwingine like this man.Hii kauli mbona ni ya kibabe na kimamlaka na kihitimisho sana?
Netanyau nomaNamfuatilia kwa karibu sana PM Netanyau, nadhani baada ya huyu Israel haitakuja kumpata jemedari mwingine like this man.
Kuna kitu nadhani nimekiona, huyu jamaa alikuwa anajua kile Hamas wanaemda kufanya but aliacha makusudi ili afanye hiki tunachokiona.
netanyau ana akili sana, alikuwa amekalia kuti kavu, ilikuwa ni suala la muda tu angedondoka, akaamu kuwasacrifice raia wako ili arudishe imani ya waisrael kwake, sasa hv mambo yote ya ndani ya israel yamesimama, watu wanashughulika na hamas, fumba na kufumbua netanyau anaibuka shujaa, wanasiasa sio watu. Hv mkuu inawezekana kwel mosad hawakujua kilichokuwa kinapangwa na hamas, nitakuwa wa mwisho kuaminiNamfuatilia kwa karibu sana PM Netanyau, nadhani baada ya huyu Israel haitakuja kumpata jemedari mwingine like this man.
Kuna kitu nadhani nimekiona, huyu jamaa alikuwa anajua kile Hamas wanaemda kufanya but aliacha makusudi ili afanye hiki tunachokiona.