LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mwanasiasa mkongwe na aliyekuwa mjumbe wa baraza la wawakilishi nchini Marekani Ronald Ernest Paul kutoka jimbo la Texas na ambaye kwa sasa ni mstaafu miaka ya nyuma aliwahi kusema maneno haya (Tizama video clip niliyoiambatanisha hapa) wakati akichangia hoja ya hali ya amani katika nchi za Mashariki ya Kati, haswahaswa baina ya Israeli na Palestina.

Ifuatayo ni summary ya aliyasema katika video hiyo.

#) Marekani inahusika moja kwa moja na haiwezi kujitenga na mgogoro baina ya Israeli na Palestina kwakuwa imekuwa ikiipa Israeli misaada ya kifedha na silaha kwa miaka mingi- fedha na silaha ambazo ndizo hutumika kuwaua Wapalestina.

#) Vile vile ukiangalia historia, taifa la Israel ndio muasisi wa kikundi cha Hamas. Kikundi hichi kilianzishwa na Israeli kwa lengo la kumdhoofisha Yasser Arafat,(aliyekuwa mwanaharakati na mpigania raisi wa Palestina) ambaye alikuwa ni m/kiti wa chama cha PLO.

#) Ni Marekani hiyo hiyo iliyoamua kusimika utawala wa kidemokrasia Mashariki ya Kati, ambapo wapalestina kwa kutumia demokrasia hiyo hiyo wakuchagua Hamas ambayo ilikuwa maarufu kipindi hicho iwaongoze.

#). Na mengine mengi utayasiki katika video hii.

View attachment 2778027
[emoji23][emoji23] si mnasemaga wamarekan wote mashoga hamuwezi yasikiliza , imekuwaje tena bwana shehe ? nyiny watu hampendi kusikia habari mbaya kwenu , majuz nlikuona humu unashangilia upumbav wa Hamas na tuliwaambia hapa , kwahyo ww unaona sw Hamas kuua watu wasio na hati wa kiisrael ila sio sw Israel kujibu mapigo ? Ukiwa muumin wa dini yenu basi inabid akili uitoe kbs maana .....
 
Hujui usemalo sababu halijakukuta....

soma sana kwa bidii ukikua utayafahamu maisha vizuri.
mkuu ukishindwa kuishi na majirani kistaarabu huna haja ya kuonewa huruma, huwezi kuwa kikwazo kwa majirani kila siku halafu waendelee kukuchekea tu, hata ukipigwa kiberiti sawa tu, ufe uache watu wanaotaka kuishi kwa amani waishi kwa amani.
 
Utaongea yote ila wavaa kobasi wote ni wajinga na wapumbavu, hamjawai kuwa wastaarabu na hamtakaa muwe, mtu unajivika mabomu kwenda kujilipua kuuwa watu eti ukitegemea uendako utakabidhiwa sijui mabikra wangapi sijui. halafu unakuja hapa na ngonjera za akili sijui nn, tunaenda kuichakaza palestina, kwanza hamna taifa la palestina, tunaenda safisha takataka.

Ndio maana nimekuita mpumbavu ww hapo ulipo kuna muislam alisha wahi kukufuta nyumbani kwako na mabomu akajilipua au unapo ishi hakuna waisilam?

Ww hapo ulipo sipamejaa waisilam unapisha nao kila siku, unaishi nao kama majirani ,umesoma nao ,una angalia mpila nao,unakunywa kahawa nao, je walisha kuharibia kitu gani chako mpaka unakuwa na chuki za kipumbavu juu yao?
Jifunze kuwa na akiba ya maneno ww mpumbavu wenda hao waisilam unao wachukia na kuwadhihaki humu ndo watakuja kukuolea mabinti zako hivyo kuwa na adabu.
 
"The escalation of Israel's war with Palestine will undoubtedly consolidate the Islamic world. Conservatives in the West are again talking about defending the 'Judeo-Christian civilization in the face of Muslims', and the radical ideology of Hamas provides them with a convenient excuse for this. However, a society of deep atheism, materialism and legalization of all kinds of perversions, which has long since abandoned traditional theology and values (and orientations), cannot be considered either Christian or Jewish.

If the West, as it is now, supports Israel, it is seriously guilty of something. After all, if the devil's civilization is on your side, then you have done something wrong.

There is no such thing as a Judeo-Christian world, it just doesn't make sense. The Islamic world, on the contrary, exists and in it, the traditions are still strong. It turns out that it is not the Judeo-Christians against the Muslims, but the Muslims against the satanic culture, against Dajjal.

Biden's idea of combining the theme of support for Ukraine with support for Israel, only underlines this: the West is always on the side of those who submit to its hegemony and serve it.

Muslims were not enemies of Ukraine and allies of Russia (with the exception of eschatologically awakened Iran and Syria), but now they will be. Russia is the pole of a multipolar world. Islam is the pole of a multipolar world. Both poles oppose the West's desperate attempts to save unipolarism and its global dominance at any cost, even at the cost of a world war. The Palestinian conflict with Israel was not the frontline of a conflict of civilizations. Now it is. Just as the tensions between Russia and Ukraine were regional in character until the Nazis in Kiev were supported by the West, the war in Ukraine has become the frontline of a global confrontation between multipolarity and unipolarity. The scope of this confrontation is growing. The situation is becoming more and more sinister. Already, billions of people on the planet are convinced that the collective West and its allies are absolute evil and the civilization of the Antichrist. Democrats, globalists and neoconservatives are leading humanity straight into the abyss. Which, strictly speaking, is what demons are supposed to do.— Alexander Dugin
 
Ndio maana nimekuita mpumbavu ww hapo ulipo kuna muislam alisha wahi kukufuta nyumbani kwako na mabomu akajilipua au unapo ishi hakuna waisilam?
Unaona sasa shida yenu, umenitupia maneno ya kashfa yasiyotamkika, ukafika mpaka hatua ya kuniambia mimba yangu ilitungwa kwenye madanguro, kweli mkuu unadiriki kunitamkia maneno kama hayo. Mm nimekuchokoza kidogo tu umeanza kulialia, na siku zote ndo mlivo hvo, wajuvi sana wa kuanza jambo, mkirudishiwa tu mnaanza kulialia na kutafuta huruma
 
Unaona sasa shida yenu, umenitupia maneno ya kashfa yasiyotamkika, ukafika mpaka hatua ya kuniambia mimba yangu ilitungwa kwenye madanguro, kweli mkuu unadiriki kunitamkia maneno kama hayo. Mm nimekuchokoza kidogo tu umeanza kulialia, na siku zote ndo mlivo hvo, wajuvi sana wa kuanza jambo, mkirudishiwa tu mnaanza kulialia na kutafuta
Unaona sasa shida yenu, umenitupia maneno ya kashfa yasiyotamkika, ukafika mpaka hatua ya kuniambia mimba yangu ilitungwa kwenye madanguro, kweli mkuu unadiriki kunitamkia maneno kama hayo. Mm nimekuchokoza kidogo tu umeanza kulialia, na siku zote ndo mlivo hvo, wajuvi sana wa kuanza jambo, mkirudishiwa tu mnaanza kulialia na kutafuta huruma
Kama huna kifua cha kuvumilia kejeli kwa nn ww uwakejeli wenzio?
Kwahiyo ww kejeli unazo fanya humu dhidi ya waisilam unaziona ni sawa?

Jifunze kuheshimu kila mtu maana hujui ni kesho yako hivyo hujui nu nani atakuwa msaada kwako pale kesho ya itakapo kuwa mbaya.
 
Gaza boarder, Waziri wa ulinzi wa Israel Yoav Gallant amewaambia wanajeshi wake alipokuwa anawaaga kuingia Gaza.

Tunahamia kwenye kosa kamili lililosababisha sisi kuwepo hapa, Hamas ilitaka mabadiliko katika mji wa Gaza na itabadilika digrii 180 kutoka kwa kile ilichofikiria.

Watajuta wakati huu sababu Gaza haitarudi kama ilivyokuwa, hii historia itaandikwa katika vitabu na hata vitabu vitakatifu vya dini.

Kuandika historia haijawahi kuwa jambo rahisi kama wengi wanavyodhani.

Mkuu mauaji la Kimbali inaamana nyingi kuna wengine wanasema kuwa.
1.Ni mauaji ya watu wengi kwa muda mfupi.
2. Wengine wanasema ni mauaji ambayo jamii moja inauwa watu wa jamii nyingine au watu wa taifa hili wanauwa watu wa taifa nyingine.
3. Na wengine wanasema kuuwawa kwa kundi flani au jamii flani ya watu kwa sababu wao ni akinani mfano; Hutu and tutsi( rwanda na burundi).

Au central africa ( wakristo na waislam).
Hii inayoanza kusema na wapalestina kuwa Israel inafanya mauaji ya haraiki nayo inaitwaje?
 
Kama huna kifua cha kuvumilia kejeli kwa nn ww uwakejeli wenzio?
Kwahiyo ww kejeli unazo fanya humu dhidi ya waisilam unaziona ni sawa?

Jifunze kuheshimu kila mtu maana hujui ni kesho yako hivyo hujui nu nani atakuwa msaada kwako pale kesho ya itakapo kuwa mbaya.
hata kama ni kejeli ndo ufike hatua ya kuniambia mimba yangu ilitungwa kwenye madanguro kwel, ina maana mama yangu alikuwa sex worker kwenye madanguro siyo, kejeli nyingine siyo kabisa mkuu, nimeumia sana ila nimemwachia Mungu, ndo maana wala sijakukashfia uzao wako, naandika huku machozi yananitoka, nimeumia sana mkuu wangu, asante.
 
Hii kauli mbona ni ya kibabe na kimamlaka na kihitimisho sana?
Namfuatilia kwa karibu sana PM Netanyau, nadhani baada ya huyu Israel haitakuja kumpata jemedari mwingine like this man.

Kuna kitu nadhani nimekiona, huyu jamaa alikuwa anajua kile Hamas wanaenda kufanya but aliacha makusudi ili afanye hiki tunachokiona.
 
Namfuatilia kwa karibu sana PM Netanyau, nadhani baada ya huyu Israel haitakuja kumpata jemedari mwingine like this man.

Kuna kitu nadhani nimekiona, huyu jamaa alikuwa anajua kile Hamas wanaemda kufanya but aliacha makusudi ili afanye hiki tunachokiona.
Netanyau noma
 
Namfuatilia kwa karibu sana PM Netanyau, nadhani baada ya huyu Israel haitakuja kumpata jemedari mwingine like this man.

Kuna kitu nadhani nimekiona, huyu jamaa alikuwa anajua kile Hamas wanaemda kufanya but aliacha makusudi ili afanye hiki tunachokiona.
netanyau ana akili sana, alikuwa amekalia kuti kavu, ilikuwa ni suala la muda tu angedondoka, akaamu kuwasacrifice raia wako ili arudishe imani ya waisrael kwake, sasa hv mambo yote ya ndani ya israel yamesimama, watu wanashughulika na hamas, fumba na kufumbua netanyau anaibuka shujaa, wanasiasa sio watu. Hv mkuu inawezekana kwel mosad hawakujua kilichokuwa kinapangwa na hamas, nitakuwa wa mwisho kuamini
 
Back
Top Bottom