LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Simulizi fupi na nzuri
 
Basi naomba uni samehe ila jifunze kuheshimu wenzako ili na ww uheshimiwe.
Jinsi ulivyo sijikia vibaya ulipo kejeliwa basi jua na wenzako wanavyo jisikia vibaya pale unapo wakejeli au kukejeli kile wanacho kipenda.
Usicho penda kufanyawa utakiwi kumfanyia mwenzio.
 
Issue ya umeme imeshaanza kuhangaisha watu
View attachment 2778940

Dah Gaza sasa umeme unaenda kukata mazima, chakula, mafuta, madawa yanaenda kuisha mazima kweli Hamas wameyakanyaga

👇👇👇👇👇👇

Summary​

  1. Gaza's only power station has run out of fuel, after Israel announced it was cutting off energy supplies as well as food and water
  2. It means Gazans will be relying on generators for electricity - if they have fuel to power them
  3. The Israeli military says hundreds of thousands of troops are near Gaza "ready to execute the mission we have been given"
  4. Israel's PM Benjamin Netanyahu and opposition leader Benny Gantz have agreed to form an emergency government
 
Lazima wabishe
Sbb walijiaminisha kuwa hawatapigwa Israel atashindwa

Niliwaambia hapa tusikimbiane
Issue ni kuwa hata hamas wenyewe wamepigwa butwaa,wamewezaje kufanikisha shambulio kwa kiwango kile,,wale walijua watachukua watu wawili watatu na kurudi gaza na kunegotiate prisoners exchange,,sada wamejikuta wana mateka karibu 200,na hawana njia ya kunegotiate maana waneharibu kweli kweli,,wao wenyewe wako roho juu juu sana,huu msala utaishaje,,
Wakiwaachia huru,ndo kabisa yaani watapigwa kama ngoma,
Wakiendea kuwashikilia hatimae wote watakufa,,bado watapigwa kama ngoma,,
Lililopo ni kupigana hadi mwisho,, hakuna option nyingine🤗
 
Ndio,

Kuingia ni ngumu sana ni lazima uwe na sababu maalum inokupeleka pale. Waweza kupata kibali kutoka Israeli au Misri kulingana na wapi ndi kituo chako cha mwisho.

Kupitia Misri ni lazima utumie daraja na Rafah ambalo sasa hivi ndo limebomolewa kwa makombora ya Israeli. Na kupitia Israeli wavuka mpaka wa Erez.

Ukipewa visa ni lzaima uwe na mwenyeji wa Gaza ambae atakuwa amekutayarishia malazi na pia huyo ndiye atakaekuja kukupokea.

Ukiwa Gaza unakuwa uko mikononi mwa macho ya makachero wa pande zote wa Israeli na wale wa Hamas.
 
⚡⚡⚡The United States announced the evacuation of its embassy in Lebanon and requested that all American citizens leave the country (confirmed)
 
No 4
 
Huko Israel tayari Netanyahu ameshaivunja serikali baada ya kukubaliana na kiongozi wa upinzani ambaye ni waziri wa Ulinzi na sasa wameunda serikali ya umoja
Kwakweli hii nimeipendaaa🤝
Yaani wamekua wamoja iwe tu hakuna Nia ovu nyuma yake!

Swali ,hivi kwann Rais wa isarel hasikiki ila pm tu, why?
 
Hata Mndela aliitwa gaidi. Sikushangai

Gaidi kwako ni mpigania uhuru kwa mwengine.
unapigania uhuru kwa kuwachinja na kuwaua watu wapo kweny party ambao sio wanajeshi wala sio wawakilishi wa watendaj wa serikali yoyote , HV WEW BIBI UNAJITAMBUA ?KABLA HUJAANDIKA FIKIRIA KWANZA , MANDELA KUITWA GAID INAEZA IKAWA KWEL AU ISIWE KWELI ILA HAIHALALISHI USHETAN WA HAMAS KWA RAIA WEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…