LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Taratiibu ukweli unaanza kujitenga na uongo kama maji na mafuta
IMG_20231011_201019.jpg
 
Jeshi la Israel limesema limeziona paragliders 15-20 zikiruda kuingia kwao na bado hawajaziona zilipoishia wanaendelea kuzisaka.
Hayo yamesemwa na wanajeshi wa Israel wakati bw.Kirby kutoka Marekani akiingia nchini Israel kubadilishana mawazo na viongozi wa nchi hiyo.Kabla kuanza safari yake amesema yeye anaogopa sana mzozo huo na hataki uzidi kupanuka.
Hofu hiyo inakwenda sambamba na kauli za kuiunga mkono Palestina zilizotolewa na viongozi wa mataifa kama vile Yemen,Iraq,Korea ya kaskazini na Putin wa Urusi.Kwa upande wa wanamgambo wa Houth tayari wamesema Marekani akiendelea kuiunga mkono Israel na wao watapeleka shabaha zao kwa maslahi Marekani waliyo karibu nayo.
The United States is watching developments on the Lebanon-Israel border closely and does not want to see the conflict widened or expanded, says White House national security spokesman John Kirby.
Paragliders inamaanisha nin???

Dizain km Hamas wanataka hili zoez lichukue muda mrefu ili wamchoshe izrael kiuchum
 
Kwakweli hii nimeipendaaa🤝
Yaani wamekua wamoja iwe tu hakuna Nia ovu nyuma yake!

Swali ,hivi kwann Rais wa isarel hasikiki ila pm tu, why?
Rais wa Israel ni mkuu wa nchi na cheo chake ni ceremonial tu.
Kazi zake huwa ni kuwapa vibali wajumbe wa Israel katika mataifa ya kigeni na kukubali hati tambulishi za wanadiplomasia wa kigeni wanaohudumu nchini Israel. Pia hutia saini kila sheria iliyotungwa na Knesset na mikataba na makubaliano na nchi za kigeni ambayo yameidhinishwa na Knesset.
 
Ccm ni sikio la kufa hawawezi kujifunza chochote hapo, wao wako radhi watu wafe wote wabaki wanatawala wanyama katika mbuga za Serengeti, Ngorongoro, Manyara, Mikumi nk.
Sasa hapo mzee uhusiano wa mchango wako na mada uko wapi ?

Kwa style ya comment kama hizi CCM wataendelea kuongoza nchi
 
Jeshi la Israel limesema limeziona paragliders 15-20 zikiruda kuingia kwao na bado hawajaziona zilipoishia wanaendelea kuzisaka.
Hayo yamesemwa na wanajeshi wa Israel wakati bw.Kirby kutoka Marekani akiingia nchini Israel kubadilishana mawazo na viongozi wa nchi hiyo.Kabla kuanza safari yake amesema yeye anaogopa sana mzozo huo na hataki uzidi kupanuka.
Hofu hiyo inakwenda sambamba na kauli za kuiunga mkono Palestina zilizotolewa na viongozi wa mataifa kama vile Yemen,Iraq,Korea ya kaskazini na Putin wa Urusi.Kwa upande wa wanamgambo wa Houth tayari wamesema Marekani akiendelea kuiunga mkono Israel na wao watapeleka shabaha zao kwa maslahi Marekani waliyo karibu nayo.
The United States is watching developments on the Lebanon-Israel border closely and does not want to see the conflict widened or expanded, says White House national security spokesman John Kirby.

Israeli air force says infiltration from Lebanon ‘ruled out’​

The update comes after the head of a regional council in northern Israel said manned paragliders from Lebanon had landed inside of Israel.
“Further to the reports of infiltration from the Lebanese border into Israel’s airspace, as of now fear of infiltration has been ruled out,” the airforce said on X.
The Israeli army also withdrew its call for Israelis to take shelter, saying the warning was caused by human error.
 
Wapinzani Wakuu wa Netanyahu wamekubali kuungana naye na Kuunda " Serikali ya Vita" iliyojiapisha kuifuta Hamas kwenye uso wa Dunia

Source Al jazeera
Israel ni mzaliwa wa kwanza wangu mimi asema Bwana. Yeye amgusaye ni kama ameigusa mboni ya jicho la Yehova. Wabarikiwe watoto wa Yakobo.
 
HAMAS STARTED SOMETHING THEY CANT FINISH, they cant even protects its people, why starting a war you cant win.. now they are back in caves leaving palestines alone, crying and suffering, why did they do that, did they expect 5000 missiles will finish off all Israelites and inherit the land?
what is happening in GAZA right now, Hamas and their sponsors are to blame.
Hamas wali miscalculate hawakujua mafuriko yatakuwa makuu hivi. Ziko wapi zile Shangwe Allah Akbar huku wakiua mpaka vitoto vidogo?. Watu wa hovyo sana.
 
Solution ni mbili either waungane wawe nchi moja au wapalestina watawanywe kwenye nchi mbalimbali za kiarabu wakaanze upya maisha.
Yaani nchi ya Palestine isiwepo.
Wewe Hilo bongo halina akili kabisa. Yaani Wapalestina wenye nchi yao ndo wagawanywe badala Dunia kugawanya Wayahudi! Hatari kweli kweli.
 
Back
Top Bottom