4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
hv cmmu wana la kujifunza hapa?Wapinzani Wakuu wa Netanyahu wamekubali kuungana naye na Kuunda " Serikali ya Vita" iliyojiapisha kuifuta Hamas kwenye uso wa Dunia
Source Al jazeera
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hv cmmu wana la kujifunza hapa?Wapinzani Wakuu wa Netanyahu wamekubali kuungana naye na Kuunda " Serikali ya Vita" iliyojiapisha kuifuta Hamas kwenye uso wa Dunia
Source Al jazeera
kwamba kamalizana na Ukraine?akili kubwa jini putin anawachezesha game tamu huku anakula vodka
hao hamas ni bora kuliko jeshi lako la walea vitambiNimegundua wa israel ni kama ligi ya england tu imepigwa promo lkn ……. Ikiwa panya road tu wa mtaan mpaka waombe misaada kwa mataifa mengine je akikutana na…..! Napita tu
Paragliders inamaanisha nin???Jeshi la Israel limesema limeziona paragliders 15-20 zikiruda kuingia kwao na bado hawajaziona zilipoishia wanaendelea kuzisaka.
Hayo yamesemwa na wanajeshi wa Israel wakati bw.Kirby kutoka Marekani akiingia nchini Israel kubadilishana mawazo na viongozi wa nchi hiyo.Kabla kuanza safari yake amesema yeye anaogopa sana mzozo huo na hataki uzidi kupanuka.
Hofu hiyo inakwenda sambamba na kauli za kuiunga mkono Palestina zilizotolewa na viongozi wa mataifa kama vile Yemen,Iraq,Korea ya kaskazini na Putin wa Urusi.Kwa upande wa wanamgambo wa Houth tayari wamesema Marekani akiendelea kuiunga mkono Israel na wao watapeleka shabaha zao kwa maslahi Marekani waliyo karibu nayo.
The United States is watching developments on the Lebanon-Israel border closely and does not want to see the conflict widened or expanded, says White House national security spokesman John Kirby.
kawahamisha nato akili sasa marekani atagarami ukraine na israel afu akija kutoka amechoka sana china anakaa hapo juu bila ubishikwamba kamalizana na Ukraine?
Acha kulifananisha jeshi lenye weled la Tanzania na hicho kikund[emoji41][emoji41][emoji41]hao hamas ni bora kuliko jeshi lako la walea vitambi
Rais wa Israel ni mkuu wa nchi na cheo chake ni ceremonial tu.Kwakweli hii nimeipendaaa🤝
Yaani wamekua wamoja iwe tu hakuna Nia ovu nyuma yake!
Swali ,hivi kwann Rais wa isarel hasikiki ila pm tu, why?
Haukua false flag, ila walijua linapangwa, na Iran alikua ndiye engineer, lakini waliliacha litokee.Taratiibu ukweli unaanza kujitenga na uongo kama maji na mafutaView attachment 2779176
America's satellite state or diaspora state ikipelekewa msaadaBANDO la US lishaingia Israel kwa kifupi hii vita haijaanza bado
Russia ni habari nyingineakili kubwa jini putin anawachezesha game tamu huku anakula vodka
Sasa hapo mzee uhusiano wa mchango wako na mada uko wapi ?Ccm ni sikio la kufa hawawezi kujifunza chochote hapo, wao wako radhi watu wafe wote wabaki wanatawala wanyama katika mbuga za Serengeti, Ngorongoro, Manyara, Mikumi nk.
Israel imetwanga na WanamgamboWapinzani Wakuu wa Netanyahu wamekubali kuungana naye na Kuunda " Serikali ya Vita" iliyojiapisha kuifuta Hamas kwenye uso wa Dunia
Source Al jazeera
Jeshi la Israel limesema limeziona paragliders 15-20 zikiruda kuingia kwao na bado hawajaziona zilipoishia wanaendelea kuzisaka.
Hayo yamesemwa na wanajeshi wa Israel wakati bw.Kirby kutoka Marekani akiingia nchini Israel kubadilishana mawazo na viongozi wa nchi hiyo.Kabla kuanza safari yake amesema yeye anaogopa sana mzozo huo na hataki uzidi kupanuka.
Hofu hiyo inakwenda sambamba na kauli za kuiunga mkono Palestina zilizotolewa na viongozi wa mataifa kama vile Yemen,Iraq,Korea ya kaskazini na Putin wa Urusi.Kwa upande wa wanamgambo wa Houth tayari wamesema Marekani akiendelea kuiunga mkono Israel na wao watapeleka shabaha zao kwa maslahi Marekani waliyo karibu nayo.
The United States is watching developments on the Lebanon-Israel border closely and does not want to see the conflict widened or expanded, says White House national security spokesman John Kirby.
Israel ni mzaliwa wa kwanza wangu mimi asema Bwana. Yeye amgusaye ni kama ameigusa mboni ya jicho la Yehova. Wabarikiwe watoto wa Yakobo.Wapinzani Wakuu wa Netanyahu wamekubali kuungana naye na Kuunda " Serikali ya Vita" iliyojiapisha kuifuta Hamas kwenye uso wa Dunia
Source Al jazeera
Hamas wali miscalculate hawakujua mafuriko yatakuwa makuu hivi. Ziko wapi zile Shangwe Allah Akbar huku wakiua mpaka vitoto vidogo?. Watu wa hovyo sana.HAMAS STARTED SOMETHING THEY CANT FINISH, they cant even protects its people, why starting a war you cant win.. now they are back in caves leaving palestines alone, crying and suffering, why did they do that, did they expect 5000 missiles will finish off all Israelites and inherit the land?
what is happening in GAZA right now, Hamas and their sponsors are to blame.
Wewe Hilo bongo halina akili kabisa. Yaani Wapalestina wenye nchi yao ndo wagawanywe badala Dunia kugawanya Wayahudi! Hatari kweli kweli.Solution ni mbili either waungane wawe nchi moja au wapalestina watawanywe kwenye nchi mbalimbali za kiarabu wakaanze upya maisha.
Yaani nchi ya Palestine isiwepo.