Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
DuhRais wa Israel ni mkuu wa nchi na cheo chake ni ceremonial tu.
Kazi zake huwa ni kuwapa vibali wajumbe wa Israel katika mataifa ya kigeni na kukubali hati tambulishi za wanadiplomasia wa kigeni wanaohudumu nchini Israel. Pia hutia saini kila sheria iliyotungwa na Knesset na mikataba na makubaliano na nchi za kigeni ambayo yameidhinishwa na Knesset.
Inataka kufanana na uingereza eeh?
Na wao waziri mkuu ndo Kila kitu
Kumbe