LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Waisrael wakiwa kwenye ndege kutoka Peru kuelekea nchini Israel kuuangana na wenzao

Haya magari ni ya Jeshi la akiba la Israel ambao wameitikia wito wa kujiunga na jeshi kupambana na Hamas

Myahudi kweli kanyukwa na kisasi chake ni kama koboko aliyejeruhuwa, lakini licha ya kuwa yeye ana nguvu za NATO ametandikwa na vijana wanaotengeza silaha zao tabata ya gaza na vichochoroni.

Lakini bado myahudi anasambaza na uongo usio na kifani. Eti wamekuta watoto wachanga 40 wamechinjwa, lakini picha hakuna wala haijulikani hao watoto rubaini waliachwa na nani.

Vija wa kilaestina ni hawa:

View: https://youtube.com/shorts/vrRe97wGFHA?si=5dPNmNIByXr6xTgg

Hapo ingawa kuna vita lakini wanamstiri mama na kwa kuwa ana watoto wadogo na huku wanasema lazima mumstiri mama na wanawe.

Hakika Uislam mwema sana.

Ukisikia sijuwi wapalestina wameuwa watu wasio na hatia, wameuwa wanawake au wameuwa watoto elewa kuwa huo ni uongo wa wayahudi na wa mitandao.

Uislam upo wazi kabisa kuwa vitani hauliwi, mwanamke wala watoto.
 
Israel kweli kanyukwa na kisasi chake ni kama koboko aliyejeruhuwa, lakini licha ya kuwa yeye ana nguvu za NATO ametandikwa na vijana wanaotengeza silaha zao tabata ya gaza na vichochoroni bado anasambaza na uongo usio na kifani. Eti wamekuta watoto wachanga 40 wamechinjwa, lakini picha hakuna wala haijulikani hao watoto rubaini waliachwa na nani.

Vija wa kilaestina ni hawa:
Qaq1q
[URL unfurl="true" qq1 qqq1="youtube:vrRe97wGFHA"]
View: https://youtube.com/shorts/vrRe97wGFHA?si=5dPNmNIByXr6xTgg[/URL]

Qq qqq1
Hapo ingawa kuna vita lakini wanamstiri mama na kwa kuwa ana watoto wadogo na huku wanasema lazima mumstiri mama na wanawe.

QHakika Uislam mwema sana.

Ukisikia sijuwi wapalestina wameuwa watu wasio na hatia, wameuwa wanawake au wameuwa watoto elewa kuwa huo ni uongo wa wayahudi na wa ofmitandao.

Uislam upo wazi kabisa kuwa vitani hauliwi, mwanamke wala watoto.

Myahudi kweli kanyukwa na kisasi chake ni kama koboko aliyejeruhuwa, lakini licha ya kuwa yeye ana nguvu za NATO ametandikwa na vijana wanaotengeza silaha zao tabata ya gaza na vichochoroni.

Lakini bado myahudi anasambaza na uongo usio na kifani. Eti wamekuta watoto wachanga 40 wamechinjwa, lakini picha hakuna wala haijulikani hao watoto rubaini waliachwa na nani.

Vija wa kilaestina ni hawa:

View: https://youtube.com/shorts/vrRe97wGFHA?si=5dPNmNIByXr6xTgg

Hapo ingawa kuna vita lakini wanamstiri mama na kwa kuwa ana watoto wadogo na huku wanasema lazima mumstiri mama na wanawe.

Hakika Uislam mwema sana.

Ukisikia sijuwi wapalestina wameuwa watu wasio na hatia, wameuwa wanawake au wameuwa watoto elewa kuwa huo ni uongo wa wayahudi na wa mitandao.

Uislam upo wazi kabisa kuwa vitani hauliwi, mwanamke wala watoto.

Propaganda!! Vipi kuhusu yule dada raia wa ujerumani waliyemnyakua kwenye music festival wakawa wanamburuza kwenye gari akiwa uchi na mahututi huku wakiitikia Takbiiiir!!?
Kiufupi Hamas wanatamani hii operation ya Israel iishe mapema ila ndio hivyo wameyakoroga na wasubiri kulinywa.
 
Katika hali isiyo ya kawaida israel imelazimika kufanya mobilization ya askari zaid ya 300000 ili kukabiliana na uvamizi wa wapigania uhuru kutoka palestine yaani HAMAS. Kilichonishangaza ni askari hawa waakiba yaani reservist kuitikia wito bila waswas wowote tena wengine wakiletwa na wazazi wao.

Kilichonivutia zaidi ni ujio wa reservists ambao walikua mataifa ya nje kula bata wamerudi nyumbani kuungana wenzao kwenda kwenye uwanja wa medani. Hali hii inatufundisha uzalendo sio maneno ila ni vitendo. Mpaka reservest wa miaka hamsini nao wako comfortable kabisa tayari kupokea order tayari kwenda front kwenye uwanja wa medani
 
Mateka tu yule hajauliwa.

Wayahudi wote ni wanajeshi, usione mwanamke ukadharau.

Hata Tanzania JKT ni mfumo wa Kiyahudi kabla nyerere hajawatimua.
 
Katika hali isiyo ya kawaida israel imelazimika kufanya mobilization ya askari zaid ya 300000 ili kukabiliana na uvamizi wa wapigania uhuru kutoka palestine yaani HAMAS. Kilichonishangaza ni askari hawa waakiba yaani reservist kuitikia wito bila waswas wowote tena wengine wakiletwa na wazazi wao.

Kilichonivutia zaidi ni ujio wa reservists ambao walikua mataifa ya nje kula bata wamerudi nyumbani kuungana wenzao kwenda kwenye uwanja wa medani. Hali hii inatufundisha uzalendo sio maneno ila ni vitendo. Mpaka reservest wa miaka hamsini nao wako comfortable kabisa tayari kupokea order tayari kwenda front kwenye uwanja wa medani
Israel ni taifa la vita tokea enzi na enzi hivyo utayari wa kivita ni DNA yao. Na actually hiyo inaakisi mambo ya rohoni kuwa muumini wa kweli wa Yesu Kristo anatakiwa kuwa tayari kwenye vita ya rohoni wakati wowote unaofaa na usiofaa. Ukisoma biblia Israel imepigana vita nyingi tu.
 
Wanapigana na warusha mawe na manati.

Hata Mimi ningekua resevist ningeenda kula hela ndefu hiyo bila hata jasho.
Unaweza enda upande wa Hamas maana kuna waarab wa Qatar na Iran wanatoa wanatoa mpunga allah anapopambaniwa na ikitokea umeuwawa basi utaenda peponi kuinjoy mabikira 70 na mito ya pombe
 
Wanapigana na warusha mawe na manati.

Hata Mimi ningekua resevist ningeenda kula hela ndefu hiyo bila hata jasho.
Hapana sio warusha mawe ni well trained, war hardened combatants. With waves waliivamia israel kwa speed ya hali ya juu wanakuja kushtuka na kujibu mapigo tayari wameshapoteza.
 
Israel ni taifa la vita tokea enzi na enzi hivyo utayari wa kivita ni DNA yao. Na actually hiyo inaakisi mambo ya rohoni kuwa muumini wa kweli wa Yesu Kristo anatakiwa kuwa tayari kwenye vita ya rohoni wakati wowote unaofaa na usiofaa. Ukisoma biblia Israel imepigana vita nyingi tu.
Israel ya biblia ni weusi si hawa .Hawa ni wazungu tu wajinga
 
Hata kama ni wewe utaenda tu kwa mashambulizi yale. Ila naona kama wale jamaa ni goigoi na wanahofu,
Sio IDF wale wa zamani. Inaonekana hawajapigana siku nyingi.
 
Israel ni taifa la vita tokea enzi na enzi hivyo utayari wa kivita ni DNA yao. Na actually hiyo inaakisi mambo ya rohoni kuwa muumini wa kweli wa Yesu Kristo anatakiwa kuwa tayari kwenye vita ya rohoni wakati wowote unaofaa na usiofaa. Ukisoma biblia Israel imepigana vita nyingi tu.
Waisrael ni waumini wa huyo Yesu? au umejifyatua tu akili? Waisrael walisha mkataa Yesu au hilo hulijui?
 
Back
Top Bottom