Waliokuwa wanashangia majuzi wakati makombola ya roketi zaidi ya 5,000 yakielekea kutua Islael, huku mamia ya magaidi wa HAMAS wakivuka uzio moja kwa moja kwenda majumbani na kuanza kuchinja watoto na wamama wa ki Islael bila huruma - Leo hii vilio vimetawala nchi nzima, ni majonzi ya hatari - kweli hii inakwenda kuwa historia.
Hospitali zimezidiwa, umeme hamna, maji hamna, mawasiliano hakuna, chakula hamna na mafuta yanakwenda kwisha - sijui itakuwaje.
Inasikitisha sana lakini hili ndilo funzo kuu kufuga hawa wahuni & magaidi duniani kote.
Here are the updates from the Israel-Hamas war on Wednesday October 11, 2023.
www.aljazeera.com