LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Makombora ya Hamas ya R-160 yamefyatuliwa na kufanya uharibifu katika mji wa Haifa.

Makombora mengine yamerushwa kutokea milima ya Golan iliyopo Syria.

Hali ya amani duniani ipo mashakani.
 
Nimegundua wa israel ni kama ligi ya england tu imepigwa promo lkn ……. Ikiwa panya road tu wa mtaan mpaka waombe misaada kwa mataifa mengine je akikutana na…..! Napita tu
 
Jeshi la Israel limesema limeziona paragliders 15-20 zikiruda kuingia kwao na bado hawajaziona zilipoishia wanaendelea kuzisaka.

Hayo yamesemwa na wanajeshi wa Israel wakati bw.Kirby kutoka Marekani akiingia nchini Israel kubadilishana mawazo na viongozi wa nchi hiyo.Kabla kuanza safari yake amesema yeye anaogopa sana mzozo huo na hataki uzidi kupanuka.

Hofu hiyo inakwenda sambamba na kauli za kuiunga mkono Palestina zilizotolewa na viongozi wa mataifa kama vile Yemen,Iraq,Korea ya kaskazini na Putin wa Urusi.Kwa upande wa wanamgambo wa Houth tayari wamesema Marekani akiendelea kuiunga mkono Israel na wao watapeleka shabaha zao kwa maslahi Marekani waliyo karibu nayo.

The United States is watching developments on the Lebanon-Israel border closely and does not want to see the conflict widened or expanded, says White House national security spokesman John Kirby.
 
War cabinet kupambana na Hamas (ambayo hata sio jeshi la nchi) ?...

Hii ni move ya kisiasa ya Netanyau kuhamisha attention kuhusu uzembe wa serikali yake kuruhusu huu uvamizi na kuua ile ajenda ya mfumo wa mageuzi ya mahakama.

Wanasiasa wahuni sana.
 
Hizo ndio katiba za nchi sasa! Serikali inaweza kuji-adjust quickly depending on the prevailing situation!

Kwa situation waliyo nayo kwa sasa Cabinet inatakiwa iwe na makomandoo zaidi na security strategists wenye sifa na sio chawa!

Hali iliyopo ikiisha serikali inaji-adjust tena accordingly. Kwa shitholes wanaoona vyeo vya kisiasa ni ajira ni tatizo sana.
 
Kuna ndege kubwa imeonekana yaingia kaskazini mwa Israeli.

Huenda wapiganaji wa Hezbollah wameanza kazi.

Israeli air force says infiltration from Lebanon ‘ruled out’​

The update comes after the head of a regional council in northern Israel said manned paragliders from Lebanon had landed inside of Israel.
“Further to the reports of infiltration from the Lebanese border into Israel’s airspace, as of now fear of infiltration has been ruled out,” the airforce said on X.
The Israeli army also withdrew its call for Israelis to take shelter, saying the warning was caused by human error.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…