T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Israel hawafanyi kazi kwa nguvu pekee, akili haziachani na nguvu zao.Aliuliwa Ahmad Yassin yule kiongozi wao kipofu na Hamas ikaendelea atakua huyo Ismael Haniya ndg
DuuuuBREAKING: The Palestinian Ministry of Health
More than 1,610 palestians injured.
#GazaUnderAttack
Iran hawana Ishu mkuu. Israel akifanya vita hapigi hovyo anapigq sehemu za maamuzi, kama ni mtu unamvuja uti wa mgongo.Sijui hicho kitu unachokiongelea. Israel kama kweli ni vidume wafanye shambulio ndani ya iran kama walivyofanya hamasi leo au alivyoingia urus nchini Ukraine alafu uone majibi ya iran yatakuwaje? wali
Shida ya waarabu hawana ushirikiano wao wenyewe wanagombana wao kwa wao.Sijui hicho kitu unachokiongelea. Israel kama kweli ni vidume wafanye shambulio ndani ya iran kama walivyofanya hamasi leo au alivyoingia urus nchini Ukraine alafu uone majibi ya iran yatakuwaje? wali
Isreal imewahi kuua Wataharamu wa atomic na nuclear wa Iran.Sijui hicho kitu unachokiongelea. Israel kama kweli ni vidume wafanye shambulio ndani ya iran kama walivyofanya hamasi leo au alivyoingia urus nchini Ukraine alafu uone majibi ya iran yatakuwaje? wali
Israel alishapigana vita na nani kama sio hamasi na izibolla vikundi vya kimgambo tu. Kama yeye ni kidume aanzishe vita na nchi inayojielewa aone cha motoIran hawana Ishu mkuu. Israel akifanya vita hapigi hovyo anapigq sehemu za maamuzi, kama ni mtu unamvuja uti wa mgongo.
Hatakuja wale wa pray for Palestine[emoji120]Zisije zikaanza kelele kuwa Wapalestina wanaonewa , maana wakijibu patauma
[emoji23][emoji23][emoji23] Utaskia pray for Palestine..Zisije zikaanza kelele kuwa Wapalestina wanaonewa , maana wakijibu patauma
Sina uhakika waarabu wataingia vita hapo kwao.Israel alishapigana vita na nani kama sio hamasi na izibolla vikundi vya kimgambo tu. Kama yeye ni kidume aanzishe vita na nchi inayojielewa aone cha moto