Sega la asali
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,153
- 2,700
Mwache ajifurahishe kwa mudaIsrael itakapojibu mashambulizi wafia dini msianze kulia kulia sasahivi mnawashabikia magaidi
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwache ajifurahishe kwa mudaIsrael itakapojibu mashambulizi wafia dini msianze kulia kulia sasahivi mnawashabikia magaidi
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Kuna makubaliano ya kutomuua Ismail Haniyeh labda wakiamua kutoyazingatia.Hawa Hamas leaders and group watafutwa wote watakuwa majivu soon, within 3 to 4 days,
najua hamuelewi, sasa subirini, kuna more than 100 IDF commandos wameingia southern Israel wanaenda kuangamiza Hamas
Lakini kuna imani inakufanya nyumbu sanaKuna makubaliano ya kutomuua Ismail Haniyeh labda wakiamua kutoyazingatia.
Kiuhalisia baadhi ya viongozi wa Hamas ni kama hostages wanafuata kile wengi wanataka ila madhara wanayajua. Mwaka jana Hezbollah ilivyorusha maroketi ikawataka Hamas waungane Haniyeh na wenzake wakagoma hawakuwa wamejipanga.
Ukishamuua Haniyeh hao Hamas wanakosa kiongozi hata control inakosa, vijana wake wataanza kukaa hospitali na sokoni ndio wanafanyia mashambulizi kutoka kule. Ukimuua jipange kuua raia wengi zaidi
We ota tu kama Israel atashinda hii vita au kuchukua aradhi ya wa PalestineNetanyahu: 'We are at war and we will win'
Israeli Prime Minister Netanyahu has just released a statement, saying that "we are at war and we will win".
In a statement released on his social media channels, he said Hamas would "pay a price the type of which it has never known".
The Israeli Defence Forces (IDF) are fighting Hamas in a number of locations, with an unknown number of casualties.
===========================
Mwishowe Israel itajibu kwa nguvu kubwa na atadhibiti maeneo mengi zaidi ya Wapalestina, hata Gaza huenda ikarudi kwenye udhibiti wa Israel........ardhi kubwa zaid ya Wapalestina itakaliwa na Israel kimabavu.
Raia wa kawaida wa Wapalestina wataishia kuwa wahanga wa huu uhuni uliofanywa na Hamas.
Israel-Gaza latest: Hamas fighters on the ground after '5,000 rockets' fired; 'We are at war', says Netanyahu
Mmmmh Time to play the victim card
View: https://x.com/spectatorindex/status/1710631512788615384?t=hfYsfDVWdkXgPnhda3ZLxg&s=09
Poa poa ,huyo mwamba Marco Polo analeta mambo ya kiwaki katika uzi huu na kuleta mihemko ya kidini, zaidi nikaona anafanya seriaz kabisa kila comment analeta dhihaka ..Mzee hamna mtu aliyetunaka wala kumsema vibaya Mohammed(PBUH), jiheshimu Brother.
Aliuliwa Ahmad Yassin yule kiongozi wao kipofu na Hamas ikaendelea atakua huyo Ismael Haniya ndgKuna makubaliano ya kutomuua Ismail Haniyeh labda wakiamua kutoyazingatia.
Kiuhalisia baadhi ya viongozi wa Hamas ni kama hostages wanafuata kile wengi wanataka ila madhara wanayajua. Mwaka jana Hezbollah ilivyorusha maroketi ikawataka Hamas waungane Haniyeh na wenzake wakagoma hawakuwa wamejipanga.
Ukishamuua Haniyeh hao Hamas wanakosa kiongozi hata control inakosa, vijana wake wataanza kukaa hospitali na sokoni ndio wanafanyia mashambulizi kutoka kule. Ukimuua jipange kuua raia wengi zaidi
Leo nipo against Israel, acha wachapike vyema. Kwenye social platforms zao tulikua tunawaonya kuwa huu ututusa wanaouendekeza wa kudhani wapo imara sana na kujisahau hadi kuanza kujishughulisha na vimambo vya kero kabisa vitakuja kuwagharimu.Wakati Rais wa JMT anaweka Misimamo wa kipekee kabisa duniani katika mapambano dhidi ya Covid-19 Dunia Nzima ilienda na msimamo wa Marekani ambao kimsingi Ndio Waisrael
Watu wakasema Marekani wako sahihi kwa sababu Taasisi Zao za Usalama hazifanyagi makosa
Leo Israel amerudia makosa ya Marekani aliyofanya miaka 20 iliyopita dhidi ya Al Qaida na imelipuliwa na Hamas kitutusa kabisa
Mungu wa mbinguni mrehemu Julius Nyerere kwa kutujengea misingi Imara ya Usalama!