Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Weeee sema kweli?Mwisho wa Israel na Amerika ni mwaka huu au ujao.Allah daima yuko pamoja na anayedhulumiwa na hampi njia ya kudumu anayedhulumu.
Yaani duh....sasa subiri hiyo haki ambayo wewe ulipokuwa unachoma watoto wa ki-Israel live huku ukirecord video na kushangia ni utu.
Ndiyo biashara yao kubwa, ujambazi wa kutumia silaha.Kweli kabisa
Hawapendi kuona dunia imetulia.
Ujuha gani nataka jibu lako mkuuAcha ujuha
Mkuu unafanya kazi kwa Bakhresa nini?Oneni hapa yanavyojazana maujinga, huu ujumbe umetumwa kwenye group moja la kazini na mm nikawajibu humo humo kwamba "Israel haijakusanya wanajeshi 100000 Bali 360000 kwahiyo mjiandae kisaikolojia"
Yanabaki ku comment tu astakafirulai!! 😂😂😂
Mwisho wao haukufika 1967, watoto wa Yakobo walipovamiwa na nchi 6 kabisa 😂😂😁😬😬😬 na mkawa eliminated ndani ya siku sita tu. Mungu wa Israeli yupo macho, yeye asiyelala wala asiyesinzia. Yeye yehova hatetewi na binadamu, yeye ndio Mungu anayewatetea.Mwisho wa Israel na Amerika ni mwaka huu au ujao.Allah daima yuko pamoja na anayedhulumiwa na hampi njia ya kudumu anayedhulumu.
Ndio maana hata upinzani umeunga mkono faster mpango wa kuwa eliminate magaidi yote.A senior IDF official: "Everyone who participated in the massacre in Gaza will be eliminated." Anyone who hides them will be eliminated together with his family.'
View attachment 2779946
Hawa ikienda week moja mbele magonjwa ya milipuko na njaa vitawatesa sana.Ngoma bado mbichi Gaza.
Hakuna Maji, Umeme, Mafuta ama msaada wa kibadamu wowote hadi muwaachie mateka wetu wote - Waziri.
- Israeli minister says no electricity, fuel or humanitarian aid into Gaza until Hamas releases all captives.
- Israel continued to pummel Gaza with air raids, killing dozens of people, including nine children in the city of Khan Younis.
Acha ungerema hayo maswali kauwaulize wazazi wako.Ujuha gani nataka jibu lako mkuu
Kumbe source ni wikipedia nikadhani umetoa kwa credible source.Halafu hiyo vita iliyokwisha ni ya wapi au wewe mwenzetu unaangalia vita tofauti na hii tunayoangalia wengine ambayo mvua ya mabomu inaendelea kunyeshewa Gaza.View attachment 2779707Israel kapatikana lol; siku 5 na watu 1300 kufa na wapalestina 1200 around the same figure. Walishazoea kuua wenzao maelfu wao 5 au 10 wamekufa na kujeruhiwa, vita imeisha lakini sasa cha mtee makuni wanakiona mwe.
Na ndio lengo la Wazayuni 🇮🇱kuwakomesha Hao wavaa vipedo na makobazi.Na jinsi hao watu wanavyopenda kulakula,sijui huko Gaza bila chakula itakuwaje🤔Hawa ikienda week moja mbele magonjwa ya milipuko na njaa vitawatesa sana.
hizo ni dalili au ishara yakuishiwa mbinu kwa jeshi la israel,hizo sifa za intelijensia wanazolipa jeshi la israel ni bure tu hamna kitu, kama wangekuwa na inteligensia ya kujua hamas na mateka wapo wapi wasingekua wanalipua hovyo majengo...ukiona jeshi limefikia hatua yakusema hatuachii njia za misaada kufunguliwa mpaka hamas wawaachie mateka ni dhahiri kabisa kwanza hawajui hata hao wanamigambo wa hamas wapo wapi mpaka sasaMkuu nadhani unaongea hivyo kwa sababu ya mihemko au chuki tu.
Kutumia chakula kama silaha ni kinyume cha sheria za kimataifa haijalishi unapambana na nani.
Vita hii vime fanya watu wengi watilie shaka weledi ya jeshi la Israel kwa sababu Israel ni moja wapo ya jeshi lenye kila aina ya vifaa vya kuiwezesha kufanya mambo kwa weledi ,lakini cha kushangaza inafanya mambo kiholela kabisa hasa kushambulia majengo na kuuwa raia hovyo hovyo.
Katika vita hii Israel imefanya shambulizi ya kiholela mno kiasi kwamba hata Baden kaona aibu na kumpigia Netanyau na kumuonya ya kuwa anatakiwa kufuata sheria za vita na ndio maana tangu jana mashambulizi ya Israel yamepungua kiasi.
Alafu ukizuia chakula unakuwa unawaathiri watu wengine na sio hamas kwasababu mpaka wanafanya hilo shambulizi walikuwa wamejipanga kwa akiba ya chakula kwa ajili ya wapiganaji wake.
Israel inatakiwa kujitofautisha na hamas.
Sasa kama Hamas wameuwa raia na ww ukaenda kulipiza kwa kuuwa raia utakuwa na tofauti gani na Hamas unao waita magaidi?sasa subiri hiyo haki ambayo wewe ulipokuwa unachoma watoto wa ki-Israel live huku ukirecord video na kushangia ni utu.
Sasa ndugu kama huelewi huo ni mwanzo tu, njia pekee ni kina mama na watoto kuondoka gaza, na gate ni MOJA tu ambalo litafunguliwa baadaye leo ama kesho.
Wanaume kuanzia 15 kuendelea bado wana shughuli pevu hapo Gaza.
Kwakweli kinacho endelea gaza ni aibu kwa jeshi la Israel.hizo ni dalili au ishara yakuishiwa mbinu kwa jeshi la israel,hizo sifa za intelijensia wanazolipa jeshi la israel ni bure tu hamna kitu, kama wangekuwa na inteligensia ya kujua hamas na mateka wapo wapi wasingekua wanalipua hovyo majengo...ukiona jeshi limefikia hatua yakusema hatuachii njia za misaada kufunguliwa mpaka hamas wawaachie mateka ni dhahiri kabisa kwanza hawajui hata hao wanamigambo wa hamas wapo wapi mpaka sasa
Unataka kuwachagulia namna ya kupambana na adui yao.Najua unakiona kinachoenda kutokea Gaza endapo hali itaendelea kuwa hivi.Inasikitisha sana lakini vita haina machoJeshi lolote linalo tegemea msaada wa njaa, kiu na magonjwa ili lishinde vita basi jua ni jeshi dhaifu na la hovyo.