Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Weeee sema kweli?Mwisho wa Israel na Amerika ni mwaka huu au ujao.Allah daima yuko pamoja na anayedhulumiwa na hampi njia ya kudumu anayedhulumu.
Labda Mungu, Yahweh,Jehova
Mungu wa Ibrahim,Isaka na Israel awe hayupo....
Nje ya hapo sahau ,hii vita haiwezi kuisha itakuwa inatulia tu Kwa muda
Mpaka neno litimie,yaani shauri la Bwana ndo litasimama,bahati mbaya inawezekana kabisa wakati huo wote hatutakuwepo