LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Ozil alikuwa mchezaji wa mpira mkuu na sio member wa Hamas, Nina Wana wengi tu wafuasi wa munyaazi mungu ila ndio hivyo naishi nao kwa akili.
Vzuri mkuu mm ningekua rafki yko usingekua na Muda wa kutoa ushuhuda leo
 
Kama Hamas au Iran au Hezbolah wangekuwa na mabomu ya nyuklia wasingesita kuyatumia dhidi ya Israel maana tumeona ukatili wao dhidi ya raia.

Sasa kwasababu Israel anayo mabomu ya nyuklia karibu 100, ni wakati sasa aangushe moja Gaza lingine Beirut na lingine Tehran ili mashariki ya kati itulie.

Japan waliacha fujo na kiherehere baada ya atomic bomb kushushwa.
Unaota ety!
 
Mbaya zaidi dunia nzima inaaminishwa Hamas is a terrorist organisation huku ukweli ukifichwa kwa nguvu zote kuhusu waasisi wake.
Hamas Ni magaidi ya viwango vya juu kabisa. Lazima wasambaratishwe ipasavyo.

Mengine Ni POROJO tu
 
Israel walipewa taarifa ya ujasusi kabla ya tukio.
Sijajua unataka kusemaje, mkuu. Au, better yet, mantiki yako ni ipi.

But truth be told, Israel experienced a unprecedented surprise attack by Palestinian militant group, which ended up in violence, brutal killings and kidnappings from both sides.
 
Nasikia Israel imedanganya kuhusu hammas kuua w

Zaidi ya vyama 35 vya wanafunzi wa Havard University-moja ya chuo kikuu bora kabisa duniani, jumamosi tarehe 7 October walitoa tamko la pamoja linalosema kuwa uamuzi wa Hamas kuishambulia Israeli hakutokea hewani tu , bali ni matokeo ya utawala wa kibaguzi wa Israeli ambao wamekuwa wakiwafanyia waPalestina kwa miaka mingi.

Nawanukuu;

"Hamas-led attack “did not occur in a vacuum” and that Israel was “entirely responsible for all unfolding violence.”

Wakaongeza kwa kusema siku zijazo waaplestina wajiandae na mashambulizi kutoka Israel kutokana na uamuzi wao waliouchukua.
Nanukuu andiko lao ;

"In the coming days, Palestinians will be forced to bear the full brunt of Israel's violence,"

Kufuatia barua hiyo lawamana kubwa zimeelekezwa kwenye uongozi wa chuo hicho kwa kushindwa kutoa tamko kuonyesha kusapoti Israel.

Lawama hizo dhidi ya ungozi wa chuo kikuu cha Havard zimetoka haswa kwa graduates and alumni wa Havard ambao wengi wao ni wanasiasa mashuhuri nchini Marekani kama vile Senator. Ted Cruz (wa Texas) , Representative. Elise Stefanik (wa New York) na Lawrence Summers(aliyekuwa mtaalam wa mambo ya sera za mambo ya uchumi Washington na raisi wa chuo kikuu cha Havard)

Namnukuu hapa Mr. Lawrence kauli yake aliyoitoa katika mtandao wa X;


“The silence from Leadership, so far, coupled with a vocal and widely reported student groups’ statement blaming Israel solely, has allowed Harvard to appear at best neutral towards acts of terror against the Jewish state of Israel,” .

Chanzo:
Joint statement by Havard students

View attachment 2777583
⚡⚡⚡UPDATES
BILIONEA ACKMAN ATAKA MAJINA YA WA HARVARD WANAFUNZI WALIOANDIKA WARAKA WA KUILAANI ISRAELI KUWEKWA WAZI ILI WASIAJIRIKE
 

Attachments

  • photo_2023-10-12_18-27-24.jpg
    photo_2023-10-12_18-27-24.jpg
    48.2 KB · Views: 2
Twende kazi.

Qatar yatishia kusitisha usambazaji wa gesi asilia kwa mataifa ya nchi za magharibi endapo kama Israeli ataendelea kuiangamiza Gaza.

===========

[emoji1203]Qatar has threatened to stop supplying gas to the West if the bombing of the Gaza strip does not stop

View attachment 2780010
Ina maana hawajajua kuwa tatizo ni wapalestine wenyewe.
 
Hawa waGaza si walilianzisha wao kuvamia Israeli na ninyi mkaendelea kuwasifu kwa nyimbo za Khaswida kwamba ni heroes.Sasa waIsraeli wameretaliate mnaanza tena kulaumu?Halafu maji ,umeme na chakula vinatoka Israeli.Yaani Israeli inawalisha na kuwanywesha watu wa Gaza pia kuwapa umeme Hao Watu .Halafu wakishakula na kushiba na kupata nguvu,wanashambulia Israeli na kutumia Umeme na fedha wanazopata toka Israeli kutengeneza maroketi na silaha nyingine ili kushambulia tena hiyohiyo,Israeli,Hii imekaaje?!!!🤔
Israel ndiyo walioanza kuvamia maeneo ya wapalestina na kuchukua maeneo na kuwatesa wapalestina.wapalestina kumbe wakaanza kupata kisasi.kwanini hamtaki kuona ukweli?wote ni wenyeji wa maeneo hayo sasa kwanini waisraeli wanachukua maeneo kibabe?i'm Christin lakini sipendi uonevu na mateso wanayopata wapalestina.
 
447 children have been killed in Gaza since the escalation of hostilities began.
Source: Sky News reports
 
Back
Top Bottom