LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
i'm Christin lakini sipendi uonevu na mateso wanayopata wapalestina.
Wewe ni Christian maamuma. Rudi Sunday school ukaanze upya kusoma habari za wana wa Israeli. Hayo maeneo ni maeneo ya Israel Mungu aliwapa urithi tangu enzi za babu yao Abraham na mipaka yao ipo wazi tatizo lao waliwaacha hawa Wafilisti, na wenzao hapo jirani bila kuwafyeka mapema kuna kipindi mpaka Joshua aliwamind akawaambia mbona mnakuwa walegevu kuiendea nchi aliyowapa Mungu na kwenda kumiliki?..Israel Mungu awabariki tu, they deserve that land tena waichukue Westbank, Gaza yote hata kule Lebanon ni kwa wana wa Israeli for your information.
 
Damascus uwanja wa ndege ishapigwa mabomu na Israel muda mfupi ulopita. Hii ni kabla ya waziri wa mambo ya nje wa iran kutua uwanjani hapo.

Yajayo yanasikitisha...
Syria wametoka kwenye vita juzi tuzi hapa. Nchi ni magofu tuu.
Sasa wanaanza kurudi tena.
Mrusi sasa anapambana Ukraine wasije wakamuacha anapigana yeye mwenyewe ooo
 
Screenshot_20231012_195709_X.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20231012_195704_X.jpg
    Screenshot_20231012_195704_X.jpg
    85 KB · Views: 5
  • Screenshot_20231012_195701_X.jpg
    Screenshot_20231012_195701_X.jpg
    74.8 KB · Views: 5
  • Screenshot_20231012_195655_X.jpg
    Screenshot_20231012_195655_X.jpg
    71.9 KB · Views: 4
Damascus uwanja wa ndege ishapigwa mabomu na Israel muda mfupi ulopita. Hii ni kabla ya waziri wa mambo ya nje wa iran kutua uwanjani hapo.

Yajayo yanasikitisha...
Ayo anayofanya Israel yakupiga mabomu air port nchi huru ni uvunjifu wa sheria ya kimataifa. Na watu tunafurahia kwasababu aliofanya hivyo ni Muisrael. Dunia inapokwenda ni kubaya sana na marekani anashindwa kuwa kiranja wa dunia kwasababu ya Israel

Sasa Muisrael kupiga hizo airport ndio kutafanya waziri wa mambo wa nje wa Iran atashindwa kwenda Syria? Kwani hawezi kutumia helicopter?
 
⚡⚡⚡UPDATES
BILIONEA ACKMAN ATAKA MAJINA YA WA HARVARD WANAFUNZI WALIOANDIKA WARAKA WA KUILAANI ISRAELI KUWEKWA WAZI ILI WASIAJIRIKE
Ubaguzi unaanza kimasihala masihala. Toka mwamba Putin akiwashe, tumefahamu kuwa wazungu wengi hamna kitu vichwani
 
Kabla ya mwaka 1947, Israel ilikuwa wapi hapa duniani?

Kiukweli natamani sanaaa Mnooo kulijua hili,
Sababu wanasema kabla ya 1947 Jina La Israel lilikuwepo,
Je watu wake walikuwa wanaishi wapi?
Najua Ilikuwepo Nchi inaitwa Palestine!
Nadhani wote walikuwa wanaishi humo,
Sasa Jina La Israel lilitokanaje? Walikuwa Nchi ndani ya Nchi?
 
Back
Top Bottom