LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mkuu hata wewe jishangae maana pia uliona kubomoa majengo ukraine ni sawa.na kuvamiwa ukraine ni sawa so kwangu wote ni wanafiki ,wewe na huyo!
 
Hamas ni magaidi wapate wanachostahili either waishe au wa-surrender.kuuwa,kubaka,na kuchinja watoto si ubinadamu ni unyama.(hata hivyo hamas haiwakilishi waparestina wote) ni genge la kigaidi!
Mkuu vita sio lele mama na ndio maana mpaka sasa Israel haijaingia gaza bado inajipanga.
 
US Secretary of State Antony Blinken akiwasili nchini Israel kuonyesha mshikamano na Tel Aviv amid escalation na Hamas.
Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.
 
Nadhani tungejikiti kwenye hoja za taifa letu kuliko kujizima data kama unavyojidhihirisha kwenye hilo andiko lako hapo. Ccm wanaendelea kuipukutisha Nchi tupo tu kama mazuzu halafu eti mara Gaza mara Palestina acheni ufala.
Unanaje Mkuu ungeweka kambi kule kwa majukwaa ya nyumbani ukajikita vizuri kwa maswala ya Taifa letu.Ukja hapa kwa International forums hutokuta hoja hizo,hapa yanaongelewa maswala ya Mataifa mengine
 
Kulitafuta, kuli get, wacha wauwawe, kuna watu wanapenda heka heka kila siku, ndo hivyo sasa.
Wanauwawa watoto ,wazee na wengine wasikua na hatia wewe unasema waache wauwawe kama binadamu wenzako ni mende..

Fikiria Ingekuwa kijiji chenu wangepona wangapi na ungesema nini ?

Au Ingekuwa familia yako ungesemaje ?

Hamas wamefanya ukatili kuua Raia lakini vile vile kuua Raia wasio na hatia Gaza si jambo la kufurahia.
 
Unataka kuwachagulia namna ya kupambana na adui yao.Najua unakiona kinachoenda kutokea Gaza endapo hali itaendelea kuwa hivi.Inasikitisha sana lakini vita haina macho
Dada angu mtazamo huo ume utoa kwa sababu umefanywa na upande unao upenda.
Nasema hivyo kawa sababu kauli ya vita haina macho hukuitumia kipindi unamlaani Putin pale jeshi lake lilipo kuwa lina teketeza miji na poromosha majengo nchini Ukraine😀😀😀😀😀😃😃
Lakini nadhani misaada itaruhusiwa tu maana raia wa kawaida wakifa kwa njaa na ugonjwa sifa ya Marekani mdhamini mkuu wa Israel itaharibika.
 
Waparestina wanastahili haki lakini si hamas.watu wa gaza watavuna walichopanda wamelea magaidi sasa wanavuna mazao yake!
Sasa mkuu ulitaka raia wawafanyeje Hamas ?
 

Ni sawa tu ndugu, kuna watu ambao duniani wanateseka sababu ya maamuzi mabaya ya wakubwa zao.
 
Yule Raisi wa Brazil hakukosea kusema Ukraine Haina Raisi Ina Comedian, Mtu ameshindwa kumaliza vita kwake anaenda kwenye Nchi nyingne kujipendekeza.
 

Attachments

  • Screenshot_20231012-161428.jpg
    32.6 KB · Views: 4
Twende kazi.

Qatar yatishia kusitisha usambazaji wa gesi asilia kwa mataifa ya nchi za magharibi endapo kama Israeli ataendelea kuiangamiza Gaza.

===========

[emoji1203]Qatar has threatened to stop supplying gas to the West if the bombing of the Gaza strip does not stop

 
Kufumbia macho chanzo chanzo Cha tatizo ni tatizo linguine, Kwa Sasa nchi za mashariki ya kati zenye ushawishi kama vile Uturuki, Saud Arabia zishauli viongozi wa HAMAS waachie mateka Ili chukula na madawa viingie pale Gaza, chakula kwanza na madawa, mambo mengine baadae, watoto, wamama na wazee wanahangaika sana.
 
Marekani mdhamini mkuu wa Israel itaharibika.
Mkuu kwa mambo waliyofanya marekani hawaoni aibu yoyote ile.
USA wamefanya vita vingi sana hata Rwandan genocide ilichukua maisha ya watu zaidi ya 800k , first and second congo war ilichukua maisha ya watu zaidi ya 5 million. Nusu ya watu hao waliokufa congo ni watoto chini ya miaka 5.
 
Ila ila ya rusia kuzuia maji,chakula na nishati mariupol.bila kusahau kushambulia vituo vya umeme na chakula huko ukraini ni mbinu bora(unafiki ni kitu kibaya sana)
Mkuu huyo jamaa anashidwa kuelewa vita ni mbinu.

Hata china wanambinu zao moja ya mbinu yao ni wanacut communications system ya adui.

USA wanatabia ya kuuauchumi wa adui kabla ya kumvamia.

Kwa sasa dunia ya sasa kuna ubarn warfare ambayo ni ngumu sana. Ndo maana urusi walikuwa wanachoma majengo kule wakiona askari ya ukraine wamejificha kwenye majengo. Ili wasirudi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…