LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Ozil alikuwa mchezaji wa mpira mkuu na sio member wa Hamas, Nina Wana wengi tu wafuasi wa munyaazi mungu ila ndio hivyo naishi nao kwa akili.
Vzuri mkuu mm ningekua rafki yko usingekua na Muda wa kutoa ushuhuda leo
 
Unaota ety!
 
Mbaya zaidi dunia nzima inaaminishwa Hamas is a terrorist organisation huku ukweli ukifichwa kwa nguvu zote kuhusu waasisi wake.
Hamas Ni magaidi ya viwango vya juu kabisa. Lazima wasambaratishwe ipasavyo.

Mengine Ni POROJO tu
 
Israel walipewa taarifa ya ujasusi kabla ya tukio.
Sijajua unataka kusemaje, mkuu. Au, better yet, mantiki yako ni ipi.

But truth be told, Israel experienced a unprecedented surprise attack by Palestinian militant group, which ended up in violence, brutal killings and kidnappings from both sides.
 
Nasikia Israel imedanganya kuhusu hammas kuua w

⚡⚡⚡UPDATES
BILIONEA ACKMAN ATAKA MAJINA YA WA HARVARD WANAFUNZI WALIOANDIKA WARAKA WA KUILAANI ISRAELI KUWEKWA WAZI ILI WASIAJIRIKE
 

Attachments

  • photo_2023-10-12_18-27-24.jpg
    48.2 KB · Views: 2
Ina maana hawajajua kuwa tatizo ni wapalestine wenyewe.
 
Israel ndiyo walioanza kuvamia maeneo ya wapalestina na kuchukua maeneo na kuwatesa wapalestina.wapalestina kumbe wakaanza kupata kisasi.kwanini hamtaki kuona ukweli?wote ni wenyeji wa maeneo hayo sasa kwanini waisraeli wanachukua maeneo kibabe?i'm Christin lakini sipendi uonevu na mateso wanayopata wapalestina.
 
447 children have been killed in Gaza since the escalation of hostilities began.
Source: Sky News reports
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…