n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Wewe ni Christian maamuma. Rudi Sunday school ukaanze upya kusoma habari za wana wa Israeli. Hayo maeneo ni maeneo ya Israel Mungu aliwapa urithi tangu enzi za babu yao Abraham na mipaka yao ipo wazi tatizo lao waliwaacha hawa Wafilisti, na wenzao hapo jirani bila kuwafyeka mapema kuna kipindi mpaka Joshua aliwamind akawaambia mbona mnakuwa walegevu kuiendea nchi aliyowapa Mungu na kwenda kumiliki?..Israel Mungu awabariki tu, they deserve that land tena waichukue Westbank, Gaza yote hata kule Lebanon ni kwa wana wa Israeli for your information.i'm Christin lakini sipendi uonevu na mateso wanayopata wapalestina.
Samaleko sheikhπππ¬ππ. Sasa mnadhani mnaweza kuwatoa kwa style hiyo mnayoitumia?. Mtabaki watumwa milele mkiwapasulia kuni na kuwachotea majiNani anakalia kimabavu maeneo ya watu kama sio waisraeli?toeni giza kwenye ubongo na muone ukweli.
Syria wametoka kwenye vita juzi tuzi hapa. Nchi ni magofu tuu.Damascus uwanja wa ndege ishapigwa mabomu na Israel muda mfupi ulopita. Hii ni kabla ya waziri wa mambo ya nje wa iran kutua uwanjani hapo.
Yajayo yanasikitisha...
Mkuu pamoja na aleppo international Airport.Damascus uwanja wa ndege ishapigwa mabomu na Israel muda mfupi ulopita. Hii ni kabla ya waziri wa mambo ya nje wa iran kutua uwanjani hapo.
Yajayo yanasikitisha...
Sijaelewa hapaWASIAJIRIKE
Ayo anayofanya Israel yakupiga mabomu air port nchi huru ni uvunjifu wa sheria ya kimataifa. Na watu tunafurahia kwasababu aliofanya hivyo ni Muisrael. Dunia inapokwenda ni kubaya sana na marekani anashindwa kuwa kiranja wa dunia kwasababu ya IsraelDamascus uwanja wa ndege ishapigwa mabomu na Israel muda mfupi ulopita. Hii ni kabla ya waziri wa mambo ya nje wa iran kutua uwanjani hapo.
Yajayo yanasikitisha...
Inasemekana kuna wajahidina wengi sana kutoka nchi tofauti wanamiminika kwenda palestina. Kuna kila dalili hii vita inaweza ikawa kubwa sana na kusambaa eneo kubwa sanaMkuu pamoja na aleppo international Airport.
Vyote vimepogwa mabomu tayari.
Ubaguzi unaanza kimasihala masihala. Toka mwamba Putin akiwashe, tumefahamu kuwa wazungu wengi hamna kitu vichwaniβ‘β‘β‘UPDATES
BILIONEA ACKMAN ATAKA MAJINA YA WA HARVARD WANAFUNZI WALIOANDIKA WARAKA WA KUILAANI ISRAELI KUWEKWA WAZI ILI WASIAJIRIKE
Wavaa kobaz kazi wanayoDuuh hayo yote kwa ajili ya kuchomoa pumzi ya mwanadamu
Ilikuwa ya kufikirika katika bibleKabla ya mwaka 1947, Israel ilikuwa wapi hapa duniani?
Kabla ya mwaka 1947, Israel ilikuwa wapi hapa duniani?