Frank Hood
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 597
- 1,374
Naomba linkIngia YouTube iko link ya kuangalia LIVE jinsi IDF wanavyomobiloze vikosi vyake karibu na ukanda wa Gaza na misafara ya kijeshi iliyozunguka Entrances zote za Gaza. Things gon' be out of hand
Naomba link
Dah mmezingua,utu tu mgambo utu,mkose usingizi.Israel tupo pamoja sana na tupo Tyari kutoa msaada
Inawezekana ww ndo uliwashauri Hamas wafanye ujinga wa kuvamia ... hata kma huoni basi sikiliza yanayotokea gaza .Gaza imegeuka magofu na ndo vita bado mbichiii pale gaza watakuja kukusanya vifusi vya kokoto [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mikwara tu hiyo, wanatakiwa kuingia Gaza kuokoa watu wao
Kwa makombora hayo anampiga nani, au picha ni za kuwatisha wengineo? Hamad ni kikundi tu.
hizo ni za kutoka marekani au bado hazijafika?
Waliingiliwa aje? Hali hii ndio kama wamarekani, wanajidai wana nguvu za kivita ila mbinu ndogo tu kama za tukio la ndege zinawaacha uchi, matokeo yake ndio kuumiza watu na mataifa baada ya tukio!Ingia YouTube iko link ya kuangalia LIVE jinsi IDF wanavyomobiloze vikosi vyake karibu na ukanda wa Gaza na misafara ya kijeshi iliyozunguka Entrances zote za Gaza. Things gon' be out of hand
Badala ya kupiga adui unabomoa maghorofa, huo ni ujinga na aibu kwa jeshi linalojidai la Israel, Hamas wenyewe wametulia sehemu na mateka wao, wanajua wale mbuzi sharti waje kuwakomboaInawezekana ww ndo uliwashauri Hamas wafanye ujinga wa kuvamia ... hata kma huoni basi sikiliza yanayotokea gaza .Gaza imegeuka magofu na ndo vita bado mbichiii pale gaza watakuja kukusanya vifusi vya kokoto [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
SAdDuuh hayo yote kwa ajili ya kuchomoa pumzi ya mwanadamu
Wawaachie hao mateka wa kiyahudi ili huduma zirudishwe.Inshu sio tatizo ni wapalestina. shida ni unyama anaoufanya Nyau na jeshi lake la kutaka kufanya genocide ya watu zaidi y 2.5 million Palestines in Gaza
Hayo ya kila siku,Ila Hamas walivyoingia Israel na kuua na kuteka,akili kubwa ilitumika,Sasa wanajua Israel lazima waingie mitaani Gaza,tuone game litakuaje
View: https://www.youtube.com/live/wp2uDesB8a0?si=j_dp-0Ym1Uyv0rhgPitia sasa hivi uone mashambulizi ya rockets yanavyokuwa intercepted na Irone dome za Israel. Ukitengeneza account unakuwa na access ya kucomment moja kwa moja juu ya kinachoendelea sasa hivi.
Kama midume ya mbuzi tu. Ikishakaa zizi moja lazima ipigane vichwa.Dunia ya wanaume lazima mizozo iwepo
Hamas wameingia kiakili Sana,rusha roketi ku-divert attention,rusha roketi za Moshi camera zisione,wakaingia kwa parachuti kuvuka vizuizi,walipotua paruchuti zilikua na vipikipiki Mara ghafla wapo ndaniSijajua unataka kusemaje, mkuu. Au, better yet, mantiki yako ni ipi.
But truth be told, Israel experienced a surprise attack by Palestinian militant group, which ended up in violence, brutal killings and kidnappings from both sides.