Mwanasiasa mtata
JF-Expert Member
- Oct 25, 2022
- 1,520
- 3,781
Hakuna cha askari hapo, hao ni opportunist, wameona kuna mtonyo wa dola billion tatu ndizo wamezichngamkia. Hakuna kitu wanaenda fanya hapo GazaNdo maana wameandaa askari 300k yani ni operation ya mtaa kwa mtaa. nyumba mpaka nyumba, chumba mpaka chumba, mtu mpk mtu.
Sasa pro palestina wa buza wanashangaa hapa. Mara hoo dhaifu Mara ooo mashoga Mara ooo aibu.
Tatizo lako unaamini Bible ni maneno ya mungu🤣🤣🤣. Wa Israel waliandika Bible ili iwe katiba yao iwaongoze. Nyinyi mmeingizwa cha kike tu basiNdugu, upende usipende huyu Israel kabarikiwa na yehova mwenyewe. Hata mlete mafuriko ya red sea mtalambwa tu. Ukimbariki utabarikiwa, ukimlaani lazima ulaanike refers case ya kina Balack na Balaam."Ni mlaanije yeye ambaye Bwana yehova amembariki"?
Mungu, ibariki Israel.
😂😂😂😬😬😁 Waislam 2.2M wameambiwa wahame wanauliza tuhamie wapi tena au baharini? Kila wakijisogeza wanakong'otwa mbona kazi ipo. Hawa watoto wa Yakobo wangemsikiliza Joshua wakati ule haya mambo yasingekuwepo. Gaza imeenda tayari bado pale kwa mfalme wa Salem.Acha Israel ikajimegee tena kipande kikubwa zaidi cha eneo, hakuna muda wa maneno mingi.
Silaha wanaweka kwenye hayo maghorofa!?..ndipo wanapopanga mambo yao?.. Israel Wana vifaa vya kusikiliza kinaendelea nini Gaza,high tech surveillance 24/7,Kama wanatumia hayo maghorofa wameshindwa nini kuwamaliza siku zote hizo?!..umefikiri kutumia nini!?Sijui hata umewaza kwa kutumia nini mkuu!! Ila ngoja nikusaidie,
Hamas hawana makambi, Hamas hawana makazi maalum, Hamas hawavai uniforms na raia wa Gaza wako royal kwao sasa nikuulize katika hali kama hiyo utatumia mbinu Gani kupambana nao?
Amini unacho amini. Ila ni heri niamini Biblia kuliko kuamini manadharia ya kipuuzi kuwa baada ya dhiki za dunia hii huko peponi kuna mito ya ulevi, huko kuna mabikra 72 na makorokoro mengine neno lipo clear. Wauaji wote, hata wasioa amini na waoga wote makazi yao ni jehanum ya moto.Tatizo lako unaamini Bible ni maneno ya mungu🤣🤣🤣. Wa Israel waliandika Bible ili iwe katiba yao iwaongoze. Nyinyi mmeingizwa cha kike tu basi
Kwahiyo nini kilitokea 1947 ghafla wakawa taifa?Ilikuwa na watu waliotapakaa baada ya kufanywa wakimbizi kutoka ardhini kwao.
Miaka 400 ya ottoman dola la kiislam
Miaka zaidi ya 100 chini ya utawala waarabu
Ubaguzi waliofanyiwa kwa wachache waliokuwepl na badl kukimbia
Tanganyika na waTanganyika tulikiwa hapa hapa Tanzania. Ila kabla ya 1947 hapakuwa na nchi inaitwa Israel, ilikuwa wapi?Kabla ya Mwaka 1961 Tanganyika ilikuwa wapi.
Jiulize nq hili pia
Waache wapigania mnyazimngu nao wajitutumue 😂😂😂😁😬😀😀. Ila yale Makombora ya hawa watoto wa Yakobo sijui design gani yani jinsi yanavyochimba hata mumo kwenye mahandaki walipo jificha lazima yawafikie.Rocket za hamas kwa sasa, waache tuu kurusha maana hakuna kitu.
Yeye anataka wanajeshi wafyatue matofali kifuani ndio ataona wana uwezo.
Haendi mtu mkuuKwa nini hakuna mtu au nchi ambayo imepeleka shtaka ICC ili Netanyahu akamatwe kwa mauaji ya Halaiki gaza?
Anataka kuona askari wanabeba magogo shingoni😂😂😂😂Yeye anataka wanajeshi wafyatue matofali kifuani ndio ataona wana uwezo.
Anataka vita iwe ya mabondia sio wanajeshi.
Kadunia ketu kamekaa kinafiki sana.
Walivyo liwa vichwa na Hitler million 6 ilikuaje ni baraka au ndio bado walikua utumwani Acha ukengeNdugu, upende usipende huyu Israel kabarikiwa na yehova mwenyewe. Hata mlete mafuriko ya red sea mtalambwa tu. Ukimbariki utabarikiwa, ukimlaani lazima ulaanike refers case ya kina Balack na Balaam."Ni mlaanije yeye ambaye Bwana yehova amembariki"?
Mungu, ibariki Israel.
Kwahiyo nini kilitokea 1947 ghafla wakawa taifa?
Hawa javamia Israel kwasababu sehemu zote walizo vamia ziko ndani ya ardhi ya palestina inayo kaliwa kwa mabavu labda walicho kosea ni kushambulia raia tu.Ni aibu au fundisho la kuheshimu mipaka ya nchi nyingine haya yakichekewe na sheria au hatua kali zisipocgukuliwa ni hatari sana, wapelestina wanakosa nguvu kwa sababu ya uvamizi wao wa ghafla kwenye taifa lingine huku sheria za kimataifa zikifahamika dhahiri.
Hao wanataka hela ilihali wale magaidi wa Hamas wanaua ili na wao wauwawe waende kuzimu kufaidi mabikira 70 na mito ya pombeHakuna cha askari hapo, hao ni opportunist, wameona kuna mtonyo wa dola billion tatu ndizo wamezichngamkia. Hakuna kitu wanaenda fanya hapo Gaza