Mwanasiasa mtata
JF-Expert Member
- Oct 25, 2022
- 1,520
- 3,781
Hakuna cha askari hapo, hao ni opportunist, wameona kuna mtonyo wa dola billion tatu ndizo wamezichngamkia. Hakuna kitu wanaenda fanya hapo GazaNdo maana wameandaa askari 300k yani ni operation ya mtaa kwa mtaa. nyumba mpaka nyumba, chumba mpaka chumba, mtu mpk mtu.
Sasa pro palestina wa buza wanashangaa hapa. Mara hoo dhaifu Mara ooo mashoga Mara ooo aibu.