LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Ndo ukweli
Wnajifanya hawajui wakati watt wanamezeshwa sumu hata huku tunapoishi ni vile tu hii nchi imefanikiwa sn kudhibiti Hawa wapuuzi!
Mungu ametusaidia sn
 
😅😅😅
Jerusalem pia inatakiwa irudishwe...
Ila pale mpk Ile vita ya mwisho ya 'Almagedon' ....hapo hiyo misikiti yote itafutwa ,mchezo utakua umeisha!

Things of the spirit, hawawezi kukuelewa humu,wapo kimwili sn hawajui vita ya Israel sio km ya nchi nyingine!
 
Ndo ukweli
Wnajifanya hawajui wakati watt wanamezeshwa sumu hata kuku tunapoishi ni vile tu hii nchi imefanikiwa sn kudhibiti Hawa wapuuzi!
Mungu ametusaidia sn
Nadhani ndio faida pekee ya muungano 😂😂😁😁 maana kule Zanzibar wana vi element vya ki hamas kuna kipindi walianza upuuzi wao wa kuchoma makanisa na wakaua mpaka padri na kumwagia tindikali watalii eti kisa wanatembea uchi bila kuvaa majuba wakakong'otwa mpaka sasa hata watalii wapite uchi utawasikia tu 'Astaghafilullah' 😀😀😬😬😁😁.
 
ardhi ya palestina inayo kaliwa kwa mabavu labda walicho kosea ni kushambulia raia tu.
Ardhi ya Wafilisti kwa maandiko au mkataba gani!?. Mungu alimwambia Ibrahim "Toka nyumbani kwa Baba yako na mama yako nami nitakupa" Nchi". Tena wakamwambia Yakobo ambaye ni babu wa hawa kina Netanyahu kuwa "Uzao wako utakwenda utumwani misri muda wa miaka 400 nami nitakutoa huko na kukupa ardhi hii kwanini wasing'ang'anie pale misri Goshen kama ni eneo walipewa na Yusufu ila Yusufu akawa mjanja akawaambia" Najua Mungu atawajilia, siku akiwajilia kuwa chukua Msiache mifupa yangu huku misri ".
Hiyo ardhi ni mali ya Israel, Mungu yehova yupo so clear mpaka mipaka ya makazi yao ameitaja very open na wao wanajua ndio maana wakiwatandika wana occupy the space chap kwa ukali utashangaa. Gaza imeenda tayari, wamejichanganya wenyewe. Bibilia inasema, kwa mtini jifunze tawi lake lijapoanza kuchanua........asomaye na afahamu.
 
Ndo ukweli
Wnajifanya hawajui wakati watt wanamezeshwa sumu hata kuku tunapoishi ni vile tu hii nchi imefanikiwa sn kudhibiti Hawa wapuuzi!
Mungu ametusaidia sn

'Difficult days await,' Netanyahu says as war cabinet sworn in.​

Mambo hayajaanza yaan kama ni msosi ndo kwanza vitu vinanunuliwa hata mapishi bado.

Netanyau ni habari ingine ile hamas makamasi yanawatoka
 
Ndo ukweli
Wnajifanya hawajui wakati watt wanamezeshwa sumu hata kuku tunapoishi ni vile tu hii nchi imefanikiwa sn kudhibiti Hawa wapuuzi!
Mungu ametusaidia sn
Benjamin Netanyau ana uchungu sana na haya magaidi ya kipalestina mdogo wake akiitwa Yonatan Netanyau aliuwawa kwenye operation entebe alipokuwa akiiongoza kikosi cha kuokoa ndege iliyokuwa imetekwa na magaidi ya kipalestina uokoaji ulifanikiwa 100% ila yeye Yonatan alipoteza maisha.

Ukiingalia sura ya Netanyau unaona kabisa anamaanisha.

Hamas walitegemea wavuke mpaka wa Israel wauwe watu halafu Israel iwachekee tu! Kama Nyerere alianzisha vita na Uganda baada ya Uganda kufanya mashambulizi mpakani nini cha ajabu kwa Israel kuwachapa magaidi wa hamas🤣😂

Any way wanaoilinda Israel kimaombi waendelee maana hii ni vita ya rohoni kinachoendelea ni udhihirisho wa kinachoendelea kwenye ulimwengu wa roho.
 
Jasmoni Tegga Kwahiyo Israeli waliwapora waPalestina ardhi mwaka 1947 kijeshi kwa msaada wa Marekani (under UN disguise) , Sivyo? Kwmaba katika partition Israeli alipewa 95% ya Ardhi na Palestine akaachwa kwenye kaukanda ka Gaza, sio? Au hiyo partion ilikiwa asilimia ngapi kwa ngapi?
 
Operation safisha Gaza; wananchi watakiwa kuondoka na kuacha makazi yao ndani ya masaa 24 yajayo.

Waparestina wapatao 1.1m wanatakiwa kuondoka Gaza ndani ya masaa 24 ajayo kupisha operation chakaza ndani ya Gaza ili kuwasaka na kuwasambaratisha wanamgambo wa HAMAS.

UN imetoa angalizo kwamba zoezi hili linaweza kuwa gumu na kuwaathiri watu hao kwa kiwango kikubwa.

The Israeli military has told civilians in Gaza City to leave their homes, says military operations will take place in the area “in the following days”.
 
Hamas ingekuwa na uwezo wa kijeshi kama wa Uganda au Tanzania Mimi na amini Israeli ingepigika vibaya mno nimegundua wanajeshi wengi wa Israeli uwezo wao wa kupambana mapambano ya ardhini ni mdogo kweli
Unawachukukia poa sana hawa HAMAS, usiombe ukutane nao anga zao.
 
Good achievement!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…