Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Kabila 12 ni hatari......😅💪Hamas wameshaingia kwenye 18 za ukoo wa Yuda, ni balaa !! tunasubiri kuandika historia mpya ya Middle east 2023.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabila 12 ni hatari......😅💪Hamas wameshaingia kwenye 18 za ukoo wa Yuda, ni balaa !! tunasubiri kuandika historia mpya ya Middle east 2023.
UMEONA HAMAS WALIVOKUWA WAPUMBAVU, ISRAEL MILLITARY WANAWAAMBIA WATU WA EVACUATE NORTHERN GAZA WAO WANAWAMBIA MSIONDOKE, WANATUMIA WATU KAMA HUMAN SHIELDS, ALAF KUNA WATU MNAKUJA HAPA KUWATETEA.
INAKUAJE ISRAEL MILLITARY INAJALI MAISHA YA WATU WA GAZA KULIKO HAMAS??
ALAF WATU WAKIULIWA KWA MABOMU WANAWAREKODI WANAPOST MITANDAONI.
YAAN KAMA MTU ANAWEZA KUCHUKUA KISU AKAMCHINJA MTU AU AKAKATA KICHWA CHA MTOTO, WE UNADHANI ATAJALI MAISHA YAKO ATAKAMA WE NI MWARABU MWENZAKE.
MI NINACHOJUA NI KITU KIMOJA, MUUAJI NI MUUAJI TUU, AKIMALIZA KUUA MAADUI ZAKE ATAKUJA KUKUUA NA WW TUU HATAKAMA NI RAFIKI AKE.
"THERE IS NO HONOR AMONG CRIMINALS"
View: https://twitter.com/spectatorindex/status/1712734501162582499?t=3-16VrcRPKHYqmMAC0KHyA&s=19
Sasa hivo vifaru video Lebanon au Syria leo kweli.sasa hapo ndio patamu. alikuwa anasubiriwa kwa hamu sana. though kwa akili yake anafikiri kweli israel ingeenda kumpiga kwa ground invasion? ni kwa madege tu. na iran anachotegemea sana ni hamas na hezbolah kwamba watakuwa wanamsaidia.
tumia akili mkuu subiri hapo utaona kama iran itaguswa.yaani wanapigwa na kakikundi cha mgambo wataweza nchi iliyojipanga kama Iran?muda wote huo alikuwa anatafutwa Iran, na ameingia kwenye ndoano.
iran wameweka vifaru kwenye mpaka wake na syria sio lebanon. wanajua israel atapiga kuanzia syria kuingilia kwao kama wakitaka kupiga ground invasion.Sasa hivo vifaru video Lebanon au Syria leo kweli.
Maana lazima zivunge iraq
Nimesema inatakiwa wavuke iraqIli iweje?
Au kila kinacho postiwa mitandaoni nyie ni kuruka nacho tu bila hata kujiuliza?
View attachment 2780936
Iran ijapakana na Syria broiran wameweka vifaru kwenye mpaka wake na syria sio lebanon. wanajua israel atapiga kuanzia syria kuingilia kwao kama wakitaka kupiga ground invasion.
hivi tunavyoongea iran imepeleka vifaru kaskazini mwake mpakani na syria. pia, iran anaogopa balaa ndio maana hamas watafyekwa, hezbolah watafyekwa na iran hataingilia kabisa. atafyata mkia. ila anatafutwa aingilie kwasababu yeye ni taifa, anatakiwa kuwe na sababu ya kushambulia na ndio ndowano wanamwekea iran yeye anaikwepa.tumia akili mkuu subiri hapo utaona kama iran itaguswa.yaani wanapigwa na kakikundi cha mgambo wataweza nchi iliyojipanga kama Iran?
Watu hawajui Geography wanabwatuka tu.Iran ijapakana na Syria bro
Hiyo meli na ndege zake imeshindwa kumsaidia Ukrain alejeshe maeneo yake yaliotekwa na Urusi.wamumuwahi Iran, unajua mawazo ya iran ilikuwa, Hamas waingie kama walivyoingia kusini, kaskazini wawepo hezbolah, na israel akichoka, Iran iingilie kati kuimaliza Israel. wenzake wamegundua hilo, wakaleta mameli ya vit ana kujiweka tayari kwa lolote hata kabla hamas hajasumbua sana na hezbolah hajasumbua. aliyotarajia yamedondokea pua.
Nonsense wamguse Iran waone Yule anampaka hypersonic missiles huku anabackup ya Mrusi.hivi tunavyoongea iran imepeleka vifaru kaskazini mwake mpakani na syria. pia, iran anaogopa balaa ndio maana hamas watafyekwa, hezbolah watafyekwa na iran hataingilia kabisa. atafyata mkia. ila anatafutwa aingilie kwasababu yeye ni taifa, anatakiwa kuwe na sababu ya kushambulia na ndio ndowano wanamwekea iran yeye anaikwepa.
ukraine ilikuwa sehemu ya mazoezi na majaribio ya silaha, ndio maana hata msaada mkubwa haukutolewa. israel ameshapokea USD 5Billion toka marekani kwa ajili ya hii vita. ukrain hakupeleka pesa hizo. anapopigwa mtoto wako ni tofauti na anapopigwa jirani hata kama ni wa ukoo wako.Hiyo meli na ndege zake imeshindwa kumsaidia Ukrain alejeshe maeneo yake yaliotekwa na Urusi.
Mnatia aibu sana nyie viumbe. Kwanini mnapenda sana k{u}f!<rw%a akili zenu kwa story za kubumba?iran wameweka vifaru kwenye mpaka wake na syria sio lebanon. wanajua israel atapiga kuanzia syria kuingilia kwao kama wakitaka kupiga ground invasion.