LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Wapuuzi
Na hao watu wakiwatii watakua wajinga maana unakufa ww,wao wanabaki
Halafu wasubiri hayo masaa 24 hapo wataita maji mma
 
sasa hapo ndio patamu. alikuwa anasubiriwa kwa hamu sana. though kwa akili yake anafikiri kweli israel ingeenda kumpiga kwa ground invasion? ni kwa madege tu. na iran anachotegemea sana ni hamas na hezbolah kwamba watakuwa wanamsaidia.
Sasa hivo vifaru video Lebanon au Syria leo kweli.
Maana lazima zivunge iraq
 
Assalamaleikum

Jumamosi walisherehekea kuchinja waisrael, leo wanasema Israel inakiuka haki za binaadamu baada ya kuona Gaza Inatafunww. Wamesahau hii ni vita ileile waliyoianza kwa mbwembwe ?
 
muda wote huo alikuwa anatafutwa Iran, na ameingia kwenye ndoano.
tumia akili mkuu subiri hapo utaona kama iran itaguswa.yaani wanapigwa na kakikundi cha mgambo wataweza nchi iliyojipanga kama Iran?
 
Siku ya jumamosi ile mvua ya rockets iliyokuwa inaelekea Israel kutoka Gaza, walishangilia sana,

Waliua waisrael wengi, sasa leo nashangaa inakuwaje wanasema Israel inakiuka haki za binaadamu baada ya kuona kichapo cha Gaza,

Hivi siku ya jumamosi hamas walikuwa wanacheza mpira kule Israel???
 
tumia akili mkuu subiri hapo utaona kama iran itaguswa.yaani wanapigwa na kakikundi cha mgambo wataweza nchi iliyojipanga kama Iran?
hivi tunavyoongea iran imepeleka vifaru kaskazini mwake mpakani na syria. pia, iran anaogopa balaa ndio maana hamas watafyekwa, hezbolah watafyekwa na iran hataingilia kabisa. atafyata mkia. ila anatafutwa aingilie kwasababu yeye ni taifa, anatakiwa kuwe na sababu ya kushambulia na ndio ndowano wanamwekea iran yeye anaikwepa.
 
Hiyo meli na ndege zake imeshindwa kumsaidia Ukrain alejeshe maeneo yake yaliotekwa na Urusi.
 
Nonsense wamguse Iran waone Yule anampaka hypersonic missiles huku anabackup ya Mrusi.
 
Hiyo meli na ndege zake imeshindwa kumsaidia Ukrain alejeshe maeneo yake yaliotekwa na Urusi.
ukraine ilikuwa sehemu ya mazoezi na majaribio ya silaha, ndio maana hata msaada mkubwa haukutolewa. israel ameshapokea USD 5Billion toka marekani kwa ajili ya hii vita. ukrain hakupeleka pesa hizo. anapopigwa mtoto wako ni tofauti na anapopigwa jirani hata kama ni wa ukoo wako.
 
iran wameweka vifaru kwenye mpaka wake na syria sio lebanon. wanajua israel atapiga kuanzia syria kuingilia kwao kama wakitaka kupiga ground invasion.
Mnatia aibu sana nyie viumbe. Kwanini mnapenda sana k{u}f!<rw%a akili zenu kwa story za kubumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…