LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Siku zote israel hupewa msaada mikubwa na US tangu mwaka 1947 ila leo kakikundi ambako kapo staless na kamezingilwa pande zote, kama "biggest open prison in the world" kana mtia hofu mpa kutumia siraha zito F 16 mbombandiments, wanajeshi laki tatu, hapo kuna jambo kubwa tusio lijua.
 
sasa hapo ndio patamu. alikuwa anasubiriwa kwa hamu sana. though kwa akili yake anafikiri kweli israel ingeenda kumpiga kwa ground invasion? ni kwa madege tu. na iran anachotegemea sana ni hamas na hezbolah kwamba watakuwa wanamsaidia.
hamna lolote, kama vifaru kila nchi imepeleka katika mpaka wake - Misri imepeleka, Lebanon imepeleka, so.
 
mrusi hana uwezo kumsaidia yeyote yeye mwenyewe anapumulia mashine ukrain tu amemshinda. kama iran iana hypersonic, israel anayo hadi nuclear.
Ni kweli, matatizo ya mrusi yanamtosha, Korea na yeye juzi karuka mita mia kwamba yale makombola si ya kwake kabisa. Yaani baada ya US kusema ina pamoja na Islael kwenye hili, watu kimyaaaa !!
 
mrusi hana uwezo kumsaidia yeyote yeye mwenyewe anapumulia mashine ukrain tu amemshinda. kama iran iana hypersonic, israel anayo hadi nuclear.
Nyie kweli hamna akili mtu ambaye vita vimemshinda anawezaje kumiliki asilimia 20 ya eneo?
 
Nonsense wamguse Iran waone Yule anampaka hypersonic missiles huku anabackup ya Mrusi.
Mzee usikariri, unapigana na mtu kulingana na uwezo wake.

Kama unaangalia mpira utafahamu hicho kitu, Real Madrid inavocheza akiwa Uefa na wababe wenzake ni tofauti kabisa akiwa "La liga" anacheza na "Villarreal"

Kuna adjustments zinafanyika unapombana na mtu mbabe zaidi.

Sasa usidhani Israel anavopambana na Hamas au Hezbollah ndo atakavopambana na Iran.
 
Punguza mihemko huwezi kuhamisha watu milion moja ndani ya Masaa 24 tena sehemu finyu namna hiyo ,maana unaweza sababisha maafa makubwa kuliko hata hiyo vita.
 
waeleze mkuu.
 
Punguza mihemko huwezi kuhamisha watu milion moja ndani ya Masaa 24 tena sehemu finyu namna hiyo ,maana unaweza sababisha maafa makubwa kuliko hata hiyo vita.
Mihemko gani bhana ww.

Ni bora kujaribu kuhamisha baadhi ya watu kuliko kuacha kabisa kuwaambia wabaki, "Mtembea bure si sawa na mkaa bure"

Haya waambie wenzako waendelee kubaki.
 
Huo ni mtazamo wako tu usio na uhalisia, Rusia kamwe hawezi kuwatumia Hamas kumpiga muisraeli. Hivi ulishawahi sikia mahali popote Rusia na Israeli wanavutana?
maslahi maslahi achana na vitabu
 
Mnamuovarate tu hana lolote.
 
Tumieni akili Israel anasavive kwa misaada ya Marekani hana lolote hawezi kushinda vita na Iran wanaojitegemea Kwa kila kitu
 
Mihemko gani bhana ww.

Ni bora kujaribu kuhamisha baadhi ya watu kuliko kuacha kabisa kuwaambia wabaki, "Mtembea bure si sawa na mkaa bure"

Haya waambie wenzako waendelee kubaki.
Nimesha kwambia kuhamisha watu milion moja ndani ya siku moja tena kipindi cha vita ni hatari.

Alafu hao watu wanao takiwa kuhamishwa hawana mabawa kusema watapaa watoke hapo walipo bali wana hitaji usafiri wa kuwatoa hapo yaani kiufupi sio rahisi kama unavyo fikiri.
 
Kwahiyo Israel ilipora zaidi ya ilichopewa na azimio, sio?
 
Huyo umemtukana bure tu, mkuu. Before 1947 walikuwepo Wayahudi Palestina, ingawa idadi yao ilikuwa ndogo (600,000) ikilinganishwa na Waarabu (1.2 million).
Unajua kuwa hao wayahudi walifanya kuomba wapate sehemu ya watakayo ITA nyumbani na Uganda ilikua ni 1 ya mapendekezo lkn baadae mpaango ukabadilika. Ukweli hawa jamaa ni vigeu geu ndio maana walimkata yesu inamaana wangekuja Uganda pia wangesema ni ardhi Yao ya aHadi . Nyerere sio mjinga kuwakata lkn sishangai hapo Gaza hao ni mahasimu wa Muda na ukweli huu gomvi baado sana kusemea utaisha hapo ananyemelewa MTU kuna Syria wanataka ardhi kuna Egypt Lebanon na kuna Jordan hapo ni kimya kimya jibu litapatkana Tu anasubiri MTU aingie mkenge usisahau wapalistina nao wanataka Uhuru wao wa kua nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…