LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mkuu umeutoa wapi hii ramani
ukitaka kujua chanzo cha tatizo jitahidi kutafuta chimbuko, hii ndiyo himaya ya Israel wakati wa utawala wa Mfalme Daudi - ambapo tawala ziligawanyika pande mbili baada ya vita - Yuda kwenye light green na kaskazini.

Kwa maana hiyo wafilisi (waparestina) hawakuwa na eneo kubwa kama wanavyodai leo kwamba eneo karibia lote la Islael lilikuwa la kwao.
 
JERUSALEMU KIKOMBE KINACHOWALEVYA MATAIFA.

Unabii WA siku za mwisho.

β€œZekaria 12:2 Angalia, mimi nitafanya Yerusalemu kuwa kikombe cha kuyumba-yumba kwa watu wa kabila zote, wazungukao pande zote; tena kitakuwa juu ya Yuda pia wakati wa kuhusuriwa Yerusalemu.

3 Tena itakuwa siku hiyo, nitafanya Yerusalemu kuwa jiwe la kuwalemea watu wa kabila zote; wote watakaojitwika jiwe hilo watapata jeraha nyingi; na mataifa yote ya dunia watakusanyika pamoja juu yake
 
Hata Iran yeye mwenye anawasiwasi na Israel ndo maana anashirikisha nchi za waarabu na za kiislamu.

Juzi waliitisha kikao na nchi za kislamu.
Iran yeye mwenyewe ajiamini.
hakuna wa kungia kavu kavu kwa Islael, maneno wacha waseme ila utaniambia ni nani atatia mguu walau kutuma kombara moja tu.

Lebanon alisema endao US atasaidia chochote Islael basi atakiwasha; sasa juzi Irone Done zingine mpyaa zimetua Islael toka US - kimyaa.
 
Mkuu mimi ninagyojua wenye huyoersonic missile ni Urusi na china, North Korea alipewa na China.
USA wanatest sana zinafeli.

Ila najua miezi 4 iliyopita Iran walisema wamefanikiwa.
Ni taarifa ambayo not confirmed kivile. Sijui labda.
na unategemea iran apate silaha hiyo wakati marekani na israel wanakaa kimya tu.
 
Arab League wamesema kitendo cha kuwataka Wapalestina wahame kwa lazima kutoka Gaza ni Uhalifu.

Waarabu katika Umoja wao wamesema wanafuatilia kwa karibu kila kinachoendelea Gaza.

Source BBC news.
Waendelee tu na maneno maana ndo uwezo wao ulipoishia vita waendelee kumwachia Israel ajipige gaza nje na ndani
 
Na wameshaanza kuhama watakaokaidi amri ya jeshi bas Wana maslahi na Hamas hivyo watalengwa
 
Jamani Hawa Waislam inabidi tumuombe sana Mungu WETU, kwani wanakoelekea inaonyesha watu tusiokuwa Waislam hatutakuwa na Amani ona wanachosema kwenye hii video

View: https://x.com/DaveAtherton20/status/1712738728416801161?s=20
Wamelaaniwa wao wenyew kisa siku wanauana huko uarabuni.
Hakuna watu wamejaa chuki kama hawa jamaa, watoto wao kuanzia wapo wadogo wanawafundishwa mtu yeyote ambaye sio muislamu ni adui yako, kupandikiza chuki ndo wanachojua.

Baada ya kumfundisha mtoto kumpenda Mungu, kushika sheria za mungu na kuwa na upendo kwa wenzake, wao wanakazana kuwajaza chuki.

Haya.
 
Sas utamaduni wa kiiarabu ndio utamaduni wa kiislam?

Mbona mnajitia ujuaji
 
Mafundisho gani ya usilam yanaprove hicho ulichosema?
 
Sas irone dome ni za mmarekani? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na isipo kuwa hivyo? Hivi unadhani vita ni kucheza ngoma yakwamba unaweza kuamuwa uicheze kwa stairi gani ,jifunzeni kuwa na akiba ya maneno.
Kama una bisha muulize mdhamini mkuu wa Israel ni kipi kilimkuta kwa vijana wa Taliban.
 
Huyu huyu Israel ambaye kupigana na kupigana anahitaji msaada wa mabwana zake ndo aje kujitutua kwa Iran?
 
Ww hapo ulipo huishi na waisilam walisha kufanyia kitu gani kibaya na walisha kuharibia kitu gani katika kutimiza mafundisho ya chuki ya dini yao?
Sawa waisilam wana chuki kwa sababu ya mafundisho ya dini yao ,vipi kuhusu ww chuki uliyo nayo kwa waisilam ulifundishwa kwa mujibu wa dini gani?
 
Waisrael wanapozungumzia Historia ya utaifa wao, huanzia kwenye ufalme wa Daudi (David) ambaye ndiye muasisi wa Ufalme wa Israel uliojulikana kama United Monarch mnamo mwaka 1004- 960BC. Baada ya kifo cha Daudi, mwanaye Suleiman (Solomon) alishika hatamu ya uongozi kuanzia mwaka 961-922BC. Baada ya kifo cha mfalme Suleiman mwaka 922BC Makabila kumi ya upande wa Kaskazini yalikataa kuwa chini ya Utawala wa mfalme Rehoboam ambaye alikuwa ni mtoto wa Mfalme Suleiman, hivyo makabila haya yalifanya uasi na kuanzisha ufalme wao walioupa jina la Ufalme wa Israel-Samaria, mji mkuu wa Ufalme huu uliitwa Samaria, baadae walihamishia makao makuu kwenda mji wa Wacaanan wa Sichem ambao kwa sasa unajulikana kama Nablus. Ufalme huu ulisambaratika baada ya kuangukia mikononi mwa dola ya Assyria ( Assyrian Empire) mnamo mwaka 720BC.


Hali hii ilipelekea kuwepo kwa falme mbili za Kiebrania za upande wa Kaskazini na upande wa kusini ambayo hii ya upande wa kusini ilibaki kuwa chini ya Mfalme Rehoboam ilijulikana kama nchi ya Yuda (Judah), makao yake Makuu yalibaki katika mji wa Jerusalem na baadae yalihamishiwa katika mji wa Hebron. Ufalme huu ulisambaratika baada ya kushindwa vita na kuangukia mikononi mwa mfalme Nebuchadnezzar wa Babeli mnamo mwaka 587BC.


Mwaka 63BC nchi ya Yuda iliwekwa chini ya uangalizi wa dola ya Kirumi na mwaka wa 6CE iliunganishwa na kuwa jimbo la Warumi. Mnamo kwaka 135CE Wayahudi waliasi na kupelekea vita baina yao na Warumi ambapo walishindwa vibaya, walipoteza uhuru wao na mji wa Jerusalem uligeuzwa kuwa mji wa kipagani.Wayahudi walipigwa marufuku kuishi Jerusalem na Warumi waliibadili jina nchi ya Yuda na kuiita Syria Palestina.


Kusambaratika kwa falme hizi mbili za kiyahudi na kutawaliwa na madola makubwa kuanza Assyria empire, Babylonian empire, Persian Empire (Iran), Greek empire, Roman Empire, Rashidun Caliphate, Ummayad Caliphate, Ayyubid Dynasty, Mamluk Sultanate, Ottoman Empire na British Empire (United Kingdom) kulipelekea Wayahudi kutawanyika katika maeneo mbali mbali Duniani. Kutawanyika huku kuliwagawa Wayahudi kwa majina kutegemea na maeneo waliyotawanyikia. Makundi haya ya Wayahudi ni Ashkenazi (Ashkenazi Jews) kundi hili ni lile lililohamia katikati na Mashariki ya bara la Ulaya. Sephard (Sephardic Jews ) ni kundi lililohamia maeneo ya kusini ya bara la Ulaya na Kaskazini ya Afrika na Mizrahi (Mizrahi Jews) ambao walibaki mashariki ya kati, Asia ya Kusini na Asia ya kati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…