LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Kwamba unatwanga then unakimbia kuja kujificha kwako na wakati huo familia yako umewasahau nje🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Vp mwanaume🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mwarabu kwa asili ni mfanyabishara na si mpiganaji - toka enzi za kina Tippu Tip. wewe ulisikia wapi waarabu wakaliamusha na wakashinda? zaidi ya kujilipua lipua.
 
Israel hawezi kupambana na Hizbullah kwani walishawahi kupambana na matokeo yanafahamika.

Licha ya hivyo ukiangalia kwa mapana Israel wapo vizuri kwa jeshi la anga. Mbali na hapo hawana uzuri wa zaidi. Jambo lengine anga la Gaza lipo wazi hawana ADS.

Ukizungumzia Hizbullah unazungumzia jeshi kamili ambalo limejizatiti ki anga, ardhini na majini. Hivyo wakipigana na Israel itakuwa ni habari nyengine.

Na ndiyo maana US, UK, France na Ujerumani wote wanataka na kutahadharisha Hizbullah asiingie.
 
Yani hapo Hezabulla sijui wanaitwa.
Wanaingia Israel kwa kisingizio gani??

Maana kama raia wametolewa Gaza. Sasa wao watasingizia nini.

Kitakachotokea wataesabika kama magaidi. Yani Lebanon inafuga magaidi. Hicho itapelekea kuvamiwa kwa Lebanon maana itaongekana inafuga magaidi.

Yani Lebanon nao hawafikili
 
Hoja yako inaibua swali muhimu: Nani anayetoa hati miliki ya ardhi hapa duniani?

From Benjamin Netanyau's view: ^Israel has been living in the Middle East for generations, for thousands of years.^

For the sake of the same argument, which society -- from the US 17th and 18th century immigrants mostly from Europe even to our very tribes in Tanzania -- would dare accept such method of identity and land ownership?

Or, better yet, what's the earliest point in time, historically speaking, from which a given society is accounted worth of the title deed and rightful ownership of a piece of land that they are said to have acquired then?
 
Ukizungumzia Hizbullah unazungumzia jeshi kamili ambalo limejizatiti ki anga, ardhini na majini. Hivyo wakipigana na Israel itakuwa ni habari nyengine.
Mzee, mwarabu ni mfanyabiashara hasa mafuta nk - mambo ya vita waachieni wenye fani zao. at the end mwarabu anaishia kujilipua akidhani Mwenyezi Mungu atampokea peponi.
 
kwahiyo unataka kusema kwamba hezbullah waliishinda israel? au israel aliondoka mwenyewe kwasababu dunia ilikuwa inalalamika mno jambo ambalo kwa uchinjaji uliotokea majuzi hata dunia haiongei chochote? pia, kwenye vita, jua kuwa ni kitu kigumu sana kupigana na gaidi anayejificha kwenye raia na kukurushia bomu wakati wew ehautaki kuua raia unataka kumpiga yeye peke yake. hapo ndipo wanatofautiana. ila kwa hilo, nafikiri unajua kinachoendelea gaza, kama raia wanajaliwa tena basi waambie waendelee kubaki gaza. anapiga bila kuangalia sasaivi.

pia, jambo ninalokuhakikishia ni kwamba, Hezbullah wangekuwa na uwezo kuishinda israel, basi israel ingeshafutika kwenye uso wa dunia zamani sana. kama huamini endelea kubaki na imani yako. hezbullah na hamas siku zote huwa wanapona kwa njia ya kulialia ili waonewe huruma na dunia lakini sio uwezo wa kupigana.
 
Ww kafiri Acha chuki na dini za watu unao wapigia kelele wenyewe sio wakristo sasa cjui unamatatzo gani inaa kuuma nni waislamu wakipa mabikra wao 100 Acha chuki
 
anachomaanisha Benjamin netanyau, na ambacho ni cha kweli ni kwamba, kwa historia yote ya eneo lile, wafalme wote hadi uwepo wa roman empire, ottoman etc, wayahudi ndio ardhi yao, na hata walipohama hawakuhama wote, wapo waliobaki ambao sasa wapalestina waliwazidi idadi tu ila walibaki wengi sana pia.
 

Mkuu vita vya 2006 ni hivi mimi navijua matokea yake

Hezbollah zaidi ya 1000 walikwenda.
T14 Armata
Njoo
 
Unaona hapo chini, hapo ni uso kwa uso, hakuna tank wala gari inapita, au kuita airstrike
Ni lazima watembee kwa mguu, yaani uingie nyumbani kwangu halafu unajifanyan unajua kila kona,
View attachment 2781919
raia wakiondoka hapo, yatapigwa mabom ya kufunua funika hapo hayo majengo hayatakuwepo tena, hamas hawajui kama kwenye mahandaki waliyokimbilia ndio makaburi yao.
 
Unaona hapo chini, hapo ni uso kwa uso, hakuna tank wala gari inapita, au kuita airstrike
Ni lazima watembee kwa mguu, yaani uingie nyumbani kwangu halafu unajifanyan unajua kila kona,
View attachment 2781919
Sasa mkuu Hamas humo ndani hawana hata backup ya risasi.
Kama mpk sasa washakwenda zaidi ya 2000.
Unategemea nini.
Huko Gaza hawana hata backup ya risasi wala RPG
 
Wewe kwani hujui Vita mapambano bado yanaendelea. Israel atapigna lkn Hana uwezo WA kunyamazisha wapalistina full stop nakama unabisha wake kumbukumbu huu Uzi . Utakuja Kukri ww au mjuku wako
 
Sasa mkuu Hamas humo ndani hawana hata backup ya risasi.
Kama mpk sasa washakwenda zaidi ya 2000.
Unategemea nini.
Huko Gaza hawana hata backup ya risasi wala RPG
Gaza ina mahandaki mengi sana walishajiandaa kwa kuficha silaha huko, maji na chakula. ila wakipigana hivi kwa mwezi mmoja au miwili, wataishiwa silaha, wataishiwa maji na chakula, na mafuta, watajitokeza nje. na wakitoka tu, wote itakuwa halali ya kuuawa kwasababu raia wote wameshaondoka. raia wakiondoka atakayetokeza kichwa tu ni risasi bila kuuliza. ndipo watakapopukutishwa wote. adui mwombee njaa tu.
 
Wewe kwani hujui Vita mapambano bado yanaendelea. Israel atapigna lkn Hana uwezo WA kunyamazisha wapalistina full stop nakama unabisha wake kumbukumbu huu Uzi . Utakuja Kukri ww au mjuku wako
sawa.
 
Mzee, mwarabu ni mfanyabiashara hasa mafuta nk - mambo ya vita waachieni wenye fani zao. at the end mwarabu anaishia kujilipua akidhani Mwenyezi Mungu atampokea peponi.
Mwarabu kwenye vita yupo vizuri ni mtu ambaye akijitoa anajitoa, hili linafahamika na lipo wazi.

Kinachomgharibu mwarabu ni unafiki na si hizo sababu nyenginezo unazozisemea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…