umeweka historia nzuri. na kwa historia hii, maana yake wapalestina kwa maana ya waarabu hawajawahi kumiliki hilo eneo. karne nyingi baada ya Yesu, na hata kabla, eneo lote lile lilijulikana kama caanan, ila wapalestina ambao ni wafilistia (wafilist) walikuwepo wachache sana kama minority chini ya GAZA na waliishi sio kama wamiliki wa eneo, kwasababu mfalme alikuwa herode wa kiyahudi ambaye pia alikuwa chini ya warumi. imekuwa hivyo hata baada ya ottoman empire waliokuwa kuwafukuza kabisa wayahudi. quran haijawahi taja neno Palestine, halimo kabisa, ila wanataja kama ni ardhi takatifu ya kiyahudi na wanaing'ang'ania zaidi kwasababu ya msikitiw a al aqsa uliojengwa baada ya kuvunja hekalu la suleiman mfamle wa waisrael. walivunja wakabakisha ukuta ambao upo hadi leo, ukuta wa maombolezo ambao wayahudi upande wa pili huwa wanaenda kuombolezea hadi kesho.