Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,724
Ilikuwa hivi.Hezbullah 1,000 wamekufa, wayahudi 120, na unasema walishindwa vita.
israel huwa anaamua kuacha kupiga kwasababu ya kelele za mataifa duniani na kwa ajili ya kulinda reputation yake, kwasababu pamoja na kwamba anaonekana katili lakin bado yupo duniani anahitaji mataifa yawe rafiki zake, kufanya biashara na mataifa mbalimbali, kwa kifupi anajua yeye sio kisiwa hawezi kuishi peke yake. hivyo ukiona ameacha jua anatafuta wema hataki kuonekana shetani. vita na hezbullah ni nguvu kwasababu hupigani na taifa hivyo sheria za kivita hazipi, israel watafuata sheria ya vita ila hezbullah hawatafuata sheria na watachukua raia kama kinga, na kwasababu wewe hutaki kuua raia, inakuwa ngumu kwako. utofauti wake na Gaza ni kwamba, raia wanaondoka, na watabaki hamas na israel peke yake, hapo ndipo kitakuwa kiama ya hamas. umepata picha hii?Ilikuwa hivi.
Hezbullah waliattack North Israel na kuuwa watu. Israel ikaamua kuivamia Lebanon kwa lengo ya kuwaangamiza kabisa hezbulla.
Walishidwa kuwangaliza ila hezbullah walipeteza askari wengi kuna vyanzo vingine wanasema walikufa zaidi ya 5000.
Ila walificha tuu.
Ishu ni kwamba watu wanafikili vita avimuathiri jeshi lenye nguvu. Kwa kawaida vita hasara zipo pande zote.
Hata hio kupigana na hezbullah kuna kikosi kimoja cha Israel kilipigwa hambush mpk kupelekea askari wao 3 kufa palepale na wengine 3 kutekwa na hezbulla nafikili walionyesha mpk kwenye TV.
Na matukio mengine.
Sasa watu wakiona hivyo wanaona aaaaa Israel ilishidwa ilipigwa sana.
Wakati matokea yake raia wa Lebanon walikufa zaidi ya 8000
Hezbullah zaidi ya 1000.
Na majengo kibao kuaribiwa mengi sana yalialibiwa.
Umeona eeeisrael huwa anaamua kuacha kupiga kwasababu ya kelele za mataifa duniani na kwa ajili ya kulinda reputation yake, kwasababu pamoja na kwamba anaonekana katili lakin bado yupo duniani anahitaji mataifa yawe rafiki zake, kufanya biashara na mataifa mbalimbali, kwa kifupi anajua yeye sio kisiwa hawezi kuishi peke yake. hivyo ukiona ameacha jua anatafuta wema hataki kuonekana shetani. vita na hezbullah ni nguvu kwasababu hupigani na taifa hivyo sheria za kivita hazipi, israel watafuata sheria ya vita ila hezbullah hawatafuata sheria na watachukua raia kama kinga, na kwasababu wewe hutaki kuua raia, inakuwa ngumu kwako. utofauti wake na Gaza ni kwamba, raia wanaondoka, na watabaki hamas na israel peke yake, hapo ndipo kitakuwa kiama ya hamas. umepata picha hii?
waarab wanapokumbuka tu mabikira 70 na mito ya pombe pindi wakifa mori huwapanda sanaaaà ndo maana wengine hujitoa mhanga wakapate hayo mathawabu aliyoahid allah🤣😂Mwarabu kwenye vita yupo vizuri ni mtu ambaye akijitoa anajitoa, hili linafahamika na lipo wazi.
Kinachomgharibu mwarabu ni unafiki na si hizo sababu nyenginezo unazozisemea.
VITA VYA LEBANON 🇱🇧 2006 Angalia matokea yake, afu unasema umeshida vita kweli.Hezbullah 1,000 wamekufa, wayahudi 120, na unasema walishindwa vita.
Hio ndo Lebanon war 2006.VITA VYA LEBANON 🇱🇧 2006 Angalia matokea yake, afu unasema umeshida vita kweli.
T14 Armata
View attachment 2781940View attachment 2781942View attachment 2781944View attachment 2781945View attachment 2781947View attachment 2781948View attachment 2781949View attachment 2781950View attachment 2781951View attachment 2781952View attachment 2781953View attachment 2781954View attachment 2781955View attachment 2781956View attachment 2781957
Unatetea ujinga na una support ujinga.
Mzee! Labda hili suala uwe unaliongelea kiushabiki. Lebanon kuna jeshi la nchi halafu kuna jeshi la Hizbullah.kwahiyo unataka kusema kwamba hezbullah waliishinda israel? au israel aliondoka mwenyewe kwasababu dunia ilikuwa inalalamika mno jambo ambalo kwa uchinjaji uliotokea majuzi hata dunia haiongei chochote?
Labda kama hufahamu sheria za kimataifa za vita. Hata vunge la EU mbunge kutoka Irish kawaumbua wenzake kuwa Israel anavunja sheria za vita za kimataifa: Kuzuia huduma muhimu kama maji, umeme, msaada wowote kuwafikia, chakula n.k uhalifu wa kivitapia, kwenye vita, jua kuwa ni kitu kigumu sana kupigana na gaidi anayejificha kwenye raia na kukurushia bomu wakati wew ehautaki kuua raia unataka kumpiga yeye peke yake. hapo ndipo wanatofautiana. ila kwa hilo, nafikiri unajua kinachoendelea gaza, kama raia wanajaliwa tena basi waambie waendelee kubaki gaza. anapiga bila kuangalia sasaivi.
Sasa utavamiaje pasipo kuvamiwa?pia, jambo ninalokuhakikishia ni kwamba, Hezbullah wangekuwa na uwezo kuishinda israel, basi israel ingeshafutika kwenye uso wa dunia zamani sana. kama huamini endelea kubaki na imani yako. hezbullah na hamas siku zote huwa wanapona kwa njia ya kulialia ili waonewe huruma na dunia lakini sio uwezo wa kupigana
We kweli huelewi huyo mama na watoto wake wako free Hamasi huwa hudhuru watu wasio na hatia wenye kuonea watu ni Israel taifa la mungu wa bibilia wao ndege zao na mizinga kuwauwa watoto na wa wanawake au raia wa kawaida.Unatetea ujinga na una support ujinga.
Kwann unateka watoto??
Watoto wamekufanya nn??
Hao watoto ndo wamekuibia ardhi??
Hao watoto walikuwepo wakati mnaibiana ardhi??
Huyo mtoto asaiv angekuwa mikononi mwa mama ake, atapata care anayostahili.
Huyo mtoto asaiv angekuwa ananyonya kwa mama ake, na angekuwa na amani lakini hao watoto wanaonekana wamelia hadi wamechoka(their faces are very pale)
Usiwe unaandika mambo bila kufikiria.
Labda kuna habari uliikosa nikupatie pia!Mkuu vita vya 2006 ni hivi mimi navijua matokea yake
View attachment 2781918
Hezbollah zaidi ya 1000 walikwenda.
T14 Armata
Njoo
Kwani Mitume wamekuja vipi bila kutumwa, na we dalili zako leta vipi Mtume wetu hakutumwa, we nani mpaka useme hakutumwa.Kwahyo MTU akijiita nabii unafata kwasababu kakwambia mungu ndio kamtuma.
Ninachokiona ni kwamba haupo serious!waarab wanapokumbuka tu mabikira 70 na mito ya pombe pindi wakifa mori huwapanda sanaaaà ndo maana wengine hujitoa mhanga wakapate hayo mathawabu aliyoahid allah🤣😂
Wewe inafahamika tangu huu Uzi uanze ni mtu mwenye chuki na wapalestina na waarabu na waislamu.Hawa jamaa wanafanya utani, haya ni maigizo ya hali ya juu.
View: https://twitter.com/MrSinha_/status/1712998202902016204?t=LJM2hEXkX8IRtlC_bljS3w&s=19
Mimi siabudu alah mimi ni mkristo lakini na kufundisha kutumia akili.Taifa gani la Mungu linaruhusu machukizo kama ushoga,utoaji mimba,taifa gani la Mungu halina huruma na Viumbe wa Mungu?fungua akili hao sio hawa.hawa wamemuacha Mungu hawana tofauti na mataifa ya magharibi.sasa hivi taifa la Mungu ni wanaofuata mafundisho na maelekezo yake.hilo taifa lina damu ya watu wa Mungu.Huyu Mungu Yehova ambaye Israel ndio mzaliwa wake wa kwanza, yeye asiyelala wala asiyesinzia ndio mkuu. Wewe endelea kuabudu Allah anayewapa watu mito ya ulevi na mabikra 72 huko Jannah firdaus baada ya kuchinja, kuchoma moto, na kubaka watu wasio hatia. Kuabudu hilo dude lenye mguu mmoja ambapo Qur'an inasema ndie atakuwa wa kwanza kutupwa kwenye ziwa la moto baada ya kuwaingiza chaka lazima mtu awe Punguani kidogo. Mwaabudu msichokijua
Israel hii ya sasa sio taida la mungu kwakua yanayo tendeka ndani ya Israel hayampenzi hata mungu sio miaka mingi kulikua na sherehe za mashoga hapo Israel sasa cjui kama mungu anabariki Hilo kwahyo hyo Israel inayoitwa taifa la mungu sioni sifa hzo kama wanazoKwani Mitume wamekuja vipi bila kutumwa, na we dalili zako leta vipi Mtume wetu hakutumwa, we nani mpaka useme hakutumwa.