Leonardo Harold
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 1,088
- 2,122
NAJUA VIZUR MAANA YA KAFIR NA WEWE HUJUI UNACHOONGEA.Nisijue msimamo wako wakati unajiweka wazi kuwa Una chuki Kwa sababu Baba yko aliitwa kafiri . Ulitaka wamuitaje labda kwakua alitoka kwenye uislam ni Hali yke alipinga uislam au unajua maana ya kafir ni tusi sio tusi Bali ni MTU ambaye anampnga mungu Yan Allah na kupinga dini yke ya kislam au MTU ambaye afati uislam Sawa we kafir
Shida ni kutawaliwa Kwa mabavu .shida sio israel, shida sio wapalestina, shida ni HAMAS..... wale wanaokuwa fooled na video za symphathy za mashambulizi ya ISRAEL , wajielekeze kwenye mzizi wa tatizo maana sikuzote madhara ya vita hayachagui wa kumuua, lakini je, ni nani asiyejali amani na maisha?
hamas ndio wanaoumiza wapalestina wa gaza, KULENI VYUMA HIVI NYIE PRO HAMAS
Samaleko sheikh 😂😂😂😀😀😁😁Unatoa michango kinafiki wewe ni kafiri na huwezi badilika unachuki. Mbona ukosoi hawa Israel Kwa wanacho kufanya au dini yko ndio inafundisha hvyo kutetea wayahudi kuona wap ni kizazi cha mungu wngne no kizazi cha shetani wanastahili kuangamizwa. Kafiri wewe
HYO shida ni ya muda mrefu.. ila je mbinu waliyotumia hamas imewasaidiaje watu wa GAZA? zaidi ya kuwaletea maumivu na sasa wna hatari ya kupoteza hata hyo gaza.Shida ni kutawaliwa Kwa mabavu .
Basi nimeshukuru unajua maana yake. Tuendele lkn kuhusu Israel na Palestinian sote tunajua sababu ya ugomvi sio dini Bali occupation yawa Israel Kwa wapalistina. Sema kwakua wng wapalistina ni waislamu basi watu wanajumuisha na dini ya kislam kitu ambacho sio Sawa . Lkn kutoka na chuki ambazo zipo Kwa baadhi ya watu wakristo na waislam wanataka kujumuisha masala ya dini Kwa kukejeli dini za wngne unapofkia hapo ujue Una trigger wngne pia kuingia ktk mgogoro huo kwani unajua Unawaudhi watu na Imani zao . Kwahyo jadili vzuri bila kuweka mzaa na dini za watu hutaona MTU akikuona Una chuki japo kua unajijua mwenyewe.NAJUA VIZUR MAANA YA KAFIR NA WEWE HUJUI UNACHOONGEA.
Mzee maumivu haya epukiki hata kwetu WA Africa watu walipinga ukoloni sio kwakua walikua na nguvu ya kushndana na mkoloni Bali hakuna jinsi Kwahyo si Shangai Kwa hamas kufanya hvyo refer majimaji ,na vpingamizi vngne vyote walikua hawana nguvu ya kumshinda mkoloni lkn walipinga.HYO shida ni ya muda mrefu.. ila je mbinu waliyotumia hamas imewasaidiaje watu wa GAZA? zaidi ya kuwaletea maumivu na sasa wna hatari ya kupoteza hata hyo gaza.
au walitegemea Israel angefanyaje baada ya mashambulizi ya Hamas yasiyo na malengo?
😂😂😂😁😁😀Allah ndio huyu aliyewaahidi mabikra 72 na mito ya ulevi sheikh?. Ndio huyo anawaambia mbake, muu wasio na hatia kisa kumpigania yeye?. Mungu gani anapiganiwa na binadamu?.anampnga mungu Yan Allah na kupinga dini yke ya kislam
Sasa ww kafiri unadhani kuna kipi ninaweza kukueleza utaelewa wakati akili yko ushaanda kupinga .😂😂😂😁😁😀Allah ndio huyu aliyewaahidi mabikra 72 na mito ya ulevi sheikh?. Ndio huyo anawaambia mbake, muu wasio na hatia kisa kumpigania yeye?. Mungu gani anapiganiwa na binadamu?.
Kwani waislamu wanatumia Kitabu Gani Kama Muongozo wao??kuna watu wanafikiri HAMAS wanawatetea palestina, ukweli ni kwamba Israel ilikuwa tayari kuishi na wapalestina tangu wwalipogawanywa na UN, shida ni kutoridhika kwa wapalestina na kuanzisha vita na israel, na historia inaonesha kila vita israel ilishinda na kujiongezea utawala, sasa kumbe vita ndio inayowaumiza zaidi wapalestina kuliko kuwasaidia. kwa sasa israel haiwezi kurudisha ardhi yoyote iliyokwisha kuitawala, kwahyo salama ya palestina na kuishi kwa kutulia kwenye ardhi waliyobakiwa nayo, ni vyema wakatumia akili kudeal na israel kuliko kulazimisha kutumia hasira, mihemko na nguvu ambazo hawana, matokeo yake ni vilio kwa nchi yao,
by the way HAMAS sio wapalestina wala sio waislam, maana uislam ni dini ya amani, HAMAS ni MAGAIDI, na gaidi hatakiwi kuishi, ni kirusi kwa kila kiumbe hai.
HUYU DOGO MZEE WAKE NDIO WAANZILISHI WA HAMAS NA HAPA ANATUPA UKWELI KUHUSU HAMAS, msishupaze shingo ndugu zangu waislam, hawa HAMAS mnavyowakumbatia ndio mnachochea maafa kwa wapalestina
The Saturday figures are an update to UNICEF's Friday statement, which said “hundreds & hundreds of children have been killed and injured,” noting the number rises every hour."According to the latest reports by local health authorities and media, at least 2,215 Palestinians were reportedly killed, including over 700 children, and more than 8,714 people wounded, including more than 2,450 children," UNICEF spokeswoman Sara Al Hattab told CNN on Saturday.
Elder joined calls from the international community saying, “Israeli children being held hostage in Gaza must be safely and immediately reunited with their families and loved ones.”"The killing of children must stop," UNICEF spokesperson James Elder said. "The images and stories are clear: children with horrendous burns, mortar wounds, and lost limbs. And hospitals are utterly overwhelmed to treat them."
Acha na naye,msikilize Johathan ConricusDuniani kosa vyote lakini usikose akili, ugomvi wa miaka yote Kati ya Palestina na Israel ni ardhi, kwamba Palestina iliporwa ardhi yake na Israel na HAMAS ndo wanaojiamini kwamba Wana uwezo wa kupigana na Israel na kuishinda.
Pamoja na yote, Israel iliendelea kutambua maeneo kama Gaza kuwa ni mali ya Wapalestina.
Sasa hivi Gaza ndo kwa heri tena, inaenda kuchukuliwa yote na kuwa mali ya Israel baada ya HAMAS kufanya mauaji ya kushtukiza ya waisrael zaidi ya 900.
Taarifa za uhakika ni kwamba wanajeshi laki tatu,wengi wao wakiwa makomandoo Hatari kabisa,wanaingia Gaza ndani ya masaa sita yajayo kuua kila kiumbe watakachokikuta hapo.
Na kisha watajenga kambi za kijeshi na kuigeuza Gaza kuwa mali ya Israel milele yote,kama walivyofanya kwa Syria kwa kuipora milima ya Golan Baada ya vita vya siku sita.
Hao wapalestina zaidi ya milioni moja walioamriwa kuondoka Gaza,kamwe hawatakaa warudi tena.
HAMAS imewaponza ndugu zao,Iran ni mbwa anayebweka tu lakini hawezi kung'ata,huu ndo ulikuwa wakati mzuri sana kwa Iran kuingia vitani na Israel ili aonyeshe uanaume wake.
Misri na nchi zingine za kiarabu hawawezi hata kuota tu kupigana na Israel,wanaujua mziki wake,wa mwaka 1967.
Hatimaye Gaza inaenda kuwekwa kwenye Ramani ya Israel
"Tutakachofanya hakitasahaulika kwa vizazi na vizazi"
Benjamin Netanyau, alimaanisha kuwa Gaza ndo imeenda hivyo.
wapi nimeweka mzaha na dini ya mtu?Basi nimeshukuru unajua maana yake. Tuendele lkn kuhusu Israel na Palestinian sote tunajua sababu ya ugomvi sio dini Bali occupation yawa Israel Kwa wapalistina. Sema kwakua wng wapalistina ni waislamu basi watu wanajumuisha na dini ya kislam kitu ambacho sio Sawa . Lkn kutoka na chuki ambazo zipo Kwa baadhi ya watu wakristo na waislam wanataka kujumuisha masala ya dini Kwa kukejeli dini za wngne unapofkia hapo ujue Una trigger wngne pia kuingia ktk mgogoro huo kwani unajua Unawaudhi watu na Imani zao . Kwahyo jadili vzuri bila kuweka mzaa na dini za watu hutaona MTU akikuona Una chuki japo kua unajijua mwenyewe.
Ndo maana wanapaswa kujitofautisha na magaidi, kuna sheria za vita zinapaswa zifuatwe na kitu muhimu zaidi ni uhai wa watu (raia), kuna watoto pale halafu sio wote waliopo Gaza wanastahili hii adhabu kuna wengine wanalazimika tu kuwepo pale sababu hawana namna.Hao magaidi walitoa taarifa walipo vamia Israel?
Ww kafiri Acha chuki na dini za watu unao wapigia kelele wenyewe sio wakristo sasa cjui unamatatzo gani inaa kuuma nni waislamu wakipa mabikra wao 100 Acha chuki
Nasimama na were mkuu..kwa mbali na taratiibu naanza kuuona unafiki wa West na hao wanaojiita civilized states☹️More than 700 Palestinian children reportedly killed in Gaza, UNICEF says
From CNN's Lauren Kent
Black smoke rises after an Israeli airstrike in Gaza on Saturday. Ali Jadallah/Anadolu Agency/Getty Images
More than 700 children have been killed in Gaza and another 2,450 have been injured since last Saturday, according to the United Nations Children’s Fund, citing local sources.
The Saturday figures are an update to UNICEF's Friday statement, which said “hundreds & hundreds of children have been killed and injured,” noting the number rises every hour.
Elder joined calls from the international community saying, “Israeli children being held hostage in Gaza must be safely and immediately reunited with their families and loved ones.”
Previous reporting from CNN's James Frater
===========================
Huu unyama na ugaidi unaofanyika kwa mwavuli wa 'haki ya kujitetea' lazima ulaaniwe na kila mpenda amani.
Hawa wanaojiita 'civilized world' na wenye democratic institutions huku wanafumbia macho haya ni wanafiki tu na mawakala wa kuzimu wanaotaka kutoa damu za Wapalestina kama kafara.
Ufunuo wa yohana 3:9 " tazama, nakupa walio wa sinagogi la shetani wasemao kwamba ni Wayahudi nao sio, bali wasema uongo. Tazama, nitawafanya waje kusujudu mbele ya miguu yako na kujua ya kuwa nimekupenda".
Hao mawakala wa Ibilisi wanaojiita Wayahudi kumbe ni 'Wayahudi feki' na wanaua raia wema wa Palestine adhabu yao kubwa ipo.
Palestine haitaangamizwa kamwe wala kufutwa na yeyote.
Mungu ibariki Israel..🙏🙏🙏🙏
Mungu ibariki Palestine...🙏🙏🙏
Palestina na Israeli wote wanatesana, mkuu. Hakuna amani ya kweli pale Mashariki ya Kati.Kwahiyo tunakubaliana Palestine ananyanyaswa na tunakubaliana anaonewa, je, njia anazotumia mkandamizi wake kumkandamiza Palestine unazijua?