LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
shida sio israel, shida sio wapalestina, shida ni HAMAS..... wale wanaokuwa fooled na video za symphathy za mashambulizi ya ISRAEL , wajielekeze kwenye mzizi wa tatizo maana sikuzote madhara ya vita hayachagui wa kumuua, lakini je, ni nani asiyejali amani na maisha?
hamas ndio wanaoumiza wapalestina wa gaza, KULENI VYUMA HIVI NYIE PRO HAMAS
 
Attachments

  • Facebook 344308104720884(SD).mp4
    3.3 MB
  • Facebook 3546046535613483(SD).mp4
    3.5 MB
Nisijue msimamo wako wakati unajiweka wazi kuwa Una chuki Kwa sababu Baba yko aliitwa kafiri . Ulitaka wamuitaje labda kwakua alitoka kwenye uislam ni Hali yke alipinga uislam au unajua maana ya kafir ni tusi sio tusi Bali ni MTU ambaye anampnga mungu Yan Allah na kupinga dini yke ya kislam au MTU ambaye afati uislam Sawa we kafir
NAJUA VIZUR MAANA YA KAFIR NA WEWE HUJUI UNACHOONGEA.
 
shida sio israel, shida sio wapalestina, shida ni HAMAS..... wale wanaokuwa fooled na video za symphathy za mashambulizi ya ISRAEL , wajielekeze kwenye mzizi wa tatizo maana sikuzote madhara ya vita hayachagui wa kumuua, lakini je, ni nani asiyejali amani na maisha?
hamas ndio wanaoumiza wapalestina wa gaza, KULENI VYUMA HIVI NYIE PRO HAMAS
Shida ni kutawaliwa Kwa mabavu .
 
Unatoa michango kinafiki wewe ni kafiri na huwezi badilika unachuki. Mbona ukosoi hawa Israel Kwa wanacho kufanya au dini yko ndio inafundisha hvyo kutetea wayahudi kuona wap ni kizazi cha mungu wngne no kizazi cha shetani wanastahili kuangamizwa. Kafiri wewe
Samaleko sheikh 😂😂😂😀😀😁😁
 
Shida ni kutawaliwa Kwa mabavu .
HYO shida ni ya muda mrefu.. ila je mbinu waliyotumia hamas imewasaidiaje watu wa GAZA? zaidi ya kuwaletea maumivu na sasa wna hatari ya kupoteza hata hyo gaza.
au walitegemea Israel angefanyaje baada ya mashambulizi ya Hamas yasiyo na malengo?
 
NAJUA VIZUR MAANA YA KAFIR NA WEWE HUJUI UNACHOONGEA.
Basi nimeshukuru unajua maana yake. Tuendele lkn kuhusu Israel na Palestinian sote tunajua sababu ya ugomvi sio dini Bali occupation yawa Israel Kwa wapalistina. Sema kwakua wng wapalistina ni waislamu basi watu wanajumuisha na dini ya kislam kitu ambacho sio Sawa . Lkn kutoka na chuki ambazo zipo Kwa baadhi ya watu wakristo na waislam wanataka kujumuisha masala ya dini Kwa kukejeli dini za wngne unapofkia hapo ujue Una trigger wngne pia kuingia ktk mgogoro huo kwani unajua Unawaudhi watu na Imani zao . Kwahyo jadili vzuri bila kuweka mzaa na dini za watu hutaona MTU akikuona Una chuki japo kua unajijua mwenyewe.
 
kuna watu wanafikiri HAMAS wanawatetea palestina, ukweli ni kwamba Israel ilikuwa tayari kuishi na wapalestina tangu wwalipogawanywa na UN, shida ni kutoridhika kwa wapalestina na kuanzisha vita na israel, na historia inaonesha kila vita israel ilishinda na kujiongezea utawala, sasa kumbe vita ndio inayowaumiza zaidi wapalestina kuliko kuwasaidia. kwa sasa israel haiwezi kurudisha ardhi yoyote iliyokwisha kuitawala, kwahyo salama ya palestina na kuishi kwa kutulia kwenye ardhi waliyobakiwa nayo, ni vyema wakatumia akili kudeal na israel kuliko kulazimisha kutumia hasira, mihemko na nguvu ambazo hawana, matokeo yake ni vilio kwa nchi yao,
by the way HAMAS sio wapalestina wala sio waislam, maana uislam ni dini ya amani, HAMAS ni MAGAIDI, na gaidi hatakiwi kuishi, ni kirusi kwa kila kiumbe hai.
HUYU DOGO MZEE WAKE NDIO WAANZILISHI WA HAMAS NA HAPA ANATUPA UKWELI KUHUSU HAMAS, msishupaze shingo ndugu zangu waislam, hawa HAMAS mnavyowakumbatia ndio mnachochea maafa kwa wapalestina
 
Attachments

  • Facebook 3564898003784436(SD).mp4
    4.2 MB
HYO shida ni ya muda mrefu.. ila je mbinu waliyotumia hamas imewasaidiaje watu wa GAZA? zaidi ya kuwaletea maumivu na sasa wna hatari ya kupoteza hata hyo gaza.
au walitegemea Israel angefanyaje baada ya mashambulizi ya Hamas yasiyo na malengo?
Mzee maumivu haya epukiki hata kwetu WA Africa watu walipinga ukoloni sio kwakua walikua na nguvu ya kushndana na mkoloni Bali hakuna jinsi Kwahyo si Shangai Kwa hamas kufanya hvyo refer majimaji ,na vpingamizi vngne vyote walikua hawana nguvu ya kumshinda mkoloni lkn walipinga.
 
anampnga mungu Yan Allah na kupinga dini yke ya kislam
😂😂😂😁😁😀Allah ndio huyu aliyewaahidi mabikra 72 na mito ya ulevi sheikh?. Ndio huyo anawaambia mbake, muu wasio na hatia kisa kumpigania yeye?. Mungu gani anapiganiwa na binadamu?.
 
😂😂😂😁😁😀Allah ndio huyu aliyewaahidi mabikra 72 na mito ya ulevi sheikh?. Ndio huyo anawaambia mbake, muu wasio na hatia kisa kumpigania yeye?. Mungu gani anapiganiwa na binadamu?.
Sasa ww kafiri unadhani kuna kipi ninaweza kukueleza utaelewa wakati akili yko ushaanda kupinga .
 
kuna watu wanafikiri HAMAS wanawatetea palestina, ukweli ni kwamba Israel ilikuwa tayari kuishi na wapalestina tangu wwalipogawanywa na UN, shida ni kutoridhika kwa wapalestina na kuanzisha vita na israel, na historia inaonesha kila vita israel ilishinda na kujiongezea utawala, sasa kumbe vita ndio inayowaumiza zaidi wapalestina kuliko kuwasaidia. kwa sasa israel haiwezi kurudisha ardhi yoyote iliyokwisha kuitawala, kwahyo salama ya palestina na kuishi kwa kutulia kwenye ardhi waliyobakiwa nayo, ni vyema wakatumia akili kudeal na israel kuliko kulazimisha kutumia hasira, mihemko na nguvu ambazo hawana, matokeo yake ni vilio kwa nchi yao,
by the way HAMAS sio wapalestina wala sio waislam, maana uislam ni dini ya amani, HAMAS ni MAGAIDI, na gaidi hatakiwi kuishi, ni kirusi kwa kila kiumbe hai.
HUYU DOGO MZEE WAKE NDIO WAANZILISHI WA HAMAS NA HAPA ANATUPA UKWELI KUHUSU HAMAS, msishupaze shingo ndugu zangu waislam, hawa HAMAS mnavyowakumbatia ndio mnachochea maafa kwa wapalestina
Kwani waislamu wanatumia Kitabu Gani Kama Muongozo wao??
Aya Hizi za mayai ya kimbari deen Gani ni Muongozo wao?? [emoji101][emoji101]
[emoji116][emoji116]
سَتَجِدُونَ آخَرِينَ يُرِيدُونَ أَن يَأْمَنُوكُمْ وَيَأْمَنُوا قَوْمَهُمْ كُلَّ مَا رُدُّوا إِلَى الْفِتْنَةِ أُرْكِسُوا فِيهَا ۚ فَإِن لَّمْ يَعْتَزِلُوكُمْ وَيُلْقُوا إِلَيْكُمُ السَّلَمَ وَيَكُفُّوا أَيْدِيَهُمْ فَخُذُوهُمْ وَاقْتُلُوهُمْ حَيْثُ ثَقِفْتُمُوهُمْ ۚ وَأُولَـٰئِكُمْ جَعَلْنَا لَكُمْ عَلَيْهِمْ سُلْطَانًا مُّبِينًا

[ AN-NISAAI - 91 ]
Mtawakuta wengine wanataka wapate salama kwenu na salama kwa watu wao. Kila wakirudishwa kwenye fitna hudidimizwa humo. Ikiwa hawajitengi nanyi, na wakakuleteeni salama, na wakazuia mikono yao, basi wakamateni na wauweni popote mnapo wakuta. Na juu ya hao ndio tumekupeni hoja zilizo wazi.

إِذْ يُوحِي رَبُّكَ إِلَى الْمَلَائِكَةِ أَنِّي مَعَكُمْ فَثَبِّتُوا الَّذِينَ آمَنُوا ۚ سَأُلْقِي فِي قُلُوبِ الَّذِينَ كَفَرُوا الرُّعْبَ فَاضْرِبُوا فَوْقَ الْأَعْنَاقِ وَاضْرِبُوا مِنْهُمْ كُلَّ بَنَانٍ

[ AL - ANFAAL - 12 ]
Mola wako Mlezi alipo wafunulia Malaika: Hakika Mimi ni pamoja nanyi, basi watieni nguvu walio amini. Nitatia woga katika nyoyo za walio kufuru. Basi wapigeni juu ya shingo na wapigeni kwenye kila ncha za vidole.

قَاتِلُوا الَّذِينَ لَا يُؤْمِنُونَ بِاللَّهِ وَلَا بِالْيَوْمِ الْآخِرِ وَلَا يُحَرِّمُونَ مَا حَرَّمَ اللَّهُ وَرَسُولُهُ وَلَا يَدِينُونَ دِينَ الْحَقِّ مِنَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ حَتَّىٰ يُعْطُوا الْجِزْيَةَ عَن يَدٍ وَهُمْ صَاغِرُونَ

[ AT-TAWBA - 29 ]
Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.
 
More than 700 Palestinian children reportedly killed in Gaza, UNICEF says​

From CNN's Lauren Kent

Black smoke rises after an Israeli airstrike in Gaza on Saturday.
Black smoke rises after an Israeli airstrike in Gaza on Saturday. Ali Jadallah/Anadolu Agency/Getty Images

More than 700 children have been killed in Gaza and another 2,450 have been injured since last Saturday, according to the United Nations Children’s Fund, citing local sources.
"According to the latest reports by local health authorities and media, at least 2,215 Palestinians were reportedly killed, including over 700 children, and more than 8,714 people wounded, including more than 2,450 children," UNICEF spokeswoman Sara Al Hattab told CNN on Saturday.
The Saturday figures are an update to UNICEF's Friday statement, which said “hundreds & hundreds of children have been killed and injured,” noting the number rises every hour.
"The killing of children must stop," UNICEF spokesperson James Elder said. "The images and stories are clear: children with horrendous burns, mortar wounds, and lost limbs. And hospitals are utterly overwhelmed to treat them."
Elder joined calls from the international community saying, “Israeli children being held hostage in Gaza must be safely and immediately reunited with their families and loved ones.”
Previous reporting from CNN's James Frater

===========================

Huu unyama na ugaidi unaofanyika kwa mwavuli wa 'haki ya kujitetea' lazima ulaaniwe na kila mpenda amani.

Hawa wanaojiita 'civilized world' na wenye democratic institutions huku wanafumbia macho haya ni wanafiki tu na mawakala wa kuzimu wanaotaka kutoa damu za Wapalestina kama kafara.

Ufunuo wa yohana 3:9 " tazama, nakupa walio wa sinagogi la shetani wasemao kwamba ni Wayahudi nao sio, bali wasema uongo. Tazama, nitawafanya waje kusujudu mbele ya miguu yako na kujua ya kuwa nimekupenda".

Hao mawakala wa Ibilisi wanaojiita Wayahudi kumbe ni 'Wayahudi feki' na wanaua raia wema wa Palestine adhabu yao kubwa ipo.

Palestine haitaangamizwa kamwe wala kufutwa na yeyote.

Mungu ibariki Israel..🙏🙏🙏🙏

Mungu ibariki Palestine...🙏🙏🙏
 
Duniani kosa vyote lakini usikose akili, ugomvi wa miaka yote Kati ya Palestina na Israel ni ardhi, kwamba Palestina iliporwa ardhi yake na Israel na HAMAS ndo wanaojiamini kwamba Wana uwezo wa kupigana na Israel na kuishinda.

Pamoja na yote, Israel iliendelea kutambua maeneo kama Gaza kuwa ni mali ya Wapalestina.

Sasa hivi Gaza ndo kwa heri tena, inaenda kuchukuliwa yote na kuwa mali ya Israel baada ya HAMAS kufanya mauaji ya kushtukiza ya waisrael zaidi ya 900.

Taarifa za uhakika ni kwamba wanajeshi laki tatu,wengi wao wakiwa makomandoo Hatari kabisa,wanaingia Gaza ndani ya masaa sita yajayo kuua kila kiumbe watakachokikuta hapo.

Na kisha watajenga kambi za kijeshi na kuigeuza Gaza kuwa mali ya Israel milele yote,kama walivyofanya kwa Syria kwa kuipora milima ya Golan Baada ya vita vya siku sita.

Hao wapalestina zaidi ya milioni moja walioamriwa kuondoka Gaza,kamwe hawatakaa warudi tena.

HAMAS imewaponza ndugu zao,Iran ni mbwa anayebweka tu lakini hawezi kung'ata,huu ndo ulikuwa wakati mzuri sana kwa Iran kuingia vitani na Israel ili aonyeshe uanaume wake.

Misri na nchi zingine za kiarabu hawawezi hata kuota tu kupigana na Israel,wanaujua mziki wake,wa mwaka 1967.

Hatimaye Gaza inaenda kuwekwa kwenye Ramani ya Israel

"Tutakachofanya hakitasahaulika kwa vizazi na vizazi"

Benjamin Netanyau, alimaanisha kuwa Gaza ndo imeenda hivyo.
Acha na naye,msikilize Johathan Conricus
 
Basi nimeshukuru unajua maana yake. Tuendele lkn kuhusu Israel na Palestinian sote tunajua sababu ya ugomvi sio dini Bali occupation yawa Israel Kwa wapalistina. Sema kwakua wng wapalistina ni waislamu basi watu wanajumuisha na dini ya kislam kitu ambacho sio Sawa . Lkn kutoka na chuki ambazo zipo Kwa baadhi ya watu wakristo na waislam wanataka kujumuisha masala ya dini Kwa kukejeli dini za wngne unapofkia hapo ujue Una trigger wngne pia kuingia ktk mgogoro huo kwani unajua Unawaudhi watu na Imani zao . Kwahyo jadili vzuri bila kuweka mzaa na dini za watu hutaona MTU akikuona Una chuki japo kua unajijua mwenyewe.
wapi nimeweka mzaha na dini ya mtu?

Alaf nyie watu hamjui maana ya chuki.

Laiti kama ww na mwenzako Hammaz mngekuweko Quora kweny majukwaa ya dini, bac kila mchangiaji mngesema ana Chuki na uislamu.

Criticism sio chuki, ngoja nitoe mfano mmoja, labda let's say mm ni msabato alaf nikasikia mtu anasema eti Ellen G White ni free Mason na ni muongo tuu hana lolote au akasema wasabato wote wanaabudu siku na sio mungu, alaf mm nianze kusema jamaa ana chukia wasabato, ni kweli anawachukia wasabato?

Mfano mwingine, let's say mm ni mkatoliki, alaf nikasikia mtu anasema wakatoliki wana abudu masanamu kwa sababu kweny makanisa yao kuna sanamu ya yesu au wakatoliki wanamfanya "Pope" kama mungu mtu, alaf mm nianze kusema jamaa anawachukia wakatoliki, ni kweli anawachukia wakatoliki??

Jifunzeni kutofautisha kati ya chuki na Criticism/opinion, tatizo lenu hamjuagi kutofautisha hivo vitu viwili?

Alaf na habari za kugeuza vita iwe ya kidini, nyie ndo kwanza narudia tena nyie ndo kwanza kuifanya hii vita ya kidini, we chunguza wenzako wanachoongea mtandaoni.

Tatizo mpo kweny "Comfort zone", Tokeni kweny "Comfort zone" kuna mambo mengi sana ya kujifunza??
 
Hao magaidi walitoa taarifa walipo vamia Israel?
Ndo maana wanapaswa kujitofautisha na magaidi, kuna sheria za vita zinapaswa zifuatwe na kitu muhimu zaidi ni uhai wa watu (raia), kuna watoto pale halafu sio wote waliopo Gaza wanastahili hii adhabu kuna wengine wanalazimika tu kuwepo pale sababu hawana namna.
 
More than 700 Palestinian children reportedly killed in Gaza, UNICEF says​

From CNN's Lauren Kent

Black smoke rises after an Israeli airstrike in Gaza on Saturday.
Black smoke rises after an Israeli airstrike in Gaza on Saturday. Ali Jadallah/Anadolu Agency/Getty Images

More than 700 children have been killed in Gaza and another 2,450 have been injured since last Saturday, according to the United Nations Children’s Fund, citing local sources.

The Saturday figures are an update to UNICEF's Friday statement, which said “hundreds & hundreds of children have been killed and injured,” noting the number rises every hour.

Elder joined calls from the international community saying, “Israeli children being held hostage in Gaza must be safely and immediately reunited with their families and loved ones.”
Previous reporting from CNN's James Frater

===========================

Huu unyama na ugaidi unaofanyika kwa mwavuli wa 'haki ya kujitetea' lazima ulaaniwe na kila mpenda amani.

Hawa wanaojiita 'civilized world' na wenye democratic institutions huku wanafumbia macho haya ni wanafiki tu na mawakala wa kuzimu wanaotaka kutoa damu za Wapalestina kama kafara.

Ufunuo wa yohana 3:9 " tazama, nakupa walio wa sinagogi la shetani wasemao kwamba ni Wayahudi nao sio, bali wasema uongo. Tazama, nitawafanya waje kusujudu mbele ya miguu yako na kujua ya kuwa nimekupenda".

Hao mawakala wa Ibilisi wanaojiita Wayahudi kumbe ni 'Wayahudi feki' na wanaua raia wema wa Palestine adhabu yao kubwa ipo.

Palestine haitaangamizwa kamwe wala kufutwa na yeyote.

Mungu ibariki Israel..🙏🙏🙏🙏

Mungu ibariki Palestine...🙏🙏🙏
Nasimama na were mkuu..kwa mbali na taratiibu naanza kuuona unafiki wa West na hao wanaojiita civilized states☹️
 
Kwahiyo tunakubaliana Palestine ananyanyaswa na tunakubaliana anaonewa, je, njia anazotumia mkandamizi wake kumkandamiza Palestine unazijua?
Palestina na Israeli wote wanatesana, mkuu. Hakuna amani ya kweli pale Mashariki ya Kati.

Imagine unaenda kulala jioni, asubuhi yake unaambiwa watu wote wa familia yako wameuawa -- na hii ni hofu ya pande zote mbili.

Suluhu hapa pekee ni kukaa meza moja ya mazungumzo na kukabiliana na changamoto na kuzitatua once and for all.

Mwaka 1993 ulikuwa wa kihistoria kwa Palestina na Israeli ambapo kwa mara ya kwanza viongozi mahasimu hawa, Yitzhak Rabin (PM wa Israeli) na PLO chairman Yasser Arafat, walipeana mikono mbele ya umma wa dunia na rais wa Marekani Bill Clinton wakionesha nia yao ya dhati kufufua njia ya amani ya kutatua mgogoro husika baada ya kipindi kirefu cha kuviziana na kutishiana kuuana.

Unfortunately, Rabin akauawa si muda mrefu kwa sababu ya uchochezi wa Waisraeli waliomwona kana kwamba ni msaliti wa harakati za Uzayuni.

Unaweza kuona mwenyewe jinsi suala la Israeli na Palestina lilivyo tata na zito.
 
Back
Top Bottom