LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Kinacho waponza wa Parastine ni hypocrcy ya waarabu na kukosa umoja, nchi ya misiri ina resources kuliko israel ina uwexo wakusimamia vita dhidi ya Israel kwa mda mrefu, kitu ambacho kitapunguza nguvu ya hiyo nchi ya Israel.
Misri imepigana mara mbili. mwaka 1967 na 1973 na kushindwa. Huwezi kuwaita wanafiki.
 
Hivi wanaweza siku moja wakakaa na kuunda nchi moja, kila mmoja akiwa na haki sawa au kila mmoja lengo kuu ni kumfurusha mwenzake?
 
Misri imepigana mara mbili. mwaka 1967 na 1973 na kushindwa. Huwezi kuwaita wanafiki.
Misiri ya mwaka 1967 na 1973 sio misiri ya 2023 tena ilijaribu tu kdgo baada ya kusalituwa na israel kuiwahi na kuharibu ndege zake za kivita zote.
 
Huwa mnakimbilia kwny matumizi ya Nuclear kwlikwli...kwni Israel na Russia nani ana ma nuclear mengi....mbona Russia mpk leo hajatumia hizo Nuclear pamoja na kusumbuliwa na Ukraine mda mrefu Sasa....it's simple...unapotumia Nuclear maana yake umetangaza ugomvi na Dunia sio ugomvi tena na yule unayepigana naye....muwe mnasoma vitu sio mnaongeaongea tu
Mwaka 1973 Msiri ilijipanga hasa, kidogo Israeli ishindwe. Leo hii Misri hawezi kuigusa Israeli yenye Nuclear.
 
Unafikiri mabomu ya nyuklia ni mapambo!?
 
Unafikiri mabomu ya nyuklia ni mapambo!?
Yangekuwa sio mapambo kuna vita ngapi zimetokea na hayajatumika...mbona mabomu mengine yametumika...ndo tunarudi palepale kuna mstari mwekundu kuuvuka ni hatari sana...na siku ukivukwa Dunia inaweza isiwe hii tunayoiona Sasa....ndo maana mtu mi akianza kuzungumzia Nuclear namuona anapoteza mda tu
 
Inabidi urudi kwenye makabrasha upitie haya mambo. Kitendo chako tu cha kuuliza kwa nini Urusi hatumii mabomu ya Nyuklia Ukraine nikaona kuwa huelewi kinachoongelewa.
 
Inakuaje magaidi waliweza kuingia ndani ya mipaka ya nchi ya Israel na kujiachia kiasi kile kwa kufanya mauaji holela.

Ipo video inasambaa ikionesha wale wahuni wakipita nyumba moja kwa nyingine na kila walichokutana nacho basi ni risasi tu, hakika ni aibu sana kwa Taifa la Israel kwa uzembe walioufanya.

Vp kama wangefanikiwa kuingia na silaha nzito za maangamizi si Taifa lingesambaratika?

Wasirudie tena kufanya uzembe wa namna hiyo wamezungukwa na waarabu ambao wanajua hawawapendi umakini uongezeke zaidi.
 
Inabidi urudi kwenye makabrasha upitie haya mambo. Kitendo chako tu cha kuuliza kwa nini Urusi hatumii mabomu ya Nyuklia Ukraine nikaona kuwa huelewi kinachoongelewa.
Leta hayo makabrasha nipitie mkuu....maana inaonekana ww umeyasoma na kuyaelewa kwlikwli na mm niyasome nipate elimu labda hlafu nikurudie tuje tuongee zaidi
 
Leta hayo makabrasha nipitie mkuu....maana inaonekana ww umeyasoma na kuyaelewa kwlikwli na mm niyasome nipate elimu labda hlafu nikurudie tuje tuongee zaidi
Silaha za nyuklia hazitumiki kiholela. Lakini nchi yoyote yenye silaha za nyuklia haiwezi kusita kuzitumia pale inapotishiwa uwepo wake. Ndiyo maana nikakuambia yale siyo mapambo. Misri ikiivamia Israeli na Israeli ikiona uwepo wake upo mashakani lazima itatumia mabomu ya Nyuklia. Lakini Israeli haiwezi kutumia silaha za Nyuklia kwa Hamas. Pia Kuna strategic na tactical nuclear weapons. Hizo tactical zinatumika kama convetional weapons ila moto wake ndiyo balaa. startegic ndiyo hizo za kuangamiza miji mizima mizima. Kwa hiyo Misri haiwezi kushambulia Israeli yenye Nuclear kwa sababu hizo. Maana hata kama israeli haitatumia strategic nuclear wepaons, na kutumia tactical, moto wake ni mkubwa mno.

Sababu hizi hizo ndizo zinafanya Urusi isitumie Nuclear dhidi ya Ukraine, Ukraine haitishii uwepo wake. Hizi ni silaha zinazotumika nchi kiona uwepo wake upo hatarini. Lakini zinatumika, siyo mapambo.
 
waliondoka wakiwa weusi ?.na isibakie kizaz hata komoja dunian , je walinufaikaje kuuliwa na Hitler kwa kuvaa uyaud wa mtu mweusi , AKILI KUMKICHWA
 
Muda wa Israel kulaumiwa umefika. UN, Human Rights Watch, Save The Children na mashirika kibao ya haki za binadamu muda wao huu wa kuandika nyaraka nyingi.

Collateral damage itakuwa kubwa soon kuna watu watalalamika Israel ikijibu mashambulizi.
Uliongea na imekuwa



Hongera sana wew ni hazina

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mpaka hapa kati ya Palestine na Israel nani ana damage kubwa ?


Gaza yote imekuwa caged na imebomolewa vya kutosha

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…