LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Image reportedly showing Hostages which have been taken by Palestinian Fighters in Southern Israel
20231019_112818.jpg
 
Hii ni mbaya sana bora wangetulia vita si vya kukurupuka mtaisha vibaya mno ,raia bora waanze kukimbia kabisa wale wajomba wakianza kurusha yao hawajui huruma ina rangi gani ...
Mkuu ni ukweli tunajua kuwa palestina anaonewa lakin hii haifanyi sote tuunge mkono upumbavu wa Hamas unaoenda kusababisha vifo vya watu wengi wa palestina wasio na hatia.
 
Kihistoria Mashambulizi dhidi ya Israel mwezi wa October huwa yanaacha simanzi kubwa kwa Wahayudi nakumbuka October war Israel against Egypt and Syria ilikuwa moto sana matokeo yake Misri akarejesha eneo lake la Sinai peninsula liliokaliwa kimabavu na Israel.
 
JUST IN: Hamas commander Muhammed Deif has declared war on Israel and is now calling on other Islamic groups in Lebanon, Yemen, Iraq & Syria to unite in attacking Israel.

This is what happens when @JoeBiden emboldens Iran.

Jews are currently being slaughtered in Israel. Awful.
 
Mkuu, hio UN haikuwekwa hapo kwa bahati mbaya hata kidogo, maana walioiweka ndio hao hao waliopika vita vya dunia vya 1 na 2, ili kufanikisha malengo yao maalumu mfano ni kuanzishwa kwa taifa feki la Israeli ya leo yenye wayahudi wa kizungu. Marehemu raisi wa misri Anwar sadat hakuwa mpumbavu kuwambia hao wayahudi feki wa kizungu kwamba mliondoka mkiwa weusi Leo mmerudi wazungu.

Lakin cha muhimu ni kumwomba MUNGU wahishi kwa amani ijapokua ni suala gumu kutokea.
 
Back
Top Bottom