Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Kuna jambo linapikwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi? nakumbuka Urusi ndiye alikuwa mshirika wa Egypt against Israeli ,alisumply siraha za kutosha wakati anajua zitaenda kutumia dhidi ya MuisraeliBila support ya Urusi, Israel inapata majeraha sana
aliosoma intelejensia wanaelewa hili
Israel ilikuwa inaenda kufanya makubaliano na Saudi Arabia. Kuna mkono wa mtu kuyasimamisha makubaliano hayo na inajulikana ni nani hawataki Israel na Saudi waongee lugha moja.Kwa jinsi shirika la kijasusi la Israeli la mossad lilivyo na uwezo mkubwa Basi hii inanifanya niamini huenda hili jambo walikua wanalijua litatokea hivyo wameacha kwa makusudi kabisa litokee ili kuonyesha dunia uchokozi wa hamas na kupata sapoti kubwa pale watakapoanza kujibu mapigo, na hili linaenda sambamba kabisa na suala la Saudi Arabia na Israeli kutaka kuestablish diplomatic relationship. Hivyo Kuna mchezo Hamas na palestina wanachezewa bila kujua.
Alaf wameamua kuwashambulia leo sabato kwa sababu wanajua Israeli nzima wamepumzika, ngoja jua lizame sabato iishe, wataona kila rangi.Jeshi la Ulinzi la Israel linasema kuwa linawakusanya wanajeshi na kuwaita askari wa akiba huku likitangaza "tahadhari ya hali ya vita."
Hamas inadai kurusha makombora 5,000 dhidi ya Israel katika kile ilichokiita 'Al-Aqsa Storm.'
Idadi ya wapiganaji kutoka Gaza pia wameingia katika eneo la Israeli, Jeshi la Ulinzi la Israeli (IDF) lilisema, likiwaonya Waisraeli wanaoishi karibu na Gaza kusalia majumbani mwao.
Mwanamke mmoja amefariki na wengine watatu kujeruhiwa katika shambulio la makombora, shirika la uokoaji la Israel Magen David Adom (MDA) lilisema.
View attachment 2774147
Lakini at least wanafurukuta,siyo kama sisi hapa Tanzania kudai tume huru tu ya uchaguzi kwa maandamano bila hata bunduki tunashindwa.Hawa Hamas wanauwezo mdogo sana wa kupambana kijeshi na wayahudi feki wa kizungu, cjui kwanin hawataki kuishi kwa amani, Kama hii habari niya kweli basi Hamas niwapumbavu tena waoga sana kwa kuua raia wasio na hatia na kushindwa kupambana na wanajeshi wa kiyahudi. Hapa naona ile hali ya mwaka 2014 inaweza ikajirudia au kuwa mbaya zaidi maana Benjamin Netanyau huwa hacheki na kima. MUNGU awasaidie kwakweli.
Waache wapambane tu, hakuna mafanikio yasio lipwa kwa damu hata hao wayahudi kufika hapo wamepitia kwenye madhira makubwa kwa zaidi ya mamia ya miaka lakini hilo hali kuwafanya wakate tamaa kupambanaMuda wa Israel kulaumiwa umefika. UN, Human Rights Watch, Save The Children na mashirika kibao ya haki za binadamu muda wao huu wa kuandika nyaraka nyingi.
Collateral damage itakuwa kubwa soon kuna watu watalalamika Israel ikijibu mashambulizi
Waache wapambane maana wasinge kuwa wana pambana wenda hata hichi kidogo walicho nacho wange kuwa wamenyanganywa.Hii ni mbaya sana bora wangetulia vita si vya kukurupuka mtaisha vibaya mno ,raia bora waanze kukimbia kabisa wale wajomba wakianza kurusha yao hawajui huruma ina rangi gani ...
Tuwaombee heri hayo yasiwafike,nadhani haijathibitika bado vifo kwa hiyo ni vizuri tuombe utulivu uwepo.Majibu ya Israel huwa ni ya kikatili mark my words huu ndo mwisho wa hamas na mwanzo wa maisha mabaya sana kwa wapalestina