LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Watafyatua maroketi kisha wajifiche kwenye shule, zikishambuliwa watatoka walalamike Israel inashambulia shule
Kama Ukraine ilivyo kuwa inaficha silaha kwenye shule na supermarket alafu Urusi ikishambulia ww unakuja kubwabwaja humu kuwa Urusi haijui kupigana zaidi ya kuharibu miji.
Ww jamaa una kiwango kukubwa cha unafiki.
 
Kwa unyama huo Mungu hapendi wanadamu tuishi kwa mfumo huo.

Anyway Mola aepushie mbali machafuko hayo maana damu inayoenda kumwagika ni nyingi mno
 
Hao Harmas ndo wapelestina ?Hii historia ya Palestine na Israel inasikitisha.Si wanashare nchi moja.Waishi kwa amani jamani.
Hamas ni walebanon na hapo lebanon takwimu uislam na ukristo ni 50-50,ukanda ule hamna vita ya kidini ni vita kati ya waarabu na wayahudi maana hata wapalestina 30% ni christian na ndio wanaendesha makanisa ya jerusalem wanayohiji wakristo wa dunia nzima
 
Kinachosikitisha ni kuwa vita haina macho na kitakachojiri gazi hakitakua kizuri hata kidogo. Wanachi wa gaza wenyewe hawaelewi hatma ya yajayo

Screenshot_20231007_110937_Chrome.jpg
 
Leo jumamosi asubuhi imeripotiwa kuwa Hamas wamerusha maroketi ya masafa marefu takriban 5000 ndani ya Central Jerusalem,maroketi 2112 tu ndiyo yaliyoweza kudunguliwa na mfumo wa anga wa Iron dome makombora 2888 yaliyosalia yamepenya na kuua watu takriban watano na kujeruhi takriban mamia ya waisraeli.
Eneo lililoathirika zaidi ni Ashkelon la Central Jerusalem.
Pia yasemekana kuna mateka takriban 35 ikiwemo wanajeshi walinda mpaka wa Israel na Gaza wameshikiliwa mateka na Hamas.
UIMARA WA IRON DOME UKO WAPI???
 
Mimi ni mkristo lakini naona Israel ni taifa la kishetani,taifa la kigaidi kwa sababu ya kuwatesa wapalestina.wapalestina wameamua kukataa unyanyasaji wa waisraeli.mtu mwenye akili timamu hawezi kusapoti Israel.Alafu Israel bila msaada wa NATO ni wakavu tu.they are overrated.
 
View: https://youtu.be/ob0tpMmT6fs?si=4zbw8IXZBRPj1HXZ

Umeandika Maroketi 2112 yamedunguliwa bado unauliza uimara wa iron dome?
 
Hao Harmas ndo wapelestina ?Hii historia ya Palestine na Israel inasikitisha.Si wanashare nchi moja.Waishi kwa amani jamani.
Amani ilitoweka Esau na Yakobo walivyoanza kuvutana nani atangulie wakati wanazaliwa. 😆😆😆
 
Siku mbili zilizopita kilitokea na shambulio la Orthodox Jews kutemea mate wakristo katika lango la kabisa huko East Jerusalem.
Cha kujiuliza wakristo huwa mnajinasibisha na Hawa wayahudi mkisema ndugu zenu,je ndugu yako wa Imani anaweza temea mate lango la kuingia nyumba yako ya Ibada??!!
Hapo hapo ikumbukwe muandishi wa habari wa aljazeera Sherin Abu Akleh ni mkatoliki na alipigwa risasi mwaka jana kama sikosei na IDF.

View: https://youtu.be/qhWoKZl_CEA?si=gog-TETIuNIFV25_

Niliwahi kusisitiza humu kuwa waisraeli wao wanajijali wenyewe na hawautambui ukristo wala Yesu Kristo na jambo linalotokea katika nyanda yao sio jambo la kidini kati ya uislam na ukristo bali ni udhulumati kukandamiza wapalestina waislamu na wakristo kiujumla.
 
Mimi ni mkristo lakini naona Israel ni taifa la kishetani,taifa la kigaidi kwa sababu ya kuwatesa wapalestina.wapalestina wameamua kukataa unyanyasaji wa waisraeli.mtu mwenye akili timamu hawezi kusapoti Israel.Alafu Israel bila msaada wa NATO ni wakavu tu.they are overrated.
Labda huijui Historia ya Israel na Ardhi hiyo.

Kabla ya vita ya pili ya Dunia, Hakukuwepi na wadudu wanaoitwa wapalestina.

Vita ya Pili ya Dunia, ambayo Hitler na wapuuzi wa Catholics Kwa lengo la kuwaondoa Waisrael, walifanikiwa kuwaondoa Waisrael wote katika Ardhi Yao , wakakimbikia mataifa mbalimbali.

Kuondoka kwao pale kwenye Ardhi Yao, kukatoa nafasi ya Jesuits wa Rumi, kupeleka wahamiaji kwenye Ardhi hiyo...wahamiaji hao ndo Leo wanaitwa wapalestina.

Baada ya Vita ya Pili, Waisrael wakajikisanya ili waanze kurudi kwenye Mother land Yao.

Ndipo walipokuta Kuna wahamiaji , na Vita ikaanzia hapo.

Mpaka Leo !!!!
 
Nimewahi kucheki documentary ya yule dada Leila Khalid aliyetrend kwa kushirikiana na magaida kuiteka Ndege ya abiria ,sasa hivi ni mwanasiasa nchi moja ulaya alisema kuwa maisha aliyopitia tokea utotoni yalikuwa tabu ,manyanyaso na ukatili mwingi ameshuhudia mpk kupelekea kuamua ajitoe muhanga kwa tukio lile.
 
Subiri wayahudi wa Tandahimba waje kukushambulia....

Wengi wao wanajua wayahudi ni wakristo...au wanamtambua Yesu ..
Kumbe wayahudi hata huyo Yesu wanamtukana ..wanamuita tapeli ...
 
Mimi ni mkristo lakini naona Israel ni taifa la kishetani,taifa la kigaidi kwa sababu ya kuwatesa wapalestina.wapalestina wameamua kukataa unyanyasaji wa waisraeli.mtu mwenye akili timamu hawezi kusapoti Israel.Alafu Israel bila msaada wa NATO ni wakavu tu.they are overrated.
Kaka nakandamiza hapo hapo hoja yako.
Juzi wayahudi wametema mate katika kabisa east Jerusalem halafu kuna watu watakuja kuwatetea waisraeli hapa
 
Back
Top Bottom