Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Revenge haiwastuwa Wapalestina, wamekuwa mashakani nchini mwao toka 1948. Hakuna siku inayopita ambayo hawajauliwa au kuumizwa.Mda wa revenge ukifika tutahitaji maoni yako tena hapa
BREAKING: Israel's PM Netanyahu says 'the enemy will pay a price like they have never known before'Nawaonea huruma raia wa Gaza maana kinachofuata.....
Biti hiziBREAKING: Israel's PM Netanyahu says 'the enemy will pay a price like they have never known before'
Tueleze ni uharibifu gani umeletwa na hayo makombora. Yameua wangapi, yameharibu nini na nini, kati ya hayo elfu tano ni mangapi yameleta madhara. Makombora 5,000 ni mengi sana kutaja simply eti "yameleta uharibifu" bila kutaja ni upi.Naomba kuelimishwa kwa nini MAKOMBORA yaliyorushwa na Hamas idadi 5,000 kwa Dk 20, yameleta uharibifu Israel?
Sababu Media zinasifia KINGA YA ANGA YA ISRAEL.
Utawasikia "pray for Palestinians"Mda wa revenge ukifika tutahitaji maoni yako tena hapa
Maroketi 2,888 yote hayo yameua watu watano tu. Hayo ni maroketi au mawe?maroketi 2112 tu ndiyo yaliyoweza kudunguliwa na mfumo wa anga wa Iron dome makombora 2888 yaliyosalia yamepenya na kuua watu takriban watano na kujeruhi takriban mamia ya waisraeli.
Haitakuwa mara ya kwanza wao kuuwawa kwa wingi na nyumba zao kubomolewa na kuchukuliwa kwa maeneo yaoNaowaonea huruma ni raia wa kipalestina jinsi wanavyoenda kuuawa kwa makombora ya Israeli! Hamas wanajua kuanzisha vita lakini wanaishia kushindwa vita hali inayowaacha Wapalestina wengi wakiwa katika mateso makubwa!
Wapalestina wakubali hali tu.
Huo ni kwa mujibu wa tafiti zao pia vifo vya watu watano ni kwa ripoti za muda ule maana lisaa nyuma waliripoti kifo cha mwanamke mmoja.Maroketi 2,888 yote hayo yameua watu watano tu. Hayo ni maroketi au mawe?
Hata ukiwapa vijana mawe 2,888 si wanaua watu wengi kuliko waliouwawa na hayo maroketi.h
Home made roketiMaroketi 2,888 yote hayo yameua watu watano tu. Hayo ni maroketi au mawe?
Hata ukiwapa vijana mawe 2,888 si wanaua watu wengi kuliko waliouwawa na hayo maroketi.
Imeshangaza wengi hata wanahabari wa Israel waliohojiwa wanasema maroketi haya yanaonekana kuwa na nguvu tofauti ya miaka 2021 kwenda chibi walotumia Hamas.Hii video imechukuliwa utamu unadhani movie ,hawa jamaa Hamasi wanapata wapi masilaha ya viwango namna hiyo ?
Uko nyuma sana update software yako kuanzia medulla, cerebellum etc kwani huwajui hao wenye mitazamo hyo ugomvi wowote wanahis kama wanamtetea Mungu wao?Lakini mbona sasa wanamtaja Mungu?
Ugomvi wa vita na Mungu wapi na wapi?
Usually inasemwa vita haina macho hata kwenye revenge hatatafutwa tu aliyeshika bunduki yeyote atakaekaa vibaya ataenda na maji.Huu ni uhalifu wa kivita
Hauwezi ukawashamhulia raia ambao ni un armed.
Lakini tusisahau kwamba hata bingwa kuna wakati hufika nae akawa mshindani.Kwa jinsi shirika la kijasusi la Israeli la mossad lilivyo na uwezo mkubwa Basi hii inanifanya niamini huenda hili jambo walikua wanalijua litatokea hivyo wameacha kwa makusudi kabisa litokee ili kuonyesha dunia uchokozi wa hamas na kupata sapoti kubwa pale watakapoanza kujibu mapigo, na hili linaenda sambamba kabisa na suala la Saudi Arabia na Israeli kutaka kuestablish diplomatic relationship. Hivyo Kuna mchezo Hamas na palestina wanachezewa bila kujua.