Mwanasiasa mtata
JF-Expert Member
- Oct 25, 2022
- 1,520
- 3,781
Majibu yatakua ni makali sana
View: https://twitter.com/spectatorindex/status/1710526113729159192?t=avwOtpKBsUSUzBzkhQsL4w&s=19
Wapelestina wameshakandamizwa sana na kwamuda mrefu na sasa imeshafikia hatua ya kutokujali kitu chochote maana kama kupoteza wameshapoteza sana