Duh hawa jamaa watakuja waishi kwa amani kweli kama mataifa mawili jirani?
Hawawezi kuishi na amani mpaka kizazi kisichojua chochote kuhusu Quran na biblia agano la kale (Torati) kitakapotokea.
Quran imeandika kwamba wayahudi ni maadui wa uislam hivyo wauwawe. Pia wamefundishwa ardhi ya israel ni ardhi yao halali Wapalestina ambayo Mtume Muhammad alikuwa anawatembelea anaenda kusali. Na hata roho yake Mtume Muhammad ilipelekwa mbinguni kutokea mji wa Jerusalem
Hivyo wa israel ni wavamizi wao