LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
If Iran mines the Strait of Hormuz the global energy crisis would become critical. The Biden administration has used the majority of US oil reserves to stabilize domestic oil prices. Iran can increase the pain for the US Govt significantly.
 
India PM Narendra Modi stands with Israel 🇮🇱

Deeply shocked by the news of terrorist attacks in Israel. Our thoughts and prayers are with the innocent victims and their families. We stand in solidarity with Israel at this difficult hour.
 
Israel huwa inaanzwa na wave moja au mbili za ushindi wa adui. Ndio zikiisha hizo lawama zinafuata na kuomba mazungumzo
Irone dome ilizidiwa mpaka maroketi mengi yamepenya ?
 

Mimi ninachotaka ni Israel wanyoshwe nyooshwe kwanza ili akili ziwakae sawa. Walizidi kuwa nyoronyoro hadi wakawa wanadekeza ujinga mwingi wakati vyombo vya usalama vikitoa tahadhali kuhusu haya mambo kuja kutokea.
Nafikiri baada ya hapa akili zitawarudia na kuishi vile inavyotakiwa. Walijisahau hadi na wao wakaanza kushabikia ushoga wakiona tayari wana kila kitu na uwezo juu ya kila kitu.
 
Ww jamaa buana hivi unadhani vita ni rahisi kiasi hicho?
Ebu uliza watu kilicho ikuta Israel mwaka 2014 baada ya kuivamia gaza kwa lengo la kuiangamiza Hamas.
Kwamba Israel alishindwa sio?
 
Ningekuwa netanyahu Gaza ingekuwa hiroshimana na Nagasaki mpya hapo ni kushusha mabomu tu
 
Hawa Hamas wanauwezo mdogo sana wa kupambana kijeshi na wayahudi feki wa kizungu, cjui kwanin hawataki kuishi kwa amani, Kama hii habari niya kweli basi Hamas niwapumbavu tena waoga sana kwa kuua raia wasio na hatia na kushindwa kupambana na wanajeshi wa kiyahudi. Hapa naona ile hali ya mwaka 2014 inaweza ikajirudia au kuwa mbaya zaidi maana Benjamin Netanyau huwa hacheki na kima. MUNGU awasaidie kwakweli.
Kwani Israel anaua wanajeshi tu?
 
Mimi ninachotaka ni Israel wanyoshwe nyooshwe kwanza ili akili ziwakae sawa. Walizidi kuwa nyoronyoro hadi wakawa wanadekeza ujinga mwingi wakati vyombo vya usalama vikitoa tahadhali kuhusu haya mambo kuja kutokea.
Nafikiri baada ya hapa akili zitawarudia na kuishi vile inavyotakiwa. Walijisahau hadi na wao wakaanza kushabikia ushoga wakiona tayari wana kila kitu na uwezo juu ya kila kitu.
Miye natamani waote waarabu na WA Israeli wajifute kwenye USO wa Dunia Ili tupumzike makelele yao
 
Leo haikua siku nzuri kwa Taifa la Israel baada ya kundi la kigaidi la Hamas kutoka Palestina kurusha makombora ya kutosha Israel, kuua na kuteka raia wasio na hatia wakiwemo watoto, vijana, wanawake, wazee na wanajeshi.

Hamas wamefanikiwa kuingia Israel kupitia mpaka wa Gaza na kuleta uharibu mkubwa Israel tetesi zinasema pia wamefanikiwa kuwateka viongozi wa juu kabisa wa Jeshi la Israel.

Ukiangalia matukio yalivyokua yamepangwa kuanzia mwanzo mpaka sasa, silaha walizokua nazo Hamas Drones za Shahed kutoka Iran,makombora na Manpads ya kudungulia ndege pasipo na shaka kuna mataifa makubwa nyuma na huu
mpango Hamas ni kikundi cha wanamgambo magaidi jiulize wanapata wapi fedha za kununua silaha jibu ni
lepesi wanazipata kutoka Iran kupitia Syria.

Baada ya counter offensive ya leo baadhi ya nchi Iran na Russia wao wamejitokeza waziwazi na kuunga mkono vitendo vya kigaidi vya Hamas.

Waziri mkuu wa Israel mpaka sasa kauli yake ni Israel ipo vitani na sio Operation tena, ukiangalia leo walioanza uchokozi wa kurusha makombora ni Hamas, Israel ana haki ya kuwalinda raia wake dhidi ya makundi ya kigaidi kama Hamas.

Tuwaombee Israel.
 
Itakua kweli Nchi za Kiislamu huwa hazina Amani kabisa na mataifa machache sana ya Kiislamu yenye amani
Umefuatilia chanzo cha migogoro ya huko kabla ya kuuunda mawazo yako kichwani ? katika kila kitu kabla ya kuongea ni vizuri kutumia muda kufanya research.
 
An escalation in Israel could trigger a chain reaction. The Palestinians have no chance in such a war, because they cannot destroy Israel or inflict a significant military defeat on it, but Israel also has nothing to fight for. Palestine is technically Israeli territory, which it does not and cannot control under any circumstances. It is equally impossible to physically destroy all Palestinians.

If we were in a different international situation, the Palestinians could count on the compassion of the international left, but the US is led by neocons and globalists. They certainly do not care about the Palestinians, although they are not too close to Israel's nationalist policies either.

But it is the chain reaction - and especially the behavior of the Islamic states (primarily Iran, Turkey, Saudi Arabia, other Gulf states and Egypt) - that could be the logical continuation. Or at least, this is what Hamas strategists may have had in mind when they decided to start the conflict.

Multipolarism is strengthening, the intensity of Western hegemony in the collective non-West is weakening. The West's allies in the Islamic world - especially Turkey and the Saudis - do not automatically follow every order from Washington. This is the situation in which the Islamic pole, which recently provocatively joined the BRICS, will be put to the test.

Of course, the conflict could spread to other territories. The involvement of Iran and Hezbollah cannot be excluded, which means the potential transfer of hostilities to the territories of Lebanon and Syria. In Israel itself, there are enough Palestinians who fiercely hate Jews. All this could have unpredictable consequences.

In my opinion, the US and the globalists will try to shut everything down now, as they can achieve nothing good from further escalation.

One more thing: the analogies between separatism, irredentism, etc. in different regions of the world are no longer valid. The West recognizes both territorial unity and the right of peoples to secede when it benefits them and does not recognize them when they are not beneficial. There are no rules. In fact, we should treat the matter the same way (and indeed we do). What is favorable to us is right.

In the Israeli-Palestinian conflict, it is difficult - at least for now - for Russia to choose one side. There are pros and cons in every configuration. Ties with the Palestinians are ancient and, of course, victims, but Israel's right flank also tries to pursue a neutrally friendly policy towards Russia and, in doing so, deviates from the wild and unequivocal Russo-phobia of the collective West.

Much will now depend on how events unfold in the future.

Yes, and of course we must not lose sight of the eschatological dimension of events. The Palestinians have called their operation the 'Al-Aqsa Storm', i.e. the tension around Jerusalem and the messianic (for Israel) horizon of building the Third Temple on the Temple Mount (impossible without demolishing the Al-Aqsa Mosque, an important Muslim shrine) is growing again. The Palestinians are trying to ignite the eschatological sensibilities of Muslims - both Shiites, who are increasingly sensitive to this issue, and Sunnis (after all, they are no strangers to the reasons for the end of the world and the final battle). Israel and Zionism are the Dajjal for Muslims.

To what extent this is serious, we shall soon see, but in any case it is clear that those who ignore eschatology will not understand anything about great modern politics. And not only in the Middle East, although it is more evident there.

— Alexander Dugin
1696680636854.png
 
Kwann tuwaombee Israel pekee..,mbona kuna wapalestina pia?..,Ulivyo andika utadhani na ww ni MuIsrael.
 
Shambulia la kushtukiza kutoka Gaza limewashangaza wanajeshi wa Israel na kulazimika kutoka tangazo la hatari ya kivita ambapo kila raia ametakiwa ajifiche pale alipo na wengine wasitoke ndani..
Katika mashambulio hayo makombora yaliyorushwa zaidi ya 5000 yamefika mpaka Tel Aviv huku wanamgambo wa Hamas wakionekana kutumia kifaa kipya cha kuruka na kutua ndani ya mpaka wa Israel na kufanikiwa kufanya mapambazo ya mtaa kwa mtaa wakati waisrael wengi wakiwa wamelala.
 
Back
Top Bottom