LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Duh hawa jamaa watakuja waishi kwa amani kweli kama mataifa mawili jirani?

Hawawezi kuishi na amani mpaka kizazi kisichojua chochote kuhusu Quran na biblia agano la kale (Torati) kitakapotokea.

Quran imeandika kwamba wayahudi ni maadui wa uislam hivyo wauwawe. Pia wamefundishwa ardhi ya israel ni ardhi yao halali Wapalestina ambayo Mtume Muhammad alikuwa anawatembelea anaenda kusali. Na hata roho yake Mtume Muhammad ilipelekwa mbinguni kutokea mji wa Jerusalem

Hivyo wa israel ni wavamizi wao
 
Hii ilikuwa ya mwisho,Hamas hawatakuja tena kufanya ugaidi maana hawatakuwepo kabisa kuazia leo
 
Zile ramli tulizokuwa tunapiga humu wataalamu wengine nao wanasema hivyohivyo

We firmly stand with Israel against Palestinian terrorist attacks. While Saudi Arabia and #Israel were working towards achieving peace and a better solution for everyone, it seems that Iranian militants, driven by bloodlust, preferred escalation. Not everyone in the Muslim or Arab world supports #Hamas. Here's to Israel's triumph in this struggle.
 
Hii imetokea mwaka huu operation ya IDF Jenin imeleta uharibifu mkubwa katika makazi ,miundombinu pamoja na mauaji na haikuwa na Globalization condemnation against Israeli.View attachment 2774237
Kuna kitu cha mwisho nakiongezea.
Mimi ni muislamu ila huwa siendekezi udini palipo na ukweli ndio nasimamia .
Israel ni taifa ovu kuwahi kutokea japo WAKRISTO wa tandahimba wanawatetea ilhali Germany na nchi za East Europe zinawachukia Israel je hayo mataifa sio WAKRISTO?
Udhalimu wa Israel uliifanya Lebanon waislamu ,WAKRISTO na wapagani kuwa chini ya kundi moja la hizbollah kupinga dhulma za waisraeli.
ILA WAKRISTO WA TANDAHIMBA WANAJIKUTA WAO WANA UELEWA KULIKO WAKRISTO WENZAO
 
Waache wapambane tu, hakuna mafanikio yasio lipwa kwa damu hata hao wayahudi kufika hapo wamepitia kwenye madhira makubwa kwa zaidi ya mamia ya miaka lakini hilo hali kuwafanya wakate tamaa kupambana
unaushaidi gani au kwakuwa umesoma vitabu vyao walivyo tumia kuiaminisha dunia kwamba wao ni wataule wa mungu ,wakati israel yamejaa mashoga kibao
 
Aya ngoja tuone kaka maana nipo aljazeera hapa natizama na baadhi ya waandishi wa habari wanasema maroketi yanayopenya ni mengi kuliko yanayozuiliwa.
Vyovyote ilivyo ule ni mfumo umewekwa na binadamu labda tuseme settings zake zimesetiwa kuzuia rockets 100 per minute then zikaja 300 kwa dk unadhani nini kitatokea?
 
Muda wa Israel kulaumiwa umefika. UN, Human Rights Watch, Save The Children na mashirika kibao ya haki za binadamu muda wao huu wa kuandika nyaraka nyingi.

Collateral damage itakuwa kubwa soon kuna watu watalalamika Israel ikijibu mashambulizi
nyerere aliwatuliza hawa wakae kimya atakapoamua kumchapa iddi amini huko huko kwake uganda. Netanyahu ndio kabisa hatawasililiza hawa, atataka kuwanyoosha hao magaidi
 
Muda wa Israel kulaumiwa umefika. UN, Human Rights Watch, Save The Children na mashirika kibao ya haki za binadamu muda wao huu wa kuandika nyaraka nyingi.

Collateral damage itakuwa kubwa soon kuna watu watalalamika Israel ikijibu mashambulizi

    • Israel caught off-guard in intelligence failure​

      a311d0db-f9e5-4e8e-a87b-47e4e3870e38.jpg

      Frank Gardner
      Security correspondent

    • This is a colossal intelligence failure for Israel.
      The country has one of the most extensive and sophisticated intelligence networks in the Middle East, both domestic and external.

    • It has informants embedded inside militant groups not just in the Palestinian territories but in Lebanon, Syria and elsewhere.

    • It has, in the past, been able to assassinate militant leaders either with precision drone strikes or even booby-trapped mobile phones.
      And yet today, at the end of a Jewish holiday, it appears to have been caught asleep at the wheel.

    • Hamas has been able to plan and launch this carefully coordinated assault on Israel seemingly in total secrecy.

    • That Israel will retaliate with massive force is a given. But Israelis will now be asking why their nation’s spies failed to see this coming and warn the country accordingly.
      Article share tools

      • View more share options
        Share this post
        • Copy this link
        • Read more about these links.
    • Posted at 11:2511:25

      Fighting continues on Israel - Gaza border crossing​

      Concluding their remarks, the Israeli military spokesman says that fighting is still ongoing at the Erez border crossing as well as at the Zikim base - a training base belonging to the Israel Defense Forces.
      Article share tools

      • View more share options
        Share this post
        • Copy this link
        • Read more about these links.
    • Posted at 11:1811:18

      'No comment' on reports of Israelis taken captive​

      Israel's military spokesman is declining to comment about reports of Israelis being captured by Hamas, according to the Reuters news agency.
      Article share tools

      • View more share options
        Share this post
        • Copy this link
        • Read more about these links.
=========================

Intelligence failure kama ile ya mwaka 1974 kwenye Yomm Kippur..
 
Netanyahu: 'We are at war and we will win'​

Israeli Prime Minister Netanyahu has just released a statement, saying that "we are at war and we will win".

In a statement released on his social media channels, he said Hamas would "pay a price the type of which it has never known".

The Israeli Defence Forces (IDF) are fighting Hamas in a number of locations, with an unknown number of casualties.

===========================

Mwishowe Israel itajibu kwa nguvu kubwa na atadhibiti maeneo mengi zaidi ya Wapalestina, hata Gaza huenda ikarudi kwenye udhibiti wa Israel........ardhi kubwa zaid ya Wapalestina itakaliwa na Israel kimabavu.

Raia wa kawaida wa Wapalestina wataishia kuwa wahanga wa huu uhuni uliofanywa na Hamas.

Israel-Gaza latest: Hamas fighters on the ground after '5,000 rockets' fired; 'We are at war', says Netanyahu
 
Hamas atakuwa na msukumo wa Iran lkn anatesa raia wa Palestina bure
 
    • Israel caught off-guard in intelligence failure​

      a311d0db-f9e5-4e8e-a87b-47e4e3870e38.jpg

      Frank Gardner
      Security correspondent

    • This is a colossal intelligence failure for Israel.
      The country has one of the most extensive and sophisticated intelligence networks in the Middle East, both domestic and external.

    • It has informants embedded inside militant groups not just in the Palestinian territories but in Lebanon, Syria and elsewhere.

    • It has, in the past, been able to assassinate militant leaders either with precision drone strikes or even booby-trapped mobile phones.
      And yet today, at the end of a Jewish holiday, it appears to have been caught asleep at the wheel.

    • Hamas has been able to plan and launch this carefully coordinated assault on Israel seemingly in total secrecy.

    • That Israel will retaliate with massive force is a given. But Israelis will now be asking why their nation’s spies failed to see this coming and warn the country accordingly.
      Article share tools

      • View more share options
        Share this post
        • Copy this link
        • Read more about these links.
    • Posted at 11:2511:25

      Fighting continues on Israel - Gaza border crossing​

      Concluding their remarks, the Israeli military spokesman says that fighting is still ongoing at the Erez border crossing as well as at the Zikim base - a training base belonging to the Israel Defense Forces.
      Article share tools

      • View more share options
        Share this post
        • Copy this link
        • Read more about these links.
    • Posted at 11:1811:18

      'No comment' on reports of Israelis taken captive​

      Israel's military spokesman is declining to comment about reports of Israelis being captured by Hamas, according to the Reuters news agency.
      Article share tools

      • View more share options
        Share this post
        • Copy this link
        • Read more about these links.
=========================

Intelligence failure kama ile ya mwaka 1974 kwenye Yomm Kippur..
Israel huwa inaanzwa na wave moja au mbili za ushindi wa adui. Ndio zikiisha hizo lawama zinafuata na kuomba mazungumzo
 
Back
Top Bottom