Na usisahau kuwa mataifa ya kiarabu ya sasa hivi sio kama ya miaka ya 1600s.Hao Hizbollah waingilie mara ngapi, Israel wameweka wazi hawataki matatizo nao ila wakiendelea basi nao litawakuta jambo.
Sijadanganya sehemu yeyote.Usidanganye bwana bro .
Pakistan sio waarabu kiasili na hawakuamia kutoka arabuni.
Pakistani ni Persians (wahajemi kiasili).
Na hawakulazimisha mtu kusilimu Wala Nini.
Embu fuatilia historia ya India vizuri.
Ila wameshakuwa 'compromised' na Marekani, ndio maana hata wamebaki kuwaonea huruma Wapalestina bila kufanya lolote.Na usisahau kuwa mataifa ya kiarabu ya sasa hivi sio kama ya miaka ya 1600s.
Nao wanajitahidi katika kutengeneza local weapons na pia pesa wanayo hauna sehemu ambayo unaweza kuwabana kama zamani.
MPUMBAVU HUAMINI KILA JAMBO, LAKINI MTU MWENYE AKILI HUANGALIA SANA JINSI AENDAVYO.Mpumbavu husema moyoni mwake Kuna Mungu, Maana huamini vitu visivyo kuwepo.
Basi nakushauri achana na hivyo vitabu vya kiislam na kikistoQuran na biblia vyote ni maandiko ya kutungwa na kusadikika sawa na Hekaya za Abunuwasi.
Nisha achana navyo muda sana..Basi nakushauri achana na hivyo vitabu vya kiislam na kikisto
Kama ninyi muaminivyo jambo la Mungu kuwepo.MPUMBAVU HUAMINI KILA JAMBO,
LAKINI MTU MWENYE AKILI HUANGALIA SANA JINSI AENDAVYO.
Mjomba jamaa Hana dini lkn ww unampleka kwenye uislam VP kwani Mzee huoni maandiko yakeKama biblia haikuhusu basi achana nayo maana hata wakristo hawahangaiki na kitabu ambacho hakiwahusu,sababu huku Kuna Yehova huko Kuna Allah ni Mungu tofauti kabisa
Alikuwa hajajieleza,angalia mbele nimeshauri aachane na vitabu vitakatifuMjomba jamaa Hana dini lkn ww unampleka kwenye uislam VP kwani Mzee huoni maandiko yake
Sema Takbirrrr, Takbirrrr, Takbirrrr πππππππππMchawi wa wapestina ni Hamas,Ila vichwa vya wavaa vipedo na makobazi ni vigumu kuelewa mambo π€
Mkuu, unamaanisha kuhoji kwamba aliumbwa na nani?Hamuwezi kuhoji Uwepo wa Mungu huyo.
Ni mawazo yao tu ya kufikirika.Mkuu, unamaanisha kuhoji kwamba aliumbwa na nani?
Because kuna ushahidi chungu nzima kwamba kuna Mungu, hata bila hivyo vitabu vya dini.
FYI: The greatest scientists of the world, even with their vast knowledge of the physical and unseen world, have barely the tip of an iceberg as far as God is concerned.
Hayupo mpaka siku uwezo wa binadamu unapofikia kikomo.Ni mawazo yao tu ya kufikirika.
Wanasayansi hao wameshindwa kuthibitisha uwepo wa Mungu.
Wameishia kuamini tu, vitu vingine wameweza kuthibitisha uwepo wake .
Human beings created God through assumptions, Based on things beyond their imaginations.Hayupo mpaka siku uwezo wa binadamu unapofikia kikomo.
So why you can't leave forever and you believe in super natural powerHuman beings created God through assumptions, Based on things beyond their imaginations.
Wanadamu ndio waliunda dhana ya kufikirika na kuiita Mungu.
Mungu ni fiction character invented by religion.
Kiuhalisia Mungu hayupo.