LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Hao Hizbollah waingilie mara ngapi, Israel wameweka wazi hawataki matatizo nao ila wakiendelea basi nao litawakuta jambo.
Na usisahau kuwa mataifa ya kiarabu ya sasa hivi sio kama ya miaka ya 1600s.
Nao wanajitahidi katika kutengeneza local weapons na pia pesa wanayo hauna sehemu ambayo unaweza kuwabana kama zamani.
 
Usidanganye bwana bro .
Pakistan sio waarabu kiasili na hawakuamia kutoka arabuni.
Pakistani ni Persians (wahajemi kiasili).
Na hawakulazimisha mtu kusilimu Wala Nini.
Embu fuatilia historia ya India vizuri.
Sijadanganya sehemu yeyote.
Hakuna sehemu nimesema Pakistani ni waarabu.

Pakistanis are Indian Muslims not Persians.
Pakistan is Muslim majority, India is Hindu majority, but both are Indians.

Persians moved to India from Iran kwasababu Islam spread to Iran and Persians(Iranian) people were forcefully converted, so persians fled to save their lives, for more info please read this thread;
A short history of Iran (Hamas financial and artillery supporter)
Persians walikuwa wana miungu yao wenyew, hawana shida na mtu.

It was Afghani Invaders like Muhammad Ghuri and Ghazni who forcefully converted Indian Hindus into Muslims.
Pakistani are muslims cause their ancestors were converted by Force by Afghani Invaders.
By the way 'Pak' means 'Pure' in 'Urdu' (language of Muslims in Indian. subcontinent) and -'stan' means 'land'
So Pakistan means 'Land of Pure'.
Pure from Kafir obviously🤪

Invaders from Central Asia and Afghanistan treated Hindus badly because we were Kafir.
Stuff like Jizya Tax and breaking of hindu temples.
For Indian hindus they were the bad guys.
For Indian Muslims, they are hero since both are Muslim.

Hence the 1947 Partition.
 
Na usisahau kuwa mataifa ya kiarabu ya sasa hivi sio kama ya miaka ya 1600s.
Nao wanajitahidi katika kutengeneza local weapons na pia pesa wanayo hauna sehemu ambayo unaweza kuwabana kama zamani.
Ila wameshakuwa 'compromised' na Marekani, ndio maana hata wamebaki kuwaonea huruma Wapalestina bila kufanya lolote.
 
Kama biblia haikuhusu basi achana nayo maana hata wakristo hawahangaiki na kitabu ambacho hakiwahusu,sababu huku Kuna Yehova huko Kuna Allah ni Mungu tofauti kabisa
Mjomba jamaa Hana dini lkn ww unampleka kwenye uislam VP kwani Mzee huoni maandiko yake
 
Wengi hawaelewi haya mambo kuna wanadhani kuwa vita vya Israel na Palestina ni vya kidini

Kwanza kwa msiojua ni kuwa Wapalestina wengi tu ni wakristo kama ilivyo Syria na Lebanon na Iraq kuna wakristo wengi tu

Kwanza tusisahau kuwa Yesu aliishi mahali hapo na alizaliwa hapo na ukristo ulimea mizizi hapo

Kingine huko Israel kuna waislam kibao tu waislam ni wengi huko Israel kuliko wakristo!!

Msisahau kuwa Uyahudi, Ukristo na Uislam ni dini tatu tofauti......

Kingine cha kufahamu ni kuwa hata Wayahudi wengi wanaunga mkono Palestine kwasababu wanafaham wanaoitawala Israel na walowezi wengi pale sio wayahudi bali ni wazayuni kutoka Ulaya!!

Ndo maana tokea mwanzo waarab na wayahudi waliishi vizuri tokea kale na hakukua na tatizo lolote

Shida ni hao wazayuni kutokea Ulaya

Ndo maana hata Iran na Hamas wanasema kila siku kuwa hawawachukii wayahudi wala hawatokuja kuwachukia bali wanaopambana nao ni Wazayuni aka wayahudi feki kutoka Ulaya waliolowea pale na kuchukua Ardhi zao!!

Ndo maana hatushangai kuona maelfu ya Wayahudi wakiandamana duniani wakiwa wameshikilia bendera za Palestina na kuilaani Israel na kusema kabisa kuwa Israel haiwawakilishi Wayahudi na kibaya zaidi wanatumia mgongo wa uyahudi kufanya wanayofanya kitendo ambacho kinauchafulia uyahudi jina.

Haya mambo usipoyaelewa utachoka sana!!Uyahudi ni dini inayoishi katika misingi mikali ya kidini na maadili lakini vipi wazayuni waliopo pale Israel wanafuata hayo?Ingekua ni taifa la kiyahudi na la kwenye maandiko wangeruhusu Ndoa za jinsia moja usagaji na kuwa makao makuu ya Ushoga duniani hapo Telaviv?
1697961520015.jpg
Screenshot_20231022-120024.jpg
20231020_015500.jpg
20231019_174944.jpg
20231015_223732.jpg
 
Kwahiyo huu mgogoro sio wa kidini, wala halipo kwenye maandiko mbona walitaka kuletwa Uganda?
20231020_015500.jpg
20231018_000949.jpg
20231019_211900.jpg
20231019_174944.jpg
20231019_200816.jpg
20231019_175003.jpg
20231015_223732.jpg
Screenshot_20231020-144005.jpg
Screenshot_20231022-120024.jpg
Screenshot_20231008-001224.jpg
Screenshot_20231008-001238.jpg
Screenshot_20231009-121547.jpg
 
Attachments

  • 20231020_015500.jpg
    20231020_015500.jpg
    125.4 KB · Views: 6
  • Screenshot_20231010-164020.jpg
    Screenshot_20231010-164020.jpg
    43.3 KB · Views: 5
Hamuwezi kuhoji Uwepo wa Mungu huyo.
Mkuu, unamaanisha kuhoji kwamba aliumbwa na nani?

Because kuna ushahidi chungu nzima kwamba kuna Mungu, hata bila hivyo vitabu vya dini.

FYI: The greatest scientists of the world, even with their vast knowledge of the physical and unseen world, have barely the tip of an iceberg as far as God is concerned.
 
Ni mawazo yao tu ya kufikirika.

Wanasayansi hao wameshindwa kuthibitisha uwepo wa Mungu.

Wameishia kuamini tu, vitu vingine wameweza kuthibitisha uwepo wake .
 
Hayupo mpaka siku uwezo wa binadamu unapofikia kikomo.
Human beings created God through assumptions, Based on things beyond their imaginations.

Wanadamu ndio waliunda dhana ya kufikirika na kuiita Mungu.

Mungu ni fiction character invented by religion.

Kiuhalisia Mungu hayupo.
 
So why you can't leave forever and you believe in super natural power
 
Back
Top Bottom