Umesema hakuna kitu kwahyo wewe ni nini na milima,maji,wanyama ni nini?Nawaza hivyo kwa sababu Mungu huyo Hayupo.
Angekuwepo, Ange tu prove wrong tusio mwamini Kwamba yupo.
Hakuna kitu.
Kwa nini unadhani lazima kuwe na Mungu?
Mungu ni nini?
Mungu hayupo, Dunia haina chanzo.
Kama dunia haina chanzo je wewe Una chanzo?Mungu hayupo, Dunia haina chanzo.
Mimi ni binadamu.Umesema hakuna kitu kwahyo wewe ni nini na milima,maji,wanyama ni nini?
Nimekwambia hivi, Binadamu na dunia hatuna mwanzo wala mwisho.Kama dunia haina chanzo je wewe Una chanzo?
Wa israel walipovamiwa na kuuliwa walikuwa na hatia?. Mbona mnaleta huruma za kipuuzi, yani hamas Wauwe watu kwa nderemo na vifijo kwa Allah iwe sawa lakini watoto wa Yakobo wakifanya yao iwe nongwa sio?. Hamas kawaletea majanga watu wa Gaza, kichapo apatacho ndio stahili yake. Ugaidi kwa kisingizio cha kumpigania Allah haukubaliki popote pale.Bahati mbaya wamo wanaokufa bila hatia. Lakini,nimesoma stori kwamba mwaka 2007, HAMAS, walikuwa wakirusha watu kutoka gorofani wa chamia cha Yasser Alafat.
Binafsi,lile genge lilalojiita UN, lina haja ya kugawa ile ardhi ½ kwa Israel na ½ kwa Palestina. Wawe wayahudi,wawe wa Palestina wote wana haki ya kuishi
Hili nalo debe tupu lipuuzwe. Imeandikwa, wewe ni mavumbi na mavumbini utarudi. Mtu ni roho, ambayo ni pumzi ya Mungu so Mungu akapulizia udongo pumzi yake ukawa nafsi hai ndio huo uhai ulio nao unless umeshauza nafsi yako kwa lucifer kama wenzako wanavyoimba bora wa enjoy maisha yao ni mafupi hiyo ni habari nyingine. Mungu Yehova pekee ndio hana mwanzo wala mwisho, Jina lake ni mzee wa siku, ukipenda mfalme wa Salem.Nimekwambia hivi, Binadamu na dunia hatuna mwanzo wala mwisho.
ATOMIC BOMBHivi kwanini JAPAN high technology lakini mambo ya vita siwasikii???
inapiganiwa al aqsa, sasa kama wakristo na budhist al aqsa inawahusu basi ni sawaPole toa kwa wote waislam wakristo Buddhist atheist etc,pale haipiganiwi dini kinachopiganiwa ni ardhi.
Tumia akili kidogo,zinapotea roho za watu hizo mnaita sijui msikiti mtajenga mingine roho ikishamtoka mtu hairudi!inapiganiwa al aqsa, sasa kama wakristo na budhist al aqsa inawahusu basi ni sawa
waarabu na wayahudi sio ndugu zetu so vifo vyao sizani kama vinatuhusu sana.. sababu hata wao hawanaga time na maisha yetu huku africa, wao acha watwangane tu atakaeibuka mshindi ndo mbabeTumia akili kidogo,zinapotea roho za watu hizo mnaita sijui msikiti mtajenga mingine roho ikishamtoka mtu hairudi!
Leo mfano pale Kariakoo kukawa na vita ya kugombea masjid idrisa likarushwa rocket lika-misfire likaenda kupiga pale mtaa wa Kongo likauwa wasiokuwa waislam huwezi kuacha kuwahesabu kama waathirika eti kwa sababu kinachogombaniwa ni msikiti bomu limewauwa hiyo ni juu yao.
Umesoma na kuelewa kilichoandikwa wewe!? Au Israel tu!Wa israel walipovamiwa na kuuliwa walikuwa na hatia?. Mbona mnaleta huruma za kipuuzi, yani hamas Wauwe watu kwa nderemo na vifijo kwa Allah iwe sawa lakini watoto wa Yakobo wakifanya yao iwe nongwa sio?. Hamas kawaletea majanga watu wa Gaza, kichapo apatacho ndio stahili yake. Ugaidi kwa kisingizio cha kumpigania Allah haukubaliki popote pale.
Basically, the same question.How did you know God exists?
Who told you God exists?
Our brain can never think beyond the present moment, let alone the mystery regarding the nature of God.How did you know, God can never be confined with our limited finite brains?
Scientists such as astronomers, for example, do not need to travel 2.5 million light years away just to study the nature of one trillion stars in the Andromeda Galaxy. They simply need the best equipment while they remain in their closet down here.If we cannot confine God within our limited finite brains, How did you know God exists?
Waiting for a better question, at least from my own perspective.Which "brain" did you use to know God exists?
God is a Being. Think of each and every attribute of perfection from holiness to faithfulness to beauty to intelligence to dignity to morality to love. This is who God is.Sasa wewe niambie Mungu huyo ni nini?
Lucifer hayupo.Hili nalo debe tupu lipuuzwe. Imeandikwa, wewe ni mavumbi na mavumbini utarudi. Mtu ni roho, ambayo ni pumzi ya Mungu so Mungu akapulizia udongo pumzi yake ukawa nafsi hai ndio huo uhai ulio nao unless umeshauza nafsi yako kwa lucifer kama wenzako wanavyoimba bora wa enjoy maisha yao ni mafupi hiyo ni habari nyingine. Mungu Yehova pekee ndio hana mwanzo wala mwisho, Jina lake ni mzee wa siku, ukipenda mfalme wa Salem.
What is a being?God is a Being. Think of each and every attribute of perfection from holiness to faithfulness to beauty to intelligence to dignity to morality to love. This is who God is.
You are just meandering, Give the evidence!Basically, the same question.
First, understand that God is knowable. He's reachable, even though He is infinite above and beyond our limited imagination.
Two, as I said previously, there's a plethora of evidence supporting His very existence.
Yes I can,Take, for instance, the fact that you can never disprove His existence. Or, can you?
Man created God through assumptions, Based on things beyond their imaginations.Our brain can never think beyond the present moment, let alone the mystery regarding the nature of God.
So you mean that God is the one who make people's deaths?Can you tell me with a hundred percent certainty whether you'll still be alive tomorrow?
Or, better yet, can you tell the thoughts of, let's say, your best friend?
What if I told you that God has through history predicted events thousands of years before anyone ever thought they would actually occur in the future?
Similarly, such events did reveal beforehand the course of action to which those future generations would pursue -- something that no human could presume to do.
Scientists such as astronomers, for example, do not need to travel 2.5 million light years away just to study the nature of one trillion stars in the Andromeda Galaxy. They simply need the best equipment while they remain in their closet down here.
They have never flown there because of human limitations and finiteness, but they know the galaxy with its vast stars exist.
They can even tell with substantial accuracy how hot those stars are in their core!
Waiting for a better question, at least from my own perspective.
It may help to consult your best dictionary for that.What is a being?
You're just meandering with a fictional character..It may help to consult your best dictionary for that.
Hata kama wanaokufa sio wenye hatia lakini ni ndugu wa magaidi, kwani wewe ukimtafuta gaidi ukamkosa si lazima utaenda kwa familia yake.....labda Vita iishe lakini kama haitoisha, Israel inahaki ya kuwauwa raia wa pelestina, kwanza hili kundi la hamas limeundwa na wapalestina wenyewe.....acha wapelekewe Moto tuWaislamu waliosapoti Hamas waliguata mihemko na walifanya makosa ,pamoja na hayo haikupi wewe uhalali wa kushangilia vifo vya watu wasio na hatia .