LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Tatizo right wing jews hawataki wanataka yote walithubutu kumuua hadi waziri mkuu wao rabin kisa tu alisaini ile oslo accord ambayo ingefuatwa ingeleta amani ya kudumu, hao tu ndio tatizo ndio maana bila ya hawa right wing jews , hata hamas wasingekuwepo na wote tungesema kweli ni magaidi, ila bila ya resistance ya hamas sasahivi palestine yote ingekuwa nchi ya israel
Ukweli kama huu haupewi nafasi kabisa mitandaoni. Watu wanataka kusikia either unasapoti Israel au palestina.
 
"The United States does not want a war with Iran, but if Americans are attacked in the Palestinian-Israeli conflict zone, they will respond" - Maneno ya Blinken

Hii ni dhahiri kabisa Iran anatafutwa kwa udi na uvumba na Marekani katika namna ambayo anatafutiwa sababu na US.View attachment 2792065
 
Sasa mbona mada na kichwa cha habari haviendani? We si umesema muache ushabiki!
Ukiacha ushabiki,wa Palestina na Israel wote wana haki ya kuishi. Sawa,mzozo uliletwa na Israel. Lakini,hujawahi sikia watu HAMAS iliwaua kwa kuwashusha magholofani? Hapa issue kubwa ni kwamba wote ni wajinga. Kwa nini hao viongozi na wenye majina makubwa hawatafutani wenyewe,wakaingie ukumbini wakapigane wauane humo humo,watoto wadogo pande zote mbili wanahusikaje?
Kumgekuwa na uwezekano ikakatwa kama Sudan. Kipande cha Palestina kijulikane, kipande cha Israel kijulikane. Full stop
 
You're just meandering with a fictional character..
You did say previously that the universe has always existed on its own and it'll always exist that way, ie. it's eternal. I have a small question, though, if you may.

Are you trying to suggest that the universe has such enormous, intrinsic power and profound intelligence of its own so much so as to uphold and perpetuate itself?

Better yet, is the universe -- including everything in it -- a god, as it were, of its own?

I mean, if my idea of an omnipotent, intelligent and eternal creator God seems out of question with you, how in the world would you even think of a self-propagating universe whose beginning and end are eternal? Aren't you contracting yourself?
Listen here, God doesn't exist and even the possibility of his existence isn't there.
You already proved, as shown above, the possibility of God's existence. It's conclusively an established fact. That's settled.

We're yet to prove that He does actually exist.

If you think the universe has always been there (your incredible faith, of course), why not accept similarly the possibility of a Being, a Creator and God, who is the sole originator of everything else? Do you read me?
Why are you creating your own perspective, then you are forcing the earth must be created by someone?
It's the evidence, not me, that points clearly and finally toward the original Originator -- God, as the creator of heaven and earth.
Then, who created the creator?
If your world, just as you said, has always been in existence, then who created it?

See! You would rather accept a novel notion that the world is its own god, than acknowledge the noble fact that there is a real, loving Being called Jehovah God.
 
Kuna baadhi ya viumbe walikuwepo katika huu ulimwengu lkn Kwa sasa hawapo je Hilo alitoshi kuthibitisha viumbe vina mwisho wake
Haviku isha vyenyewe tu, kuna sababu za kimazingira na mabadiliko ya tabia ya nchi zili athiri maisha yao.

Kwa mfano Faru kwa sasa wanalindwa sana kwa vile wapo wachache na sababu iliyo pelekea kuadimika kwao ni ujangili uliokithiri.

Dinosaurs pia walipotea kwa madai kwamba Asteroid ilipiga dunia miaka hiyo ika wa angamiza.

Viumbe kufikia mwisho ni mpaka viangamie vyote pasipo vingine kuzaliwa ndipo vina futika kabisa kwenye ulimwengu.
 
Kwahyo unakubali kuwa viumbe vina mwisho wake kama ulivyotolea mfano dinosaurs. Kwahyo hata huu ulimwengu unaweza kuwa na mwisho kama kutakua kuna jambo ambalo litapelekea mwisho rejea mf dinosaurs si ndio?
 
BREAKING NEWS: Ikulu ya White House imetoa agizo kwa Idara ya Ulinzi Marekani kuanza kuandaa Mpango wa Dharura wa Hali Mbaya Kabisa ( a worst case scenario) katika Mashariki ya Kati ambayo inaweza kuhitaji Kuhamisha Mamia ya Maelfu ya Raia wa Marekani endapo kama mzozo baina ya hamas na israel utasaambaa na kuwa mkubwa.

Chanzo: Washinton Post
 
Ukitizama historia utabaini mizozo yote mikubwa iliyowahi kutokea duniani ilianza kimasihara sihara.

Sote tu mashahidi wa yanayoendelea huko Mashariki ya Kati baina ya Hamas na Israel.

Hata mitandaoni, kumeuibuka malumbano makubwa ambapo kuna kundi linasapoti upande wa Palestina na jingine upande Israel. Hali inayopelekea mnyukano mkali baina ya makundi haya katika mitandao ya kijamii dunia nzima

Lakini pia kuna kundi dogo sana ambalo lenyewe linataka mauaji yasitishwe. Amani itamalaki Gaza.

Sasa ukiangalia kwa umakini mkubwa, kundi linalosapoti upande wa Israel ndio kundi lenye washabiki wengi zaidi. Wao wanafurahi jinsi Israel inavyoichakaza Gaza. Jinsi Israel ikua watu wasio na hatia kwa kisingizio cha kupambana na Hamas.Muda huu wanatamani wasikie IDF imeiangamiza Hamas na kuingia Gaza.

Lakini ninauhakika wa asilimia 99 kuwa siku chache zijazo hawa mashabiki wa Israel kama sio kufuta maoni yao mitandaoni, basi watabadili misimamo yao na kuacha kuishabikia Israel kwani the moment Israel itakapoingiza jeshi lale Gaza, ukurasa mpya utakuwa umefungulia katika mgogoro huu.

JINSI MGOGORO UNAVYOZIDI KUKUA

Endapo Israel ataingia Gaza, Iran ataivamia Israel kama alivyoahidi ,nae Marekani ataingia kumsaidia Israel.

Nae Urusi hatoweza kukaa kimya kuona swahiba wake Iran akikabiliana na marekani. Not to mention washirika wa Marekani na NATO kwa ujumla nao wataingia pamoja na mataifa mengine and before you know it, it's World War 3.

Wakati haya yakitukia, hakuna atakayebaki salama.Sio wanaoshabikia Israel au wa Palestina.
Umesema ushabiki tuuweke kando, lakini ulivyoandika hata akikusoma mgeni anajua kabisa umeegemea upande gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wanaoijua vyema Palestina mtusaidie kwani nako kuna Mafuta au Madini labda?!.... maana Biden alivyokaza shingo kuisupport Israel sio Bure hapo
 
Ukitizama historia utabaini mizozo yote mikubwa iliyowahi kutokea duniani ilianza kimasihara sihara.

Sote tu mashahidi wa yanayoendelea huko Mashariki ya Kati baina ya Hamas na Israel.

Hata mitandaoni, kumeuibuka malumbano makubwa ambapo kuna kundi linasapoti upande wa Palestina na jingine upande Israel. Hali inayopelekea mnyukano mkali baina ya makundi haya katika mitandao ya kijamii dunia nzima

Lakini pia kuna kundi dogo sana ambalo lenyewe linataka mauaji yasitishwe. Amani itamalaki Gaza.

Sasa ukiangalia kwa umakini mkubwa, kundi linalosapoti upande wa Israel ndio kundi lenye washabiki wengi zaidi. Wao wanafurahi jinsi Israel inavyoichakaza Gaza. Jinsi Israel ikua watu wasio na hatia kwa kisingizio cha kupambana na Hamas.Muda huu wanatamani wasikie IDF imeiangamiza Hamas na kuingia Gaza.

Lakini ninauhakika wa asilimia 99 kuwa siku chache zijazo hawa mashabiki wa Israel kama sio kufuta maoni yao mitandaoni, basi watabadili misimamo yao na kuacha kuishabikia Israel kwani the moment Israel itakapoingiza jeshi lale Gaza, ukurasa mpya utakuwa umefungulia katika mgogoro huu.

JINSI MGOGORO UNAVYOZIDI KUKUA

Endapo Israel ataingia Gaza, Iran ataivamia Israel kama alivyoahidi ,nae Marekani ataingia kumsaidia Israel.

Nae Urusi hatoweza kukaa kimya kuona swahiba wake Iran akikabiliana na marekani. Not to mention washirika wa Marekani na NATO kwa ujumla nao wataingia pamoja na mataifa mengine and before you know it, it's World War 3.

Wakati haya yakitukia, hakuna atakayebaki salama.Sio wanaoshabikia Israel au wa Palestina.
Kwani si kawaida Israel kumnyuka Palestina hajaanza leo
 
Fanya uchambuzi wako vizuri. Huu mgogoro una kila dalili ya kusambaa na kuwa mkubwa
Wala hakuna vita itakayosambaa duniani labda wazee wa kobazi waanze kujilipua na kuua watu ovyo kwa kila nchi.
Urusi na Ukraine mpk sasa wanapigana vita na hakuna vita ya 3.
 
Kwahyo unakubali kuwa viumbe vina mwisho wake kama ulivyotolea mfano dinosaurs. Kwahyo hata huu ulimwengu unaweza kuwa na mwisho kama kutakua kuna jambo ambalo litapelekea mwisho rejea mf dinosaurs si ndio.
Mwisho unawezakana kuwepo,endapo kutatokea tukio litakalo angamiza viumbe wote vika futika kabisa.

Lakini kwa sasa hali ya kuzaliana ni ngumu sana kwa viumbe vyote kufutika duniani.
 
Mwisho unawezakana kuwepo,endapo kutatokea tukio litakalo angamiza viumbe wote vika futika kabisa.
Kama unakubali uwezekano WA mwisho WA viumbe upo basi hata chanzo kinawezeza kuwepo
Lakini kwa sasa hali ya kuzaliana ni ngumu sana kwa viumbe vyote kufutika duniani.
Hii haiwezi kuwa sababu peke Ya kuzuia Ulimwengu usiende kufutika au kuangamia. Kuna majanga mengi ya asili ambayo nadhani unakubali binadamu ameshindwa kupambana nayo na jicho ndio kiashiria pekee kuwa mwisho wetu upo.
Mwisho niseme kuwa viumbe vina mwanzo na mwisho wake. Na Kwa kutambua Hilo basi Imani ndio njia peke binadamu tumechagua kwani ndio kuna majibu ya vile tulivyo shindwa kuthibitisha Kwa akili zetu hvyo ni Bora kuamini mkuu.
 
Back
Top Bottom